Wanajifanya wanajua kumbe hawajui kujibu hojaYaani speech moja tu ya kada wake kuishauri mamlaka ya juu... Wote wamejaa kwenye mfumo wake
Tangu juzi siku moja bada ya speech yake iliyowakonga nyoyo Watanganyika wengi... Makada, chawa kunguni na viroboto wanashindana mitandaoni na kwenye press conference za mchongo kumjibu
Kujibu sio tatizo je wanajibu nini?
Mipasho
Kejeli
Matusi
Vitisho
Mipasho
Mazonge yake ya nyuma
Mpaka sasa hakuna hata mmoja aliyejitokeza kumpongeza na kumshukuru kwa uthubutu mkubwa aliouonesha.. Kila anayenyanyua kinywa chake anatoa boko lake kumzidi mwenzake
Wanapofanya hivi wanadhani wanamfurahishq rais kumbe ndio wanazidi kumharibia, kumbe ndivyo wanavyozidi kukifanya chama kizidi kuchukiwa
Ndani ya saa 48 Gwajima amesjageuka shujaa na staa kuliko mwanzo
Naye anasafiria upepo huo.. Anadonyoa donyoa hapa na kule.. Na kila anapodonyoa anahakikisha anatoa kitu chenye maana, miongozo na maono mbalimbali kuhusu Tanganyikaπ
Tulipofeli
Tulipokosea
Tulipoharibu na nini tunatakiwa tufanye nini kwenye nini kuondokana na mikwamo ya muda mrefuππππ
CCM watafute haraka mtu mwenye hekima wa kuwajibu hawa wanaomjibu Gwajima la sivyo atazidi kujijenga binafsi huku akizidi kukibomoa chama chao chakavu mahututi kilichojichokea na kukongoloka kabisaView attachment 3347706
Huyo kwao ni asset si rahisi kumfukuza kipindi hiki wanatambua stronghold ya kanda ya ziwa especially Sukuma gang itawasumbua sana. Lazima calculation zao ziwe smart.
Sisi ni kengeIla jamani.
Unajua mpaka dakika hii,ilitakiwa wananchi wafanye maandamano kuwafurusha bungeni kabla ya kuvunjwa.
Wabunge wengi ni vichwa maji.
Aisee, hawajakomaa kidemokrasia kabisa.Gwajima amewakaba kwenye mapumbu. Katika mapigano hata ukiwa na nguvu kiasi gani ukibanwaa makende utasalimu tu. Nimesikia wamemtoa na kumleftisha kwenye magroup yote ya CCM kuanzia NEC na mengine.
Hyo mishanging sjui ilingia vp bungeni
π€£π€£π€£π€£π€£Hiki ndicho Chuo alikosoma Mbunge Tauhida Cassian Gallons Nyimbo. Bungeni jana, Mbunge huyu alituita Raia Ni SiSi wa Tanzania kuwa ni KengeView attachment 3347716
Alishindwa Bashite wa kipindi kile sembuse hawa.Hiko chama bila ya TISS, piliccm, Jeshi sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine. Kipo madarakani kwaajili ya hao hapo juu basi.
Gwaji boy kawavua nguo, hadharani badala ya kuchutama, wanakimbia kimbia wakiwa watupu. Aibu yao, watamuweza wapi Askofu? Ana akili kama mchwa. Chukua ccm wote na bado hawafikii akili ya Gwajima.
Bishungwa sasa ni Bokasa, Bishungwa sasa ni Elibashiri, Bishungwa sasa ni mabutu ni kaburu ni iddy Amin Dada kawa ibirisi kajisahau kuwa kuna maisha baada ya uwaziri sasa Bishungwa ndiyo shetani mkuu ccmYaani speech moja tu ya kada wake kuishauri mamlaka ya juu... Wote wamejaa kwenye mfumo wake
Tangu juzi siku moja bada ya speech yake iliyowakonga nyoyo Watanganyika wengi... Makada, chawa kunguni na viroboto wanashindana mitandaoni na kwenye press conference za mchongo kumjibu
Kujibu sio tatizo je wanajibu nini?
Mipasho
Kejeli
Matusi
Vitisho
Mipasho
Mazonge yake ya nyuma
Mpaka sasa hakuna hata mmoja aliyejitokeza kumpongeza na kumshukuru kwa uthubutu mkubwa aliouonesha.. Kila anayenyanyua kinywa chake anatoa boko lake kumzidi mwenzake
Wanapofanya hivi wanadhani wanamfurahishq rais kumbe ndio wanazidi kumharibia, kumbe ndivyo wanavyozidi kukifanya chama kizidi kuchukiwa
Ndani ya saa 48 Gwajima amesjageuka shujaa na staa kuliko mwanzo
Naye anasafiria upepo huo.. Anadonyoa donyoa hapa na kule.. Na kila anapodonyoa anahakikisha anatoa kitu chenye maana, miongozo na maono mbalimbali kuhusu Tanganyikaπ
Tulipofeli
Tulipokosea
Tulipoharibu na nini tunatakiwa tufanye nini kwenye nini kuondokana na mikwamo ya muda mrefuππππ
CCM watafute haraka mtu mwenye hekima wa kuwajibu hawa wanaomjibu Gwajima la sivyo atazidi kujijenga binafsi huku akizidi kukibomoa chama chao chakavu mahututi kilichojichokea na kukongoloka kabisaView attachment 3347706
Huyu fala bwege kilaza Abasi Tarimba kwa sasa ndiyo mbunge mbumbumbu na mwizi kupita wabunge wote Duniani
Mzee wa vitasa.Hyo mishanging sjui ilingia vp bungeni
Ova
Abasi Tarimba ni mbunge wa hovyo sana hana maendeleo kaleta jimbo la kinondoni zaidi ya kuiba pesa za watu kupitia kwenye kubeti ni mbunge wa hovyo kazi kupiga mkorogo kama Nyoshi wa miziki ya congoIla mboga mboga bana,just imagine Leo hii wanamsema Gwqjima eti ahadi zake hajatekeleza,utafikiri hakua mboga mboga mwenzao na alikua anasimamia ilani Yao..Kuna muda ukiwafakiria mboga mboga utagundua wana akili tu za kuvukia barabara.
