CCM ni chama safi ila huyu mama na mwanae ndo miyeyushoCCM ilishakufa kitambo tu. Kwa sasa kuna genge tu la wahuni wachache. Na hawa ndiyo wanaomuendesha huyo mama kama gari bovu.
Aponzwe mara ngapi, mbona ameshaponzwa.CCM kubalini uwezo wenu wa kuongoza taifa umefikia mwisho, umegota na kila lenye mwanzo halikosi mwisho.
Ili kukinusuru chama kwa muongo mwingine ujao mshaurini Samia ajiuzulu, iandikwe katiba mpya uchaguzi urudiwe hiyo ndiyo itakuwa salama yenu.
Kuendeleza jeuri kuwa sisi ndio chama tawala mtafutika kwenye uso wa dunia na kubaki jina kama vilivyo vyama vingine vya ukombozi ikiwemo KANU.
Kuendeleza jeuri ni kumtengenezea Mwenyekiti wenu njia ya kushitakiwa kwenye mahakama za kimataifa na au kumshushia heshima mbele ya mataifa. Roho elfu 10 hazitoshi mnataka kumwongezea zingine, muwe na huruma.
Mauaji yaliyotokea October 29 si tu yamelitia doa Taifa la Nyerere bali yamekitia doa chama cha Mapinduzi CCM, yameutia doa utawala wa Rais Samia, maana haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa Tanganyika.
CCM mtambue kuwa hamuongozi kizazi cha miaka ya 60 kina Butiku mnapambana na