Wachangie nn wale wanachoweza ni kusifia tu.Bajeti ya wizara ya mambo ya ndani hakuna mbunge hata mmoja aliyechangia zaidi ya umbea,vijembe,kupongeza 😿🙀😿🙀🙀
Naona wamemleta Mzee Yusuf Makamba atie kiitikio cha mipasho Yao.
Cha kuchekesha Gwajima amekuwa agenda ya mkutano wao wamesahau hata kilicho wapeleka Dodoma
Wanamfuta uanachama kwa kusema kweli🤔🥺Gwajima amewakaba kwenye mapumbu. Katika mapigano hata ukiwa na nguvu kiasi gani ukibanwaa makende utasalimu tu. Nimesikia wamemtoa na kumleftisha kwenye magroup yote ya CCM kuanzia NEC na mengine.
Watu wenyewe wana ufaulu kama wa policcm tu.
Hiki ndicho Chuo alikosoma Mbunge Tauhida Cassian Gallons Nyimbo. Bungeni jana, Mbunge huyu alituita Raia Ni SiSi wa Tanzania kuwa ni KengeBajeti ya wizara ya mambo ya ndani hakuna mbunge hata mmoja aliyechangia zaidi ya umbea,vijembe,kupongeza 😿🙀😿🙀🙀
Halafu Jumapili ijayo ni mbali sana nataka kuona majibu ya G boyYaani speech moja tu ya kada wake kuishauri mamlaka ya juu... Wote wamejaa kwenye mfumo wake
Tangu juzi siku moja bada ya speech yake iliyowakonga nyoyo Watanganyika wengi... Makada, chawa kunguni na viroboto wanashindana mitandaoni na kwenye press conference za mchongo kumjibu
Kujibu sio tatizo je wanajibu nini?
Mipasho
Kejeli
Matusi
Vitisho
Mipasho
Mazonge yake ya nyuma
Mpaka sasa hakuna hata mmoja aliyejitokeza kumpongeza na kumshukuru kwa uthubutu mkubwa aliouonesha.. Kila anayenyanyua kinywa chake anatoa boko lake kumzidi mwenzake
Wanapofanya hivi wanadhani wanamfurahishq rais kumbe ndio wanazidi kumharibia, kumbe ndivyo wanavyozidi kukifanya chama kizidi kuchukiwa
Ndani ya saa 48 Gwajima amesjageuka shujaa na staa kuliko mwanzo
Naye anasafiria upepo huo.. Anadonyoa donyoa hapa na kule.. Na kila anapodonyoa anahakikisha anatoa kitu chenye maana, miongozo na maono mbalimbali kuhusu Tanganyika😂
Tulipofeli
Tulipokosea
Tulipoharibu na nini tunatakiwa tufanye nini kwenye nini kuondokana na mikwamo ya muda mrefu😂😂😂😂
CCM watafute haraka mtu mwenye hekima wa kuwajibu hawa wanaomjibu Gwajima la sivyo atazidi kujijenga binafsi huku akizidi kukibomoa chama chao chakavu mahututi kilichojichokea na kukongoloka kabisaView attachment 3347706
Kitendo hicho ni sawa na kujaribu kuzima moto kwa petroli.Wanamfuta uanachama kwa kusema kweli🤔🥺
Aisee..inasikitisha sana. Au sio waKenge wenzangu?Hiki ndicho Chuo alikosoma Mbunge Tauhida Cassian Gallons Nyimbo. Bungeni jana, Mbunge huyu alituita Raia Ni SiSi wa Tanzania kuwa ni KengeView attachment 3347716
Bila kumsahau na yule Nzi wa Mama😆Makada, chawa kunguni na viroboto wanashindana mitandaoni na kwenye press conference za mchongo
Anahemewa😂😂