Ingawa uchaguzi wa kura za maoni CCM umeshafanyika na mbunge anayeshikilia kiti hicho ndugu Abdulkarim Sha au BULJI alimshinda OMAR KIMBAU lakini katika kuonyesha kutoridhishwa kwa maamuzi ya Kidemokrasia yaliyofikiwa na wana-kisiwa cha Mafia, Omar Kimbau ameamua kukata rufaa kwa madai kuwa daftari la Kilindoni lilibadilishwa na pia kawalalamikia PCCB kuwa hawafanyi kazi zao kadiri inavyotakiwa huku akijisifia kuwa wajumbe wote wa CCM wa PWANI wako MFUKONI MWAKE.
Du mwaka huu tutaona mengi! what a name??????????friendsofjeykey
yaani hata JK na ujanja wake wote naye yuko mfukoni mwa kimbau maana naye antokea Pwani ati?
Kwetu mkoani huyo hiyo tu hata kura yake haipati.
Du mwaka huu tutaona mengi! what a name??????????
Inawezekana wewe huna habari na hao friends of JK? mbaona watu walisharegister kwa jina hilo humu ndani?
Naomba kuuliza jamani..Kimbau huyu na yule Kimbau muhuni promota wa ngumi aliyemvuta mguu bondia akiwa ulingoni na kumtoa nje wakati pambano linaendelea wana uhusiano gani..au ni mtu mmoja?
Hili jina la DC wa Mafia kiboko! "MANGOCHIE MANZIE"
huyu naye hapa anatuletea ma dha h ma tuu hamna cha zaidi.
Vipi yule mgombea mwanamke daktari wa UN ndio mmemtosa? Au hakuhonga vya kutosha?