acha kupotosha...nani kakwambia hao watoro wanaunga mkono ukawa? hao wana mambo yao binafsi ikiwa ni shughuli binafsi au hekaheka majimboni mwao kama alivyo taarifu mbunge kibajaj livingstome.Kuwafukuza wabunge ambao misimamo yao inatofautiana na chama hata kama msimamo wa chama siyo sahihi kwako wewe unaona huo ndio UJANJA! Nadhani CCM itakuwa imeonesha ukomavu wa kisiasa na demokrasia ndani ya chama tofauti na vyama vinavyohubiri demokrasia kwa maneno huku nyuma wameficha mapanga.
Demokrasia gani ambayo mbunge/mwanachama akienda tofauti na msimamo wa chama hata kama anaona hauko sahihi anaitwa msaliti na kufukuzwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
acha kupotosha...nani kakwambia hao watoro wanaunga mkono ukawa? hao wana mambo yao binafsi ikiwa ni shughuli binafsi au hekaheka majimboni mwao kama alivyo taarifu mbunge kibabaj livingstome.
Mbona mansuri kafukuzwa ww uko dunia ipi
Hawana ubavu wa kuwatimua wewe,wanaongea tu ni sawa na mbu nje ya net
Tusubiri hadi jua lizame watakuwa wameshafika na kupinga kama kawaida yaoBuku 7 thread kama hizi hawatii miguu
Wakuu
Salaam kwenu
Leo CCM wametangaza kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuwa wamewaandikia barua wabunge 25 wa CCM waliogoma kuhudhuria vikao vya bunge (waliojiunga na UKAWA)
kujieleza ni kwanini hawaudhurii vikao vya bunge hilo la katiba na ikithibitika hawana sababu za msingi watawatimua.
My take; CCM iache kuwanyanyasa wazalendo wa kweli wa taifa hili.
=====================================================
Chanzo:Mwananchi
Hee dada Mwajumanne kwani huyo said Arfi kajiunga na ukawa hadi atimuliwe?Waanze na said arfi kwanza.
Hakuna jambo kama hilo na hakuna mbunge wa ccm aliyesusa bunge la katiba. Wewe unamanisha Arfi na shibuda kuadhibiwa na chama chao cha kidikteta
- Kumbe chanzo ni lile lile gazeti liliwahi kufungiwa na Serikali kwa kuittukana CCM leo wameanza tena na zile zile tabia zao sawa sawa!!
Le Mutuz
Majina ya hao wabunge tafadhari.