Hivi akili yako ipo sawasawa kweli?Askofu tunangojea majibu vinginevyo umeogopa na umekimbia mtumbwi ukawaacha abiria
Unasubiri askofu akupe majibu juu ya kitu gani?
Hivi akili yako ipo sawasawa kweli?Askofu tunangojea majibu vinginevyo umeogopa na umekimbia mtumbwi ukawaacha abiria
Jeshi hawahusiki hapo. Wao wanalinda mipakaHiko chama bila ya TISS, piliccm, Jeshi sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine. Kipo madarakani kwaajili ya hao hapo juu basi.
Gwaji boy kawavua nguo, hadharani badala ya kuchutama, wanakimbia kimbia wakiwa watupu. Aibu yao, watamuweza wapi Askofu? Ana akili kama mchwa. Chukua ccm wote na bado hawafikii akili ya Gwajima.
Alooo alooo alooo alooo aloooMsikie huyu boko alilotoaView attachment 3347708
Alioposema yeye ana leseni ya treni na ndege na siyo guta na bajaji, alikuwa anamjibu Muro na nani vile?Askofu tunangojea majibu vinginevyo umeogopa na umekimbia mtumbwi ukawaacha abiria
hahaaa!! Calculator mkononi siyo!Huyo kwao ni asset si rahisi kumfukuza kipindi hiki wanatambua stronghold ya kanda ya ziwa especially Sukuma gang itawasumbua sana. Lazima calculation zao ziwe smart.
Hakupata ajali, alipewa ajali baada ya kuwindwa takribani miaka 4 kwa kufichua uovo wa CCM.MTU pekee Ccm aliyekuwa na akili ni Yule jamaa alikuwa anaitwa Firukunjombe ambaye alipata ajari katika helicopter mwaka 2015.
Utaziponza biashara zao na familia zao. Kwa akili ya policcm watawateka wawaue.Kuna mpango ninawaza nifanye kwa maeneo niliyiyopo.
Nataka kudowload audio yote ya speech ya MNEC Gwajima kisha niende kwenye yale maeneo wanalusha movie na audio wale wa mtaani wanapiga mziki mkubwa kwa sauti. Niwalipe waweke hiyo audio kwa kurudia masaa mawili elfu 40.
Watu hawajui na hawatajua haki sababu hawako tayari kujua haki zaoKuna kitu kibaya sana.. Kibaya mno tumefanywa.. 😭😭😭
Nakuonea huruma ulivyochanganyikiwa na unaumwa una stressYaani speech moja tu ya kada wake kuishauri mamlaka ya juu... Wote wamejaa kwenye mfumo wake
Tangu juzi siku moja bada ya speech yake iliyowakonga nyoyo Watanganyika wengi... Makada, chawa kunguni na viroboto wanashindana mitandaoni na kwenye press conference za mchongo kumjibu
Kujibu sio tatizo je wanajibu nini?
Mipasho
Kejeli
Matusi
Vitisho
Mipasho
Mazonge yake ya nyuma
Mpaka sasa hakuna hata mmoja aliyejitokeza kumpongeza na kumshukuru kwa uthubutu mkubwa aliouonesha.. Kila anayenyanyua kinywa chake anatoa boko lake kumzidi mwenzake
Wanapofanya hivi wanadhani wanamfurahishq rais kumbe ndio wanazidi kumharibia, kumbe ndivyo wanavyozidi kukifanya chama kizidi kuchukiwa
Ndani ya saa 48 Gwajima amesjageuka shujaa na staa kuliko mwanzo
Naye anasafiria upepo huo.. Anadonyoa donyoa hapa na kule.. Na kila anapodonyoa anahakikisha anatoa kitu chenye maana, miongozo na maono mbalimbali kuhusu Tanganyika😂
Tulipofeli
Tulipokosea
Tulipoharibu na nini tunatakiwa tufanye nini kwenye nini kuondokana na mikwamo ya muda mrefu😂😂😂😂
CCM watafute haraka mtu mwenye hekima wa kuwajibu hawa wanaomjibu Gwajima la sivyo atazidi kujijenga binafsi huku akizidi kukibomoa chama chao chakavu mahututi kilichojichokea na kukongoloka kabisaView attachment 3347706
We ni msukule wake amekufufuaGwajima apewe maua yake, Mzalendo halisi wq nchi hii!
Tumerogwa na Mwl Nyerere kuna matambiko yake hapana yametuachia upumbuvu
Sasa mkuu kwa lichama lake hili linavyo umiza watu kweli tufanyeje sasaSio matambiko ya Nyerere au kitu cha uchawi na uongo uongo. .
Ni vitu dhahiri alifanya na vilipaswa vifundishwe hata mashuleni ili vifutwe.
Kwa mfano akaandika kwenye katiba:
RAIS NI SEHEMU YA BUNGE
-----------------
Toka mtoto wa darasa la nne unakuwa brainwashed kukubaliana na manguvu ya Rais na kumtukuza.
Huna upeo darasa la nne wala maneno ya kuuliza, hivi we ticha kuna separation of powers gani hapo kama Rais nae ana sauti bungeni ??????????
Tuna wawakilishi makanjanja sana hii nchi, wanatia aibu sanaGwajima nimeamini ni mtu mwenye akili Sana , nilikua najiuliza kwa nini nchi haisogei kumbe jibu rahisi Sana aina ya wawakilishi wetu ni ya kipekee
Sitashangaa hata kidogo. Hicho chama unapaswa kuwa mtu wa kusifia na kuimba wimbo wa hakuna kama mama, anaupiga mwingi nk. Ukisema mambo yanayopaswa kubadilishwa wewe ni mpinzani. Hawataki kusikia ukweli haoWanamfuta uanachama kwa kusema kweli🤔🥺