ccm kushinda uchaguzi 2015 ni ndoto za kichaa kujenga kujenga ghorofani angani !!

kill

JF-Expert Member
May 21, 2013
1,829
234
Kwa mtazamo ccm ni chama chakavu kimezeeka miaka 50 bado kinang'ang'ania madaraka namshukuru Mungu watanzania wameshaelimika wanajua maovu yanayafanywa na ccm likiwepo la kuwaangamiza viongozi wa vyama vya upinzani kama chadema leo Joshua Nassari pamoja na Lema wamepeleka ushahidi pamoja na muhusika aliyetendewa unyama na police wa ccm lakini makinda ametumia ubabe kuizimisha ile hoja tumepoteza ndugu zetu wengi na wahusika ni serikali ya ccm mtawambia nini watanzania 2015???
 
Heri umenena, ngoja buku saba waje waanze kazi sasa wamepata cha ku-comment
 
watashinda tena vizuuuri,kwa ubua...ccm wanamtaji mkubwa sana ktk nchi hii, na wengi wa wapiga kura sio ma-reasonable
 
Waliwanyima elimu watanzania wengi hawajitambui, ila kwa hali inayoendelea sasa, naona vijijini wameamka, nafikiri ni kwa sababu ya kupigika wana hasira kweli na CCM
 
Back
Top Bottom