CCM kuna utoto mwingi sana

CCM kuna utoto mwingi sana

😁We jamaa huogopi !! Wasi wasi umetanda tusije fuatwa na sisi kuvunjiwa milango na kutoweshwa. Mmoja alisikika akisema KATIBA NI KULA NA KUSHIBA 🙌🙌
Pumzi ni Moja, wana familia na sisi to tuna familia.

beside hao wavunjaji milango tuna wajua Sana, so hata sisi tuna weza vunja Yao.
 
Yaani watu wenye wajibu wa kikatiba wakae na kuoteza muda kujibu uropokaji wa mtu anaweweseka kutafuta pakutokea? surely?

yaani mwenye akili apoteze muda kujibu upotoshaji ambao hauna ushahidi wala mashiko yoyote, kweli ?🐒
Kapotosha nini?
 
Pumzi ni Moja, wana familia na sisi to tuna familia.

beside hao wavunjaji milango tuna wajua Sana, so hata sisi tuna weza vunja Yao.
Watanzania wenzetu Bado Sanaa LABDA wenye usubutu ni wakurya wengi majority Bado Sanaa.

Kwa Sasa hata humu ndani sio salama Sana kwa Sasa maana wapo humu 24/7 maana wanajua hili jukwaa ni la watu wenye high thinking capacity makinika tusije vunjiwa milango 🥺
 
Mwana CCM yupo radhi hata kumkana mama yake mzazi ili alinde cheo chake, siyo kwamba wanampenda Rais , la hasha wanamkemea yeyote yule atakayehatarisha maslahi yao na matumbo yao na wanaamini wamkimtetea Rais basi maslahi yao yako salama kwakuwa yeye ndo mteuzi wa Kila kitu including ubunge
 
Gwajima na mapungufu yake mengi tuu lakini this time around kaongea kitu kikubwa sana kilichogusa mamilioni ya watanganyika kwenye swala zima la utekaji

Wengi tulitegemea ndani ya chama chake apate support kubwa ama ajibiwe kwa hoja ..

Kinyume chake kuanzia uduvi, dagaa, kambale na sharubu zake mpaka papa la mapapa.. Woote katika umoja wao hakuna aliyeonesha hekima tafakuri wala heshima
Wallishindana kumshambulia kwa

Mipasho
Kejeli
Tuhuma
Matusi
Vitisho nknk

Wa juu kabisa walikaa kimya tuli, tukatajarajia kimya chao ni kimya cha tafakuri.. Lakini lahaula.... Walipofungua vinywa na misamiati mipya ikapatikana hapo.. Na hadhira ikaangua vicheko na kushangilia sana.. My beloved Tanganyika!😒🤔😪

Nikajikuta nakumbuka waswaheli waliosema

Lila na fila havitangamani... Na ndege wafananao huruka pamoja
ukiona mwanao yuko vizuri kichwani jua kaiga kwa mama au kwa baba .. Na kinyume chakeView attachment 3351434
🙄😭😭 Hii nji imeingizwa shimo la Tewa maana iko kwa Autopilot 100%
 
CCM ilichofanikiwa zaidi ni kuwekeza zaidi katika ujinga wa watanzania na asilimia kubwa ya watanzania ni wabinafsi wanajijali wao tu hawajali maisha ya watoto wao na wajukuu wao watakaokuja na kizazi chetu kitakachokuja tunaacha misingi gani ya kitaifa baada ya sisi kuwa tumeondoka Ili waikute Tanzania watakayofurahia kuishi kwa amani , kiuchumi ,kidemokrasia kijamii ,kiutawala bora, katiba inayoendana na nyakati tunazoishi n.k.

Huwa nakubaliana na hoja kwamba sisi watu weusi ni jamii ya watu wajinga zaidi duniani na inawezekana utafiti ukifanyika watanzania tukaibuka wa kwanza kuwa na idadi kubwa zaidi.

Ole wenu nyie watanzania msioona uchungu wa nchi yenu kwa kuwa mnapata kipande cha mkate muwapelekee na wanenu hatari mnaona kawaida na kutetea uovu, wakiisha wale magwajima na sisi kenge mtageukiwa mnaoshangilia.
Hapa tulipofikia co siri tena! Tunaitaji kina Traore au kina late Thomas Sankara ndo tutaelewana!!
 
Mwananchi anafichua ufisadi mkubwa kwa kupost hadharani genuine documents

Kiongozi mkubwa badala ya kuchukua hatua stahiki, anamlaumu aliyefichua na kudai eti “sio uzalendo kufichua siri za “serikali”

Hili la Gwajima lipo kwenye muktadha huohuo

Kuna tatizo kubwa mahali flani na samaki huoza kuanzia kichwani
 
porojo zote alizoropoka ni upotoshaji mtupu 🐒
We ni chawa na chizi la kutupa!!!
Yaani Serious matters we unaona ni porojo kweli?
1. Ben Saanane
2. Azory Gwanda
3. Ali Kibao
4. Mdude Nyagali
5 ++ 80+ others.
Wote wamepotea au kuuawa kinyama lakn mpaka leo hatujui wako wapi.
Halafu mjinga fulani wa CCM unadai ni porojo.....!!!
Shame on you!!
 
Chuma Hicho Na Sasa Kinatema Che Che Che
Gwajiboy ni mashine ingine. CCM wajipange kujibu hoja za Askofu na si kumshambulia au kumjadili Gwajma.

Vinginevo watakuwa wanatimiza ule msemo wa kithungu: INTELLIGENT MIND DISCUSS ISSUES BUT SIMPLE MIND DISCUSS PEOPLE.
 
Back
Top Bottom