jamani tupige kura ushabiki hauwezi kumfanya ashinde na msishangilie tu hii kazi ya kuangusha hili dubwasha ccm ni ngumu mno na inahitaji ujasiri na umakini mkubwa
as long as you got that ability to convince them its ok,ccm we just do what we can to win hatutishwi na maneno kama hayo......
Ndgu zangu hali niliyo iona Msoma leo sio nzuri naomba nitoe tamko.
Mimi ndugu BwanaX nikiwa na akili zangu timamu na bila kushawishiwa na MTU yeyote Leo nmeamua Rasmi kuama CCM na kuamia CHADEMA kuanzia Leo tare he 11 October 2015 na kamwe sitamshauri MTU yeyote timamu kubaki CCM.
... watu wa Mkoa wa Mara siku zote ni stabbon & ma 'anti establishment'Ndgu zangu hali niliyo iona Msoma leo sio nzuri naomba nitoe tamko.
Mimi ndugu BwanaX nikiwa na akili zangu timamu na bila kushawishiwa na MTU yeyote Leo nmeamua Rasmi kuama CCM na kuamia CHADEMA kuanzia Leo tare he 11 October 2015 na kamwe sitamshauri MTU yeyote timamu kubaki CCM.
Kamanda jipambanue sasa unataka kuja chadema asilia au chadema mafisadi? ? Na labda nikupe maelezo kidogo
chadema asilia ni chadema iliyojipambanua na hoja nzito za ufisadi nchini. Inakemea ufisadi na mafisadi.
Chadema asilia ndio ilibeba falsafa za Dr Slaa na inasema popote alipo dr slaabasi nasi tupo
Chadema mafisadi ndio wale waliopokea makapi na mafisadi waliotemwa ccm. Watu ambao tumekuwa tukiwatukana na kuwasema miaka zaidi ya sita kuwa wachukuliwe hatua na kufungwa.

Nilikuwa mjinga kama wewe Siku za nyuma tena kipofu ila mungu aliyemleta lowassa ameniamsha...nita hakikisha wote walio usingizini kama wewe wana amka..
Ni lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kasema mwanangu wa miaka miwili, kisa nimemtania nikijua hajui kinachoendelea kuhusu kwanini vijana wanaonekana wakideki barabara huko musoma?
kAKA HONGERA SANA ILA POLEKWA KUPOTEZA MUDA HUKO ULIKOKUWA.NA HICHO ULICHOKIONA MUSOMA NI KIONJO TU SUBIRI MWANZA NA MBEYA UTACHEKA UFE.Ndgu zangu hali niliyo iona Msoma leo sio nzuri naomba nitoe tamko.
Mimi ndugu BwanaX nikiwa na akili zangu timamu na bila kushawishiwa na MTU yeyote Leo nmeamua Rasmi kuama CCM na kuamia CHADEMA kuanzia Leo tare he 11 October 2015 na kamwe sitamshauri MTU yeyote timamu kubaki CCM.
Ndgu zangu hali niliyo iona Msoma leo sio nzuri naomba nitoe tamko.
Mimi ndugu BwanaX nikiwa na akili zangu timamu na bila kushawishiwa na MTU yeyote Leo nmeamua Rasmi kuama CCM na kuamia CHADEMA kuanzia Leo tare he 11 October 2015 na kamwe sitamshauri MTU yeyote timamu kubaki CCM.
umemfuata bwana wako fisadi Lowassa,afadhali bana nenda huko
Huo ndio ujana wa kileo.Ndgu zangu hali niliyo iona Msoma leo sio nzuri naomba nitoe tamko.
Mimi ndugu BwanaX nikiwa na akili zangu timamu na bila kushawishiwa na MTU yeyote Leo nmeamua Rasmi kuama CCM na kuamia
CHADEMA kuanzia Leo tare he 11 October 2015 na kamwe sitamshauri MTU yeyote timamu kubaki CCM.
BwanaX karibu saana..achana na hyo nyumbu chadema asilia anawajua Mbowe pekeake!! Mbowe ndo anajua alianza na nani na nini..Slaa ni mamluki na yy kaunguna na mafisadi wa ccm na kasahau kabisa alitoa ahad ya kumfunga magufuli akipata urais sshv yupo nyuma ya Magufuli kama koti nadhan kaahidiwa vittanda maalumu au uwaziri kivuli..AIBU YAKE!!karibu kwetu! Dr mihogo amerud kweny shamba lake