CCM kwisha kabisa

Ila we binadamu bhana!

😂😂😂😂
 
Hii ndiyo ile maana ya kukorogeka kwa uelewa,lugha,malengo,mitazamo na nia mawasiliano ,nia ujenzi wa mnara wa babeli.Kilicho bakia ni kupigwa upofu kwa Ghadhabu ya Mungu ili sasa waporomoke kutoka kwenye kilele cha mnara uliojengwa kwa hila,fitna,vitimbi na visa vya wenye uchu wa kidunia.
 
Dah maskini Tanzania yangu…kwa nn viongozi hawana upeo mkubwa hivi? Mpaka sasa hivi kosa la gwajima ni lipi? Ameshauri…ameonya…ameomba majibu…kama mtanzania lakin kwa nn wanapuuza hoja zake ambazo ni za kweli?
 
Dah maskini Tanzania yangu…kwa nn viongozi hawana upeo mkubwa hivi? Mpaka sasa hivi kosa la gwajima ni lipi? Ameshauri…ameonya…ameomba majibu…kama mtanzania lakin kwa nn wanapuuza hoja zake ambazo ni za kweli?
Kosa lake ni kumfunga paka kengele
 
Mwalimu Nyerere alishasema ccm itavurugwa na kuvurugika na Wana ccm wenyewe,
No reform no election ⚒️ 💯
 
Alafu wanajibu bila mpangilio. Ila sababu CCM wamejaa chawa ambao elimu ndogo na hawafanyi tafiti, wanakurupuka tu.
 
Tarimba bna…kwani gwajima hana mtt…? Watoto wake aliwalea katika malezi ya kijinga..wakaingia kwenye utumiaji wa madawa ya kulevya…..masikini alipoteza watoto wake wawil mfululizo ndani ya mwez mmoja…akabakia mmoja anae mwamin ambaye nae ndio mibangi na kubet kwa kwenda mbelee..akawa anasimamia ujenzi wa lile ghorofa pale kinondoni manyanya…
 
Hapa kilichobakia ni JWTZ kufanya finishing, CCM imekwisha jielekeza qibla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…