CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha


Mlidhani Singida!!!!
 

Huo ushindi mnaosheherekea leo ni upi? wa kuua watu bila hatia kwa kutumia polisiccm?
 

hapo kwenye red hakunaga neno kama hilo kwa kiswahili
 
kumbe nyie ndio mateka wa CCM
ningekuwa wewe Rits leo ndio ungekuwa mwisho wangu kutumika mitandaoni kwa faida ya wengine
Leo Chadema wataiona Arusha kama motoni watu wamechoka kuwa mateka wa Lema.
 
Hivi haka kadada kameondoka na gaidi lake au kamebaki Arusha.
Hawa ndiyo wasomi wetu, wasomi wasiojua upepo unaelekea wapi kwa wakati husika, wakijitahidi kuubadilishia uelekeo bila mafanikio.
 
Hiki kibinti duh hivi kina akili ya kufikiri kweli au ndo kidesa hadi nje ya darasa.
 
Baada ya uchaguzi urudi utueleze matokeo. Naomba usijifiche, manake nahisi huu uzi lazima utakuwa umekula cha juu. Haiwezekani kuja na huu uzi kama hujapanga matokeo. Nakuhakikishia, ni heri ungebaki pale CHADEMA bila cheo chochote kuliko huko ulipo. Inasikitisha sana dadangu, kuwa mlafi wa madaraka na udogo wako, tena madaraka unayataka ukiwa CCM. Tulishaambiwa CCM ina wenyewe, na wenyewe wanajijua A-Z, ninyi ndo mmefanwa wapiga debe. Wenye chama wametulia mithili ya Mnyapara anaewachunga wafungwa wasitoroke. Julliana please take my words, as time goes your popularity will decrease drastically na watakutazama wakijua wazi kuwa hukujua CCM ina wenyewe...
 
hapo kwenye red hakunaga neno kama hilo kwa kiswahili

Unakumbuka nilikuambia unatumika kama mpira wa kiume?? Mmeshinda kata ngapi wewe kibaraka wa siasa,
A town imekufanya uone siku zako kabla ya muda, jumanne tuko manispaa kumngoa meya
 
...honereni sana kwa ushindi mnono.unajua timing ya kuingiza buk 7 ...
 
Leo mmekoma kiherehere, na hii itakuwa nchi nzima mpaka mbaki mnalia hovyo. Endeleeni chuki zenu kwetu mnatuwekea mazingira mazuri ya ushindi mara dufu. VIVA CHADEMA
 
Bila shaka sasa hivi umepata matokeo ya uchaguzi, pia hili ni fundisho

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Masikini dada wa kimandolu, SAVIMBI kamlaghai ushindi kavitumia via vyake vya uzazi weee mwisho wa siku ushindi hakuna.
Hivyo ndivyo itakavyokutokea na wewe, umeshaingia humo huwezi kutoka, hahaha...........
POLENI SANA.
 
Wajameni, haka ka bint kana midomo bomba saana kula mate, hivi nani anamiliki au ana hati miliki ya mzigo huu?
 

Matokeo yamekwishajulikana sasa, Nilikuwahidi jioni tutapata uhakika wa kinachoendelea sasa unasemaje?. Ushindi umepatikana au nawe umekuwa kama nilivyokwambia ndege wafananao huruka pamoja? Je umeumbuka kama mwenzio au we unaafadhali?.

Tukiachana na hayo vipi lakini hali yako? unaendelea vizuri au presha imekupanda? Usiogope kuomba msaada kwani uchaguzi sasa umeisha imebaki kuwahudumia wananchi ukiwemo wewe kwani CDM haibagui wananchi wake.

Hata hivyo nikutakie usiku mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…