johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,998
- 142,023
Huo ndio ukweli, ndani ya miaka 60 hatujawahi kutoka nje ya fikra za Mwalimu Nyerere kiuhalisia.
Wale waliokuwa wanaimba "Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM," ndio hao watoto wao wanatuongoza leo.
Kiufupi CCM kwa maneno na matendo yake ni sawa na dini, ndio sababu ukiisumbua unaitwa na kubatizwa then unatulia.
Kizazi cha kuleta mabadiliko siyo hiki na labda kitakuja baada ya gharika kwa sababu uovu umekithiri na ule mwisho umekaribia.
Jumaa Kareem!