CCM maji shingoni Igunga

CCM maji shingoni Igunga

...............Magamba nasikia wapo kwenye strategic meeting ya kumwagia mtu mwingine tindikali,maana kafara haijatosha...

Magawnda yanajifariji na kujilizawa!

Vipi hao vijana waliomwagwa na zile Fuso za CDM kutoka Moshi na Arusha ni wapiga kura wa jimbo hilo? Huko ni kujidanganya na sijui ni nani analipa gharama za chakula na malazi kwa vijana hawa zaidi ya 400 walioletwa na CDM ili kuongeza wingi wa watu katika mikutano yao

chapa kazi kaka maana nape hata kulipa!

nakumbuka ktk jimbo letu huko kusini ilitokea mgombea wa magamba,wananchi wote walikuwa hawamtaki na hakuwahi kufanya mkutano wowote kwa kipindi chote cha kampeni lakini matokeo yalipotoka alishinda sasa kuweni makini sana na hawa magamba chonde chonde wakuuu huko igunga msijisahau ata dakika 1 watawafanya vibaya mtakuja kushangaa matokeo hawa watu hatari sana pambaneni tuko nyuma yenu wakuuu

Watoto wa shule hawakatazwi kupiga kura ili mradi wawe wametimiza miaka 18

Kama macho yako ni mazima unaweza kuona hao watoto wote wanaonekana hawajabarehe wala kuvunja ungo.
Ila inawezekana na wewe ushamwagiwa tindikali huoni vizur

sisiemu hawana la kufanya zaidi ya kupanga mikakati ya kuiba kura, wenzao wanapiga kampeni za kufamtu wao wanapanga jinsi ya kuiba kura tusubiri tuone.

Tangu kampeni zianze hapa Igunga chadema tumekuwa tukifanya mikutano mitatu kwa siku,huku CCM ikishindwa kufanya hata mkutano mmoj,zaidi ya ule wa ufunguzi uliofanyika Igunga mjini, tena baada ya kuleta watu kwa malori.

Katika hali ya kukata tamaa, CCM sasa imekubaliana kutumia dola kama njia ya mwisho, kujipatia ushindi.. Kimsingi wananchi wengi Igunga wanataka mabadiliko, na wapo tayari kwa mabadiliko.

Leo Chadema tunafanya mkutano wa 21.. picha baadae

Hawana haja ya mikutano mingi kama ya CHADEMA wanajua wapi watawapiga bao wapinzani wao. Ndio maana wao badala ya kufanya kampeni wanaendesha kambi za vijana wao wakiwafundisha mbinu za kuiba kura.

Hongera CDM, ila msibweteke hawa jamaa bado wana magamba hawaogopi kuchakachua! japokuwa nimeangalia clip ya rostam aziz nikaona anashindwa kuhutubia wana iguga zaidi ya kusema nimekuja kumuombea kura huyu jamaa wa magamba kisha akashuka kwenye jukwaa! hii ni dalili kwamba alitishiwa kusimamishiwa biashara zake kwa kudaiwa malimbikizo ya kodi kama angekataa kupanda jukwaani kuyasema hayo huku amesimamiwa!

Maskini rosti tamu.....anatia huruma eeeeh

CDM mnaanda mazingara ili ionekana kwamba mmeonewa??

Haisaidii kulialia.....ccm itashinda kama kawa, watanzania hatutaki chama chenye vurugu na ukabila period.

We unatokea sayar gani? Isije ikawa tunabishana na watu wanaotokea sayari ya pluto manake wengi wao wana utapiamlo wa ubongo

Ndugu wana JF,

Ni usiku wa saa nne kwa hapa Tz ninapoandika ujumbe huu. Nimeongea na jamaa yangu ambaye ni askari polisi ambaye kwa sasa yupo Igunga. Tathmini aliyoitoa n kwamba CCM hali yao ni mbaya sana Igunga na hivyo kwa sasa wanajiandaa kwa hali na mali washirikiane na jeshi la polisi kuvuruga harakati za ukombozi wa pili wa watanzania na wananchi wa Igunga. Tayari kuna makamanda kama saba wa polisi ambao wamepelekwa huko akiwemo aliyerithi Mikoba ya Kamanda Tossi, huyo anaitwa Anacleth. Wengine ni akina Siro na Liberatus Baro. Wote hapa sasa wanashawishiwa na serikali iwatumia polisi kuhakikisha kuwa CCM inashinda kwa hila. Magari mengi ya maji ya kuwashwa yameshapelekwa huko kwa ajili ya kutoa tvitisho kwa wananchi. Wanaigunga wameamka mno safari hii. Jamaa yangu pia amethibitisha kuwa CCM inabeba watu kutoka vijiji ambavyo viko nje ya Igunga ili mradi ionekane tu kuwa inajaza watu kwenye mikutano.
Kwa wana Chadema mlio Igunga, kazeni buti na mikakati mathubuti iwekwe kulinda kura

Tangu kampeni zianze hapa Igunga chadema tumekuwa tukifanya mikutano mitatu kwa siku,huku CCM ikishindwa kufanya hata mkutano mmoj,zaidi ya ule wa ufunguzi uliofanyika Igunga mjini, tena baada ya kuleta watu kwa malori.

Ina maana cdm mnafanya mikutano ili na CCM wafanye kama mnavyofanya nyinyi kuimba ngonjera!? Nyie fanyeni mikutano yenu hata kama itawa elfu ccm sio watu wa kukurupuka kama nyie! Subilini matokea baada ya uchaguzi huru na wahaki!
Katika hali ya kukata tamaa, CCM sasa imekubaliana kutumia dola kama njia ya mwisho, kujipatia ushindi.. Kimsingi wananchi wengi Igunga wanataka mabadiliko, na wapo tayari kwa mabadiliko.

Leo Chadema tunafanya mkutano wa 21.. picha baadae

TBC leo wamechakachua mbya, imeonyesha wanafunzi ndo wanatka shule wanahudhuria kampen za chadema, same time nilivyotune ITV wameonyesha nyoni la watu wanasikiliza kampen za CDM..

this time hata kupigana inabidi kupigana tu,we are tired with tanzanian police damn them

polisi polisi hawa ni watu wanaotakiwa kulinda maslahi ya wananchi lakini wamekuwa kama mbwa na kuegeuzwa vibaraka wa ccm,

Ndugu wana JF,

Ni usiku wa saa nne kwa hapa Tz ninapoandika ujumbe huu. Nimeongea na jamaa yangu ambaye ni askari polisi ambaye kwa sasa yupo Igunga. Tathmini aliyoitoa n kwamba CCM hali yao ni mbaya sana Igunga na hivyo kwa sasa wanajiandaa kwa hali na mali washirikiane na jeshi la polisi kuvuruga harakati za ukombozi wa pili wa watanzania na wananchi wa Igunga. Tayari kuna makamanda kama saba wa polisi ambao wamepelekwa huko akiwemo aliyerithi Mikoba ya Kamanda Tossi, huyo anaitwa Anacleth. Wengine ni akina Siro na Liberatus Baro. Wote hapa sasa wanashawishiwa na serikali iwatumia polisi kuhakikisha kuwa CCM inashinda kwa hila. Magari mengi ya maji ya kuwashwa yameshapelekwa huko kwa ajili ya kutoa tvitisho kwa wananchi. Wanaigunga wameamka mno safari hii. Jamaa yangu pia amethibitisha kuwa CCM inabeba watu kutoka vijiji ambavyo viko nje ya Igunga ili mradi ionekane tu kuwa inajaza watu kwenye mikutano.
Kwa wana Chadema mlio Igunga, kazeni buti na mikakati mathubuti iwekwe kulinda kura

Matumizi ya madaraka vibaya. CCM na serikali ya Fisadi papa watakuja kujibu maswali muda tunao .... .... ..

TBC leo wamechakachua mbya, imeonyesha wanafunzi ndo wanatka shule wanahudhuria kampen za chadema, same time nilivyotune ITV wameonyesha nyoni la watu wanasikiliza kampen za CDM..

Uzuri hata hao wanafunzi pia ni wapiga kura..tena wazuri kabisa. Wakitoka hapo somo limewakoleaaa, wanaenda kutia sumu kwa mama, baba, kaka na dada zao. Alafu kinaeleweka

Ushindi wa uchaguzi haupo kwenye kuanzisha threads za kishabiki.
Pamoja na kuhutubia wanafunzi wa shule ya msingi bado mwaona mtashinda.

Back
Top Bottom