CCM kuna utoto mwingi sana

CCM kuna utoto mwingi sana

Kila ccm au chawa wa Saa100 anayenyanyua mdomo kumjibu Gwajima wanatema pumba na viroja balaa.
 
Yaani watu wenye wajibu wa kikatiba wakae na kuoteza muda kujibu uropokaji wa mtu anaweweseka kutafuta pakutokea? surely?

yaani mwenye akili apoteze muda kujibu upotoshaji ambao hauna ushahidi wala mashiko yoyote, kweli ?🐒
Nani mwenye akili sasa, sa100??!!.
 
Yaani watu wenye wajibu wa kikatiba wakae na kuoteza muda kujibu uropokaji wa mtu anaweweseka kutafuta pakutokea? surely?

yaani mwenye akili apoteze muda kujibu upotoshaji ambao hauna ushahidi wala mashiko yoyote, kweli ?🐒
Umesema kweli. Wenye akili na wajibu wa kikatiba hadi sasa hawajazungumza lolote. Ila waropokaji wamesharopoka kama kawaida yao. Tumewajua na bado tunaendelea kupata 1 na 2 kutoka kwa chawa na nyukiwa mama na mama mwenyewe
 
Mshana Jr unajua yule akisema Mshana Jr ananikera sana ujue wasiojulikana wanakuua na sheria zetu hao wabunge walipitisha hata wauaji wanakinga pamoja na rais. Pascal Mayalla namuelewa sana ushauri wake kwa Gwaji boy, yaani kama taifa tunaweza kuwa na rais mwenye tatizo la afya ya akili na akaua watu wengi bila sababu.
 
IMG-20250603-WA0009.jpg
 
Vitu kama hivi na watu kama hawa ndio wanazidi kuididimiza ccm
1749435397358.jpg
 
Back
Top Bottom