CCM kutosimamisha mgombea Arusha Mjini

CCM kutosimamisha mgombea Arusha Mjini

Wana falsafa walishasema "Mabadiliko hayakwepeki katika jamii yoyote" Hapo hatuna budi kukubali.

Kuna ukweli usiopingika kuwa katika uhai wowote, kuna KUZALIWA, KUKUA, KUZEEKA na mwishowe KUFA. CCM ilizaliwa, ikakua na sasa inaandamwa na maradhi ya UZEENI. Tunachosubiri ni taarifa za KIFO tu
 
Hiyo ni vita ya maneno, CCM itasimamisha mgombea mjini Arusha Liwalo na Liewe ushindi ni lazima.
 
Majaji wa mahakama ya rufaa watakaa tarehe 20/09/2012 ili kuipitia na watapanga tarehe ya kutoa hukumu siku hiyo.
 
Back
Top Bottom