Ndiyo ushangae na jiwe akiwepo. Leo hii hawa ndiyo wamsumbue wanajichosha tu. Gwaji ni zaidi ya tunavyomuona kwa macho ya nyama. Ndiyo mtu pekee nchini kayasemea maovu ya utekaji na mauaji akiwa nchini na bado yupo.Alishindwa Bashite wa kipindi kile sembuse hawa.
Gwajiboi yuko vizuri. Hawa machawa watachemsha. Kupambana na Bashite na dad wake akiwepo lilikuwa jambo hatari sana...na aliibuka kidedea. Sembuse hawa wanaoropoka ropoka na kubweka tu bila mantiki. Yetu macho!Ndiyo ushangae na jiwe akiwepo. Leo hii hawa ndiyo wamsumbue wanajichosha tu. Gwaji ni zaidi ya tunavyomuona kwa macho ya nyama. Ndiyo mtu pekee nchini kayasemea maovu ya utekaji na mauaji akiwa nchini na bado yupo.
πYaani speech moja tu ya kada wake kuishauri mamlaka ya juu... Wote wamejaa kwenye mfumo wake
Tangu juzi siku moja bada ya speech yake iliyowakonga nyoyo Watanganyika wengi... Makada, chawa kunguni na viroboto wanashindana mitandaoni na kwenye press conference za mchongo kumjibu
Kujibu sio tatizo je wanajibu nini?
Mipasho
Kejeli
Matusi
Vitisho
Mipasho
Mazonge yake ya nyuma
Mpaka sasa hakuna hata mmoja aliyejitokeza kumpongeza na kumshukuru kwa uthubutu mkubwa aliouonesha.. Kila anayenyanyua kinywa chake anatoa boko lake kumzidi mwenzake
Wanapofanya hivi wanadhani wanamfurahishq rais kumbe ndio wanazidi kumharibia, kumbe ndivyo wanavyozidi kukifanya chama kizidi kuchukiwa
Ndani ya saa 48 Gwajima amesjageuka shujaa na staa kuliko mwanzo
Naye anasafiria upepo huo.. Anadonyoa donyoa hapa na kule.. Na kila anapodonyoa anahakikisha anatoa kitu chenye maana, miongozo na maono mbalimbali kuhusu Tanganyikaπ
Tulipofeli
Tulipokosea
Tulipoharibu na nini tunatakiwa tufanye nini kwenye nini kuondokana na mikwamo ya muda mrefuππππ
CCM watafute haraka mtu mwenye hekima wa kuwajibu hawa wanaomjibu Gwajima la sivyo atazidi kujijenga binafsi huku akizidi kukibomoa chama chao chakavu mahututi kilichojichokea na kukongoloka kabisaView attachment 3347706
Chama kimejaa viazi sanaYaani speech moja tu ya kada wake kuishauri mamlaka ya juu... Wote wamejaa kwenye mfumo wake
Tangu juzi siku moja bada ya speech yake iliyowakonga nyoyo Watanganyika wengi... Makada, chawa kunguni na viroboto wanashindana mitandaoni na kwenye press conference za mchongo kumjibu
Kujibu sio tatizo je wanajibu nini?
Mipasho
Kejeli
Matusi
Vitisho
Mipasho
Mazonge yake ya nyuma
Mpaka sasa hakuna hata mmoja aliyejitokeza kumpongeza na kumshukuru kwa uthubutu mkubwa aliouonesha.. Kila anayenyanyua kinywa chake anatoa boko lake kumzidi mwenzake
Wanapofanya hivi wanadhani wanamfurahishq rais kumbe ndio wanazidi kumharibia, kumbe ndivyo wanavyozidi kukifanya chama kizidi kuchukiwa
Ndani ya saa 48 Gwajima amesjageuka shujaa na staa kuliko mwanzo
Naye anasafiria upepo huo.. Anadonyoa donyoa hapa na kule.. Na kila anapodonyoa anahakikisha anatoa kitu chenye maana, miongozo na maono mbalimbali kuhusu Tanganyikaπ
Tulipofeli
Tulipokosea
Tulipoharibu na nini tunatakiwa tufanye nini kwenye nini kuondokana na mikwamo ya muda mrefuππππ
CCM watafute haraka mtu mwenye hekima wa kuwajibu hawa wanaomjibu Gwajima la sivyo atazidi kujijenga binafsi huku akizidi kukibomoa chama chao chakavu mahututi kilichojichokea na kukongoloka kabisaView attachment 3347706
Waambie ukweli Hawa machawa na mapimbi hawajielewi kabisa!Bajeti ya wizara ya mambo ya ndani hakuna mbunge hata mmoja aliyechangia zaidi ya umbea,vijembe,kupongeza πΏππΏππ