CCM: Majizi Msimchukulie poa Rais Samia

CCM: Majizi Msimchukulie poa Rais Samia

Hamna kitu awe mkali bhn, utendaji wa viongozi wengi umedorora maana tumbua tumbua hakuna tena siku hizi!.

Waafrika bila kiboko hawaendi!.
Kiongozi, tumbua tumbua zipo nyingi sema tofauti ya Sasa na kipindi Cha magufuli Ni kuwa mama hadhalilishi, utaskia tu mh rais ssh afanya mabadiliko sekta/kitengo flani

Ila kipindi Cha magu ilikuwa inaoneshwa hadi alipokuwa anamhoji mhusika, Sasa ule syo ustaarabu maamuzi km yale hayafai kwa kiongozi anaejitambua na mwenye maadili ya utumishi
 
wacha niseme kidogo,

Kama kuna mtu ameachia mifumo ifanye kazi kwa uwazi na kutokumuonea mtu ni huyu Rais Samia,

Kitendo hiki kinawafanya wananchi wenyewe wawajibishane katika levels zao,

Kutumbua mtu sio jambo la kujisifu ila mifumo ikimtumbua atakuwa amepata haki yake,

Hongera sana Mama Samia,
Uliwahi kumuajibisha nani? Lile ghala la milion 7 na bwawa la mil 600+ ndo kuwajibishana? Kaa hapo na fikra zako eti mwananchi umuwajibishe mwenzio. Sa hivi tunao maboss wengi wasiowajibika na utamwambia nini ww hujampa mamlaka?
 
Mama anaupiga mwingi, tuanze harakati za kumsafishia njia, halafu km inawezekana aongezewe awamu4 mbele....

Nakumbuka magu-fool Kuna wahuni walitakaga kumwongezea muda
Kichaa kazini. Wewe na waliokuwa wakitaka magu aongezewa mihula munayo tofauti gani?
 
Kiongozi, tumbua tumbua zipo nyingi sema tofauti ya Sasa na kipindi Cha magufuli Ni kuwa mama hadhalilishi, utaskia tu mh rais ssh afanya mabadiliko sekta/kitengo flani

Ila kipindi Cha magu ilikuwa inaoneshwa hadi alipokuwa anamhoji mhusika, Sasa ule syo ustaarabu maamuzi km yale hayafai kwa kiongozi anaejitambua na mwenye maadili ya utumishi
Alishamtoa nani kwa kosa gani? Humdhalilishi mtu ila kajidhalilisha yeye kwa wizi wake ama maovu yake. Kila mtu na actions zake, sidhani kama katiba inakataza hilo unaloona halifai.
 
Haya uliza kwa wakuu wa mikoa, Cheki na Kafulila kule Simiyu atakueleza,
 
Ukivaa magwanda ya kijani,njano na nyeusi basi ujue akili zako lazima ziwe likizo
 
Nchi sasa imekuwa kama shamba la Bibi!
"waandamizi" wa Mama yetu SSH ndio kabisaa wamegeuka mchwa!
 
Arudishe viwanja na majengo ya umma waliyopora na kuanza kutumia pesa za serikali kukarabati, huu ni wizi.
Kwa kweli mali za wananchi wa Tanzania hazijawahi kuwa salama mikononi mwa CCM kwani CCM yenyewe kama chama kimejengwa katika misingi ya hujuma na wizi.

Miaka yote CCM imekuwa kimbilio la wezi na waporaji wa mali na rasilimali za umma na hadi leo wanazishikia mali hizo na hawana mpango wa kuzirejesha kwa wenyewe.
 
Huo uchadema wako utakuua
 
NI ANGUKO KUBWA SANA KUTOKA AWAMU YA SITA KUJA KUWA AWAMU YA NNE
 
Back
Top Bottom