CCM kumtwisha mzigo Lowassa Arumeru Mashariki

Chadema wanamtaji Arumeru Mashariki na wanachosubiri ni ushindi tu.CCM wahangaike na mafisadi lakini wanaarumeru wana maamuzi yao.
 
ritz hivi agrey mwanri yupo wapi? huyu jamaa ni jembe mno CCM akuna mfano naye mpelekeni Arumeru plse huyu anaweza kubadilisha upepo mzima wa AR cause jamaa ana Data na ashindwi hoja pia kuelezea mchakato mzima wa maendeleo ya arumeru

List
Mwanri agenda maendeleo ya wana Arumeru na bajeti yake kwa ujumla Alamashauri zote
Magufuli Agenda mabarabara kwa ujumla Arumeru
Simbachawena Agenda Bungeni kwa ujumla na majibu ya CDM kwenye mikutano yao
Sendeka huyu ni mzuri wa kupinga au kujenga hoja hata kama ni za kweli na zikawa si za kweli
January agenda kujenga hoja ya posho na kodi za nyumba kwa wapangaji
Kinana agenda kuweka wazee wote Arumeru kukisupport chama
Sita agenda Ufisadi yeye aliruhusu mijadala na bila yeye yasingekuwepo ivi sasa izi atazijibu ikiwa chadema itatumia kama ngao yao
Na vijana wengine wakiwepo pia wakina mama na mabinti wabunge waende kupiga kambi bila kujali nyadhifa zao.

Ila mzee CCM Du watu wenye mvuto wakutafuta namna hii ikiwa mna wabunge 300? kuna kazi ya ziada ya kukisafisha chama wengi waliopo ni matumbo yao chama washakisahau kabisa maoni

Nitakuja tena baada campaign kuisha.

Gerlad,
Huyu mbunge wa CCM Aggrey Mwanri, Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tamisemi.

Ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na mchapakazi sana nadhani hata wewe utakuwa unamkubali kwa utendaji wake serikalini.

Ukiangalia hata kwenye uchaguzi mkuu jimbo la Siha, alipata ushindi mkubwa alipata kura 26,620, mpinzani wake wa Chadema alipata kura 4,678 tu.

Huyu kama watafanya kampeni za pamoja na Lowassa, unadhani hali itakuwaje Arumeru Mashariki?
 
Hivi zimebaki siku ngapi walizopewa mafisadi kujifikiria,

au nimekumbushia mapema sana tusubiri hadi uchaguzi upite,

CCM kwa usanii ni zaidi ya uijuavyo.
 
Wanabodi,

Chama cha Mapinduzi (CCM) kina mpango wa kumbebesha mzigo mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, kwenye mapambano ya kuchukuwa Jimbo la Arumeru Mashariki..

Sababu zinazotolewa na baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM pamoja uongozi wa CCM Arusha, ni kwamba Lowassa ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa katika siasa za Arusha.

Machi 9 mwaka huu kampeni zinaanza na Aprili Mosi upigaji kura utafanyika.

Wananchi kadhaa wa Arumeru, wanaozungumzia uchaguzi huo mdogo wa Arumeru wanasema wazi Lowassa, ndio pekee anayeweza kujibu na kusikilizwa na jamii inayoishi katika jimbo hilo.

Ikielezwa kwamba Slaa, ana ushawishi mkubwa kwa wakazi wa Arusha, ushawishi ambao unaweza kupanguliwa na Lowassa pekee miongoni mwa makada wa chama tawala.

Arumeru kuna makabila makubwa mawili Wameru 66% na Wamasai, ambao wengi wanamkubali sana Lowassa.

ritz lowassa hana ushawishi wowote kwa wameru baada ya yeye kuamua kuukana umeru kisha kudai yeye mmasi kisa walihamia monduli na kuna mengi lowasa alifanya mabaya kwa wameru to mention by few issue ya maji.
Unaposema lowassa anaushawishi arusha siyo sawa coz ushawishi wake upo jimboni kakwe na cyo arusha kwa ujumla
 
Gerlad,
Huyu mbunge wa CCM Aggrey Mwanri, Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tamisemi.

Ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na mchapakazi sana nadhani hata wewe utakuwa unamkubali kwa utendaji wake serikalini.

Ukiangalia hata kwenye uchaguzi mkuu jimbo la Siha, alipata ushindi mkubwa alipata kura 26,620, mpinzani wake wa Chadema alipata kura 4,678 tu.

Huyu kama watafanya kampeni za pamoja na Lowassa, unadhani hali itakuwaje Arumeru Mashariki?

mimi kwa lowasa bado nasitasita sijui kwanini anyway nachojua ni lowasa ataibebesha mzigo ccm kwa kashfa nyingi na kumfanya mwanri apwaye kwenye majibu ya maswali kwa wananchi lowasa ni kifaa ila unapoingia kwenye chaguzi kama hizi inabidi uwe msafi so sintochelewa kusema cdm itapata umaarufu kupitia kwa lowasa na kuanika maovu yote ya chama ni mawazo yangu weka timu niliyojaribu kuiweka hapo juu ni watu mahiri sana kwenye jukwaa
 
then pale kwenye agendaya kinana muongeze lowasa sasa ila yeye lowasa awe chinichini na kinana awe frontline kuwashawishi wazee wenzao hapo watapata mtaji wa wa zee na kina mama ila uku kwenye mapambano weka hiyo team inautashi kidogo na vijana na wanamvuto kwa vijana sio lowasa plse
 
Nakubaliana na hoja yako, HIYO ni sababu tosha Dr. Slaa kachomooa Kugombea Arumeru alijuwa hataweza kupangua makombora ya Lowasa wakati wa kampeni. POLENI CDM huu utakuwa uchaguzi mdogo wa tatu kulalia pua; kumbukeni IGUNGA, UZINI
Hebu punguza umbeya wa kike!
 
CCM kama wataamua kumtumia Lowassa Arumeru basi itakuwa ni pigo kubwa sana kwa Chadema, ndani ya Chadema kwenyewe kuna watu wa Lowassa.
 
Jitu Jizi na Watz wengi wanamjua huyu bwana ati leo tena aongoze campaign watu werevu wa Arumeru? Kweli akili za vijana cku hizi zimeingiliwa na Mafisadi,endeleeni na ujinga wenu
 
mimi kwa lowasa bado nasitasita sijui kwanini anyway nachojua ni lowasa ataibebesha mzigo ccm kwa kashfa nyingi na kumfanya mwanri apwaye kwenye majibu ya maswali kwa wananchi lowasa ni kifaa ila unapoingia kwenye chaguzi kama hizi inabidi uwe msafi so sintochelewa kusema cdm itapata umaarufu kupitia kwa lowasa na kuanika maovu yote ya chama ni mawazo yangu weka timu niliyojaribu kuiweka hapo juu ni watu mahiri sana kwenye jukwaa
Wakuu mmesahau MoU ya cdm na Lowasa?
 
ritz lowassa hana ushawishi wowote kwa wameru baada ya yeye kuamua kuukana umeru kisha kudai yeye mmasi kisa walihamia monduli na kuna mengi lowasa alifanya mabaya kwa wameru to mention by few issue ya maji.
Unaposema lowassa anaushawishi arusha siyo sawa coz ushawishi wake upo jimboni kakwe na cyo arusha kwa ujumla

We subiri kipenga kipulizwe cha kupanda jukwani halafu ndani ya wiki moja tu baada ya hapo tutaona timu yenye mfano wa Barca ni ipi?
 
Jamani mnataka kunihakikishia kua kwa kujua hilo ndio maana ameamua kumuweka mkwe wake......atakua ni mbinafsi na hafai kwa mantiki hiyo.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kina mpango wa kumbebesha mzigo mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, kwenye mapambano ya kuchukuwa Jimbo la Arumeru Mashariki..

Sababu zinazotolewa na baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM pamoja uongozi wa CCM Arusha, ni kwamba Lowassa ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa katika siasa za Arusha.

Machi 9 mwaka huu kampeni zinaanza na Aprili Mosi upigaji kura utafanyika.

Wananchi kadhaa wa Arumeru, wanaozungumzia uchaguzi huo mdogo wa Arumeru wanasema wazi Lowassa, ndio pekee anayeweza kujibu na kusikilizwa na jamii inayoishi katika jimbo hilo.

Ikielezwa kwamba Slaa, ana ushawishi mkubwa kwa wakazi wa Arusha, ushawishi ambao unaweza kupanguliwa na Lowassa pekee miongoni mwa makada wa chama tawala.

Arumeru kuna makabila makubwa mawili Wameru 66% na Wamasai, ambao wengi wanamkubali sana Lowassa.[/QUOTE]
 
naona ulitaka niseme upinzani utachukua jimbo kirahisi ? Kama ni hivo unahitaji dawa ya minyoo . Siwezi kubishana na mtu kama wewe ni kujipotezea muda . Hukai meru na wala hujui siasa za huku . We tulia subiria matokeo maana kura hazipigwi huku jamvini .

Mkuu watu humu huwa wanaamini wao ndio waamuzi wa wananchi wa Tanzania. Humu wanaweza kuamua kumpa Urais Kimbunga wakati Kimbunga mwenyewe hana hata ushawishi wowote wa kisiasa. JF ukisema chochote cha ukweli ambacho haikwapendezi watu fulani basi unaonekana ni juha. Kuna watu humu walisimamia kucha wakisema mgombea ubunge wa CDM huko uzini angemshinda Raza kana kwamba watu hawajui siasa za Zanzibar.
 
Mimi sikubaliani na hilo,sisi wa arumeru,tunao uwezo wa kupembua mbivu na mbichi,wala msimdanganye Mh.Lowasa kua anachoweza kuchangia hapa,kwanza ameshaonyesha jinsi alivyombinafsi kwa kumshinikiza mkwe wake achukue fomu ya kupitishwa na chama chao.hilo tu lilitosha yeye kutokua tena na uwezo wa kutushawishi japo yeye pia ni MMERU MWENZETU.
 
jamani mnataka kunihakikishia kua kwa kujua hilo ndio maana ameamua kumuweka mkwe wake......atakua ni mbinafsi na hafai kwa mantiki hiyo.

Chama cha mapinduzi (ccm) kina mpango wa kumbebesha mzigo mbunge wa monduli, edward lowassa, kwenye mapambano ya kuchukuwa jimbo la arumeru mashariki..

Sababu zinazotolewa na baadhi ya viongozi waandamizi wa ccm pamoja uongozi wa ccm arusha, ni kwamba lowassa ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa katika siasa za arusha.

Machi 9 mwaka huu kampeni zinaanza na aprili mosi upigaji kura utafanyika.

Wananchi kadhaa wa arumeru, wanaozungumzia uchaguzi huo mdogo wa arumeru wanasema wazi lowassa, ndio pekee anayeweza kujibu na kusikilizwa na jamii inayoishi katika jimbo hilo.

Ikielezwa kwamba slaa, ana ushawishi mkubwa kwa wakazi wa arusha, ushawishi ambao unaweza kupanguliwa na lowassa pekee miongoni mwa makada wa chama tawala.

Arumeru kuna makabila makubwa mawili wameru 66% na wamasai, ambao wengi wanamkubali sana lowassa.
[/quote]
 
Back
Top Bottom