Kweli kaka..hii sasa ndo ridhaa yangu! na nta hakikisha name hama na watu 100
Ndgu zangu hali niliyo iona Msoma leo sio nzuri naomba nitoe tamko.
Mimi ndugu BwanaX nikiwa na akili zangu timamu na bila kushawishiwa na MTU yeyote Leo nmeamua Rasmi kuama CCM na kuamia CHADEMA kuanzia Leo tare he 11 October 2015 na kamwe sitamshauri MTU yeyote timamu kubaki CCM.
Karibu kaka yangu kwenye mabadiliko,mimi ndugu yak Anonymous X niko CUF kuwaletea watanzania ukombozi
Kweli kaka..hii sasa ndo ridhaa yangu! na nta hakikisha name hama na watu 100
Ndgu zangu hali niliyo iona Msoma leo sio nzuri naomba nitoe tamko.
Mimi ndugu BwanaX nikiwa na akili zangu timamu na bila kushawishiwa na MTU yeyote Leo nmeamua Rasmi kuama CCM na kuamia CHADEMA kuanzia Leo tare he 11 October 2015 na kamwe sitamshauri MTU yeyote timamu kubaki CCM.
umemfuata bwana wako fisadi Lowassa,afadhali bana nenda huko
Kamanda jipambanue sasa unataka kuja chadema asilia au chadema mafisadi? ? Na labda nikupe maelezo kidogoNdgu zangu hali niliyo iona Msoma leo sio nzuri naomba nitoe tamko.