Amekwambia ameamua kuhamia CDM baada ya ule umati pale Musoma je katika umati ule kuna unaowaita CDM asili? Na tambua CDM ina CDM halisi na CDM makapi ambayo kiongozi wao ni Slaa na Josephine MushumbushiKamanda jipambanue sasa unataka kuja chadema asilia au chadema mafisadi? ? Na labda nikupe maelezo kidogo
chadema asilia ni chadema iliyojipambanua na hoja nzito za ufisadi nchini. Inakemea ufisadi na mafisadi.
Chadema asilia ndio ilibeba falsafa za Dr Slaa na inasema popote alipo dr slaabasi nasi tupo
Chadema mafisadi ndio wale waliopokea makapi na mafisadi waliotemwa ccm. Watu ambao tumekuwa tukiwatukana na kuwasema miaka zaidi ya sita kuwa wachukuliwe hatua na kufungwa.
ahaaaaaaa dogo yuko nondo leo nimefurahishwa na habari ya itv eti mji wa msoma wasimama kwa masaa kadhaa loh
Ni lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kasema mwanangu wa miaka miwili, kisa nimemtania nikijua hajui kinachoendelea kuhusu kwanini vijana wanaonekana wakideki barabara huko musoma?
Hongera kwa uamuzi was busara
Kamanda jipambanue sasa unataka kuja chadema asilia au chadema mafisadi? ? Na labda nikupe maelezo kidogo
chadema asilia ni chadema iliyojipambanua na hoja nzito za ufisadi nchini. Inakemea ufisadi na mafisadi.
Chadema asilia ndio ilibeba falsafa za Dr Slaa na inasema popote alipo dr slaabasi nasi tupo
Chadema mafisadi ndio wale waliopokea makapi na mafisadi waliotemwa ccm. Watu ambao tumekuwa tukiwatukana na kuwasema miaka zaidi ya sita kuwa wachukuliwe hatua na kufungwa.
Ndgu zangu hali niliyo iona Msoma leo sio nzuri naomba nitoe tamko.
Mimi ndugu BwanaX nikiwa na akili zangu timamu na bila kushawishiwa na MTU yeyote Leo nmeamua Rasmi kuama CCM na kuamia CHADEMA kuanzia Leo tare he 11 October 2015 na kamwe sitamshauri MTU yeyote timamu kubaki CCM.

Endelea kumdhihaki Dr. Slaa tu, itafika wakati utaelewa alichomaanisha....
Hajaungana na Magufuli bali anasema "kati ya wagombea 8, watatu anawajua hamu kiasi na Hao ndio wenye ushawishi na nafasi ya kushinda. Kati ya hao huyu wa ACT, Siwezi kumsema lakini Magufuli na Lowassa kila mmoja ana mapungufu yake ingawa Magufuli anayo nafuu zaidi".
hahaahaa mimi kijana wangu wa mwaka na nusu kila akiona watu wanashangilia kwny tv anasema" lowassaaaaaaa pipo payaaa"