CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

Tena nasema yule aziza ni mstaarab sana nampa heko,yule magige angekutana na kichwa kilicho resi hata hilo shada asingeweka
Pumbavu zake kabisa,eti kisa mbunge!napata picha ndo ningekua mimi mbona show angeifurahia huyo mbunge
 
Kwani serkali hairuhusu kutengana?
Haitambui ndoa za mitaala?

Kama una Ndoa ya Kanisani,na hujatoa talaka,Serikali haitambui mitala maana kisheria Ndoa ya Kanisani ni Ndoa ya Mke mmoja tu. Toa talaka Mahakamani hapo Serikali ndiyo itatambua Ndoa yako ya pili ambayo ni wazi utaifunga Kiserikali,maana Kanisani hutoruhusiwa.
 
Lkn serkali inajua kutengana au ?
 
Tena nasema yule aziza ni mstaarab sana nampa heko,yule magige angekutana na kichwa kilicho resi hata hilo shada asingeweka
Pumbavu zake kabisa,eti kisa mbunge!napata picha ndo ningekua mimi mbona show angeifurahia huyo mbunge
Nadhani hukuona clip nakuwekea chini, binti alikuwa mnyenyekevu sana! Hakutumia ubabe
 
Hahahahaa. Kama si wosia basi akaunti yake itanona .
Wanawake wanakutesa halafu wanasubiri ufe wafaidi.
Huyo aliyekutunza sheria kama hazimuelewi nitamuelewa mimi

Hapo sawa,lkn kumweka kwenye Wosia Kimada kwa minajili ya kuwakomoa Mke na Watoto utakuwa umemwingiza cha Kike kama Jack alivyoingizwa cha Kike na Mzee Machache japokuwa alikuwa Mke halali,akashindwa kuona kuna makosa kwa kutowaingiza Watoto wa Marehemu.
 
Kafiwa na hawarayake
Mbona km hili mnalifanya geni?

lawama hizi apewe marehemu kuwa na mke na hawara
Cat mtalaumu bure tu

So wewe hawara unaona ni sifa na ananguvu kuliko huyo mkewe!!! Hivi dunia inaelekea wp sasa!!
 

We mjinga mwengine eti alikua mke wake
 
Ndo nasema mimi ningetumia ubabe yan ningemrukia magige hapohapo🤣🤣🤣
 
Cheti cha ndoa makaratasi ya kisheria tu hasa katika mirathi si katika kuzika

Msiba nj swala ka kifamilia zaidi,unalazimishaje kwenda kwenye Msiba ambao wenye msiba hawataki? Tuliona kina Mzee Mandela walizikwa kifamilia zaidi na watu Wachache,mbona watu baki hawakuvunja mageti kwenda kuzika?
 
Pamoja na yote kuna kitu kinaitwa hekima
Nimejiridhisha pasi na shaka mbunge huyu HEKIMA hana tena hana kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…