CCM kutosimamisha mgombea Arusha Mjini

Ikishinda mtafanyaje? nauliza tu

Mbona chadema mnaonekana madikteta; heshimuni mahakama

Wananchi wanatakiwa kuelimishwa madhara ya chadema kwa taifa..

Eh...kweli hata we kibaraka...so kati ya Chadema na 'Chama Chenu Magumashi' nani dikteta?
 
Kwa uhakika ccm wanajua matokeo ya jimbo la arusha mjini. Kama alivyuosema thinker hapo juu -- itakuwa vigumu sana kumpata campaign manager kwa sababu ya kujua matokea. Mara nyingi ni hulka ya binadamu kutotaka kuji associate na obvious failure.

Kwa upande mwingine aibu siyo ya umeneja tuu bali aibu ni wao kutosimamisha mtu. Hii ndiyo itakuwa aibu kubwa. Lakini abu nyingine ni ile ya atakae simamishwa kwani anajua kura ziendako. Ni lazima cdm ichukue.

Aibu nyingine yenye kichekesho ni ccm kutokuwa na aibu -- duh. Hawa mabwana utafikiri hamnazo kabisa.
 
 

kwa hiyo walitaka kuipa hasara tu serikali yao?
 

Hivi unadhani CCM kuna roho ya uoga mbele ya pesa?
Jamaa hawajali tena watajazana Arusha mpaka utashangaa.
Arusha CDM damu kama kwetu Rockycity.
peoplessssssssssssssss
 
Matokeo ya Arumeru na baadae defection ya Bwana OleMillya imeleta mwamko na Ari na Ujasiri mwingi miongoni mwa Wananchi..Jamii za Wilaya ya WAMAASAI(NGORONGORO,MONDULI,KITETO,LONGIDO na SIMANJIRO) wanajiskia huru sasa kutamka Kuwa CCM si Mama wala BABA wao na hivyo kuhama waziwazi ni LAZIMA...Nadhani wanaHaki na Uhuru wa kutamka hivyo..kuwa ccm kwao ni njaa....
Heko Sana Vijana Mlioko Mstari wa Mbele kUwamasisha Jamii kusema Hapa kwa MAGAMBA....
 
Watasimamisha tui mgombea watapataje perdiems za kampeni?
 
hawakutumia akili wakati wanatengua ubunge wa Lema wakati huo wanajua kabisa hilo jimbo ni la Chadema
 
Kwa ninavyoifahamu Arusha, hata asimame Kikwete Mwenyewe Kugombea Arusha Mjini, hapati kitu....Nchi nzima ihamie Arusha....anyway

Napita tu, nikaiona hii.
 
Ikishinda mtafanyaje? nauliza tu

Mbona chadema mnaonekana madikteta; heshimuni mahakama

Wananchi wanatakiwa kuelimishwa madhara ya chadema kwa taifa..
Hueleweki bana wee ni popo au kinyonga tena unarangi gani ndani yako????:glasses-nerdy:
 
Ikishinda mtafanyaje? nauliza tu

Mbona chadema mnaonekana madikteta; heshimuni mahakama

Wananchi wanatakiwa kuelimishwa madhara ya chadema kwa taifa..


Itakuwa maajabu ya Ngamia kupenya katika tundu la sindano.
ile aibu ya Arumeru Mash. itakuwa cha mtoto.
 
Wakithubutu tu kusimamisha mgombea prestige yao itakufa kabisaaaa si kushuka tu bora wawaachie cdm wachukue kiulaini jimbo lao!!!
 
Kwani rufaa ya Lema iko vipi?
Naona mwaongelea uchaguzi
 
Ikishinda mtafanyaje? nauliza tu

Mbona chadema mnaonekana madikteta; heshimuni mahakama

Wananchi wanatakiwa kuelimishwa madhara ya chadema kwa taifa..

kama kusababisha kuvunjwa kwa baraza la mawaziri..
 
arusha watasimamisha tu kwani kuna uchaguzi wa kata sita naikitokea kutakuwa na uchaguzi wa mbunge...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…