Samweli Mathayo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 1,577
- 1,716
AlishindwaKama lowasa akiachiwa meru ,hakika ccm itashinda hili halina ubishi hata kidogo ( iwapo tu sioi sumari atakuwa mgombea ) . Wameru siku zote wanaomba kwa Mungu nawao watoe rais wa hii nchi na karata yao ni kwa lowassa . Wanaamini kama sioi atakuwa mbunge na lowassa rais watapata maendeleo kwa haraka jimboni kwao ,hili halina ubishi hata kidogo . Kwa upande wa chadema wanahitaji kazi ya ziada ili waweze kuwashawishi wameru .
NB . LOWASSA NI MKWE WA SIO SUMARY.