Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,947
- 43,617
Huwa watu kama ninyi ni waku puuza kabisa! Yan wewe unaanzisha mambo ambayo hayapo sisi tunajadili siasa wewe unachomeka dini!
Mbona una kuwa dhaifu kiaisi hicho? Kwanini usijadili bila kuweka dini kati?
Mbona una kuwa dhaifu kiaisi hicho? Kwanini usijadili bila kuweka dini kati?
Mkuu asante sana hata mkiwabagua Waislamu ndani ya chadema haitaishia hapo itaendelea kula tu.