CCM maji shingoni Igunga

CCM maji shingoni Igunga

Kwa jinsi nilivyoangalia taarifa ya habari ya leo ya ITV kweli CCM wanatumia vibaya rasilimali wanazotuibia. Sikuona sababu kwa Mh. Wasira kuwasha jenereta na kutumia kipaza sauti kuwahutubia watu wasiozidi kumi na mbili huko Igunga. Ni aibu na fedhea kwa chama kikubwa kama CCM kupata idadi ya watu ambayo hata Dovutwa asingepoteza muda wake kuwahutubia.
Ni kama kuonyesha ushabiki vile ITV wakaonyesha na mkutano wa kampeni wa Chadema uliojaa watu kupindukia.

Sijui CCM mtaibaje mpaka mshinde huko Igunga! Kweli Wana Igunga wameamka
 
Ni tarehe 13 /9/11 waliitwa mabalozi woote wa kata ya ig. Mjini kupanga mbinu za ushindi kwa ccm kwan hali ni mbaya, mzee abdala mikingamo wa mtaa wa stoo alilalamika kuchoshwa na vikao vya mara kwa mara ambavyo havina tija!. mkutano huo ulifanyika ktk shule ya st. Leo maarufu kama kwa "bore" upepo c mzuri kwa ccm hadi iv sasa labda hali ibadilike!
 
Kwa hiyo mkuu unataka kusema hao polisi makamanda saba ndio watasaidia ccm kushinda...lets do a lil mathematics...kwa wingi wa wapinzani sioni hizo kura saba za makamanda zikitoa ushindi kwa ccm.....

let me now think loudlyyy..... Muulize jamaa yako huyo polisi je na wao polisi wamekubali kuisaidia ccm ishinde?..je hiyo ndo kazi waloajiriwa kuifanya zaidi ya kulinda amani ya wananchi?...

Muulize kama ccm wakishinda kwa hila na wizi watakao usimamia huko igunga je wao watasikia raha mioyoni mwao?...watakuwa tayari kuomba toba ya kweli makanisani na misikitini na kwa miungu yao kwa kutenda dhambi ya wazi kama hiyo?..

.muulize pia what if wakigoma kama walivyofanya kwa marsha wa nyamagana watapoteza ajira?...

Muulize wanadhani lini watakomaa akili na kuwa watu wazima wasioburuzwa kipuuzi na mabosi wao wapumbavu vibaraka wa serikali ya ccm....

Muulize kama anajua kuwa kwa kukubali kwao kufanya upuuzi sie wananchi huwa tunawadharau na kuwaona kama wangese fulani hiviii....

Anyway muulize hatamkisaidia kuibwa haki ya wana-igunga kuchagua kiongozi wao wa kweli..who cares? mbona bado wataendelea kuishi "mabatini na nyumba mbovu tuu"
 
chadema hakuna kulala mpaka kieleweke chapeni kazi wajinga wajinga muwapoteze..
 
Cdm imebustiwa na opareshen sangara ilofanywa kabla ya mchakato kuanza rasm!
 
Mambo hayo! This is Tz bwana kila aina ya kitu kinapatikana,kazeni buti Igunga yaweza ng'olewa kwa kutumia weakness za Chukua Chako Mapema(CCM)
 
sio maji shingoni!!!ccm maji kwenye kidevu yani wamekaribia kuyameza!!!jamani mimi ni mkazi wa huku igunga ccm hali ni mbayaaaaa!!!!!!yani wapo ICU,tunataka tukitoe chama cha magamba sio Tanzania tu, yani kisionekane tena duniani!!!kife mbali kwa jina la Yesu na la chadema,Igunga twasema kula ccm maana wanajifanya wanahela nyingi za kuhonga honga ovyo,kupiga story cuf coz tumesha wastukia hawa ni ccm B,kulala chadema peoplez powerrrrrrrrrrrr,labda waibe kura vibaka wale
 
nduka mbona unatumia maneno yenye hati miliki, MENDE linamilikiwa na gadafi
 
Magawnda yanajifariji na kujilizawa!
Vipi hao vijana waliomwagwa na zile Fuso za CDM kutoka Moshi na Arusha ni wapiga kura wa jimbo hilo? Huko ni kujidanganya na sijui ni nani analipa gharama za chakula na malazi kwa vijana hawa zaidi ya 400 walioletwa na CDM ili kuongeza wingi wa watu katika mikutano yao


kaka unahitaji maombi wewe!!!usiongee kitu usichokijua,mimi ni mkazi wa igunga hapa,na bahati nzuri nimeudhuria mikutano yote kaka,mikutano ya chadema hakuna mtu aliyeletwa kwenye fuso wala tololi,watu wote walikuja kwa miguu yao wenye,na baadhi yao walifunga mpaka maduka yao na kwenda kwenye mkutano na baada ya mkutano kuisha kila mtu aliondoka kivyake,kunawaliokuja kwa miguu ambao ndio wengi,kuna waliokuja kwa baiskeli ambao ndio wengi zaidi,
lakini kwenye mkutano wa chama cha magamba(ccm),zilikuja fuso zaidi ya 6 na zilikuwa zimejaza watu waliokuwa wamevaa t shert za njano na kofia kama utitili kutoka singida na sehemu mbalimbali za vijijini,ili kujaza raia zaidi wakabidi wawalete na wakina Masanja mkandamizaji na Joti wa Ze komedy pamoja na ToT ili wajaze watu na kutumia muda mwingi kutoa burudani kwa sababu ya uhaba wa sera zenye nguvu,waandishi wa habari wangekuwa wanatoa habari bila kuchakachua ingekuwa better zaidi kwa sababu chadema huku imesha shinda hata waandishi wa habari wanalijua hilo
wanazichakachua habari coz wamesha nunuliwa wengi wao na chama cha magamba,
CCM kwisha habari yoa!!Mimi naishi Igunga na hizi sio propaganda ni ukweli mtupu
 
nduka mbona unatumia maneno yenye hati miliki, MENDE linamilikiwa na gadafi

MODS wanazi wa CDM wameifuta comment yangu, hivi ninyi hamnaga aibu, mnata kila mtu akae asifie tu CDM, acheni unazi wewe kama mod kazi yako ni ku moderate sio kutetea CDM au ndi mlivyoelekezwa na ma bosi wenu? Hivi unadhani hii komenti moja hapa inaweza kubadili matokeo Igunga? Hebu acheni bongo zenu zifanye kazi si kutumia yale sijui nini wanayaita DIDAS. Acha comments hata kama wewe haikufurahishi kama unajiona unaroho nyepesi na mapenzi na chama chako yamezidi si ingia tu kama member wa kawaida tupiganishe hoja na si huo uoga wenu. pengine ninyi ndio mnaokichafua chama cha CDM kuonekana kama watu wasio kuwa na uvumilivu kumbe ni mijitu michache tu, mbona hao wenye CDM tunakaa nao na kubishana, tunaita magwanda, magamba na kokrochi halafu tunaendelea kugengeana misuba? khaaa SHAME ON wewe mod uliye futa comment na kwa kuwa nilikuwa na ku monitor nitakufuata huko huko kukuonesha mimi ni nani EBOOOOOOO.
 
MODS wanazi wa CDM wameifuta comment yangu, hivi ninyi hamnaga aibu, mnata kila mtu akae asifie tu CDM, acheni unazi wewe kama mod kazi yako ni ku moderate sio kutetea CDM au ndi mlivyoelekezwa na ma bosi wenu? Hivi unadhani hii komenti moja hapa inaweza kubadili matokeo Igunga? Hebu acheni bongo zenu zifanye kazi si kutumia yale sijui nini wanayaita DIDAS. Acha comments hata kama wewe haikufurahishi kama unajiona unaroho nyepesi na mapenzi na chama chako yamezidi si ingia tu kama member wa kawaida tupiganishe hoja na si huo uoga wenu. pengine ninyi ndio mnaokichafua chama cha CDM kuonekana kama watu wasio kuwa na uvumilivu kumbe ni mijitu michache tu, mbona hao wenye CDM tunakaa nao na kubishana, tunaita magwanda, magamba na kokrochi halafu tunaendelea kugengeana misuba? khaaa SHAME ON wewe mod uliye futa comment na kwa kuwa nilikuwa na ku monitor nitakufuata huko huko kukuonesha mimi ni nani EBOOOOOOO.
...
Nenda blog ya michuzi, kuna wenzako kule
 
Polisi wawe makini na jabirio lolote la kudhulum haki za raia huo ni uvunjifu wa amani
 
Ndugu wana JF,

Ni usiku wa saa nne kwa hapa Tz ninapoandika ujumbe huu. Nimeongea na jamaa yangu ambaye ni askari polisi ambaye kwa sasa yupo Igunga. Tathmini aliyoitoa n kwamba CCM hali yao ni mbaya sana Igunga na hivyo kwa sasa wanajiandaa kwa hali na mali washirikiane na jeshi la polisi kuvuruga harakati za ukombozi wa pili wa watanzania na wananchi wa Igunga. Tayari kuna makamanda kama saba wa polisi ambao wamepelekwa huko akiwemo aliyerithi Mikoba ya Kamanda Tossi, huyo anaitwa Anacleth. Wengine ni akina Siro na Liberatus Baro. Wote hapa sasa wanashawishiwa na serikali iwatumia polisi kuhakikisha kuwa CCM inashinda kwa hila. Magari mengi ya maji ya kuwashwa yameshapelekwa huko kwa ajili ya kutoa tvitisho kwa wananchi. Wanaigunga wameamka mno safari hii. Jamaa yangu pia amethibitisha kuwa CCM inabeba watu kutoka vijiji ambavyo viko nje ya Igunga ili mradi ionekane tu kuwa inajaza watu kwenye mikutano.
Kwa wana Chadema mlio Igunga, kazeni buti na mikakati mathubuti iwekwe kulinda kura
Mkuu kiukweli kabisa hizi ndio choko choko za uchochezi,
Niajabu kuna watu tunashindwa hata kuhoja angalau kwa undani huyu mtu anaongea nini? kila mtu narukia na kusapoti kwasababu tu habari hii ipo in favor na chama unachokipenda.
Inawezekana ikawa kweli CCM wakawa maji ya shingo lakini habari hii haina kichwa wala miguu, na mleta mada alijua akiropoka ilimradi anaisapoti Chadema basi atapata sapoti toka kwa watu kibao.
Big up kwa
Who Cares? angalau amejibu ki kreta sinka
 
mbona km hoja haina mashiko!mtoa hoja,unaweza kujaribu tena kulinda hoja yako?polisi ni walinda amani,na hali ilivyo kule Igunga,inaonyesha muda wowote kunaweza kutokea vurugu,hivyo lazima wajiandae kwa lolote linaloweza kutokea na si vinginevyo.
 
Tangu kampeni zianze hapa Igunga chadema tumekuwa tukifanya mikutano mitatu kwa siku,huku CCM ikishindwa kufanya hata mkutano mmoj,zaidi ya ule wa ufunguzi uliofanyika Igunga mjini, tena baada ya kuleta watu kwa malori.

Katika hali ya kukata tamaa, CCM sasa imekubaliana kutumia dola kama njia ya mwisho, kujipatia ushindi.. Kimsingi wananchi wengi Igunga wanataka mabadiliko, na wapo tayari kwa mabadiliko.

Leo Chadema tunafanya mkutano wa 21.. picha baadae

Studies are showing that Winning election is not directly related to the number of campaign rallies made. So please think beyond rallies. Employ retail campaigning if possible and be prepared to to defend victory. THERE IS NO EASY WIN IN POLITICS
 
Wana-Igunga, mpira upo miguuni mwenu kuhusu sakata la ufisadi nchini - Tanzania nzima inawatazameni ama kuupalilia ufisadi au kuuzika kabisa.
 
Back
Top Bottom