Kwa mtazamo ccm ni chama chakavu kimezeeka miaka 50 bado kinang'ang'ania madaraka namshukuru Mungu watanzania wameshaelimika wanajua maovu yanayafanywa na ccm likiwepo la kuwaangamiza viongozi wa vyama vya upinzani kama chadema leo Joshua Nassari pamoja na Lema wamepeleka ushahidi pamoja na muhusika aliyetendewa unyama na police wa ccm lakini makinda ametumia ubabe kuizimisha ile hoja tumepoteza ndugu zetu wengi na wahusika ni serikali ya ccm mtawambia nini watanzania 2015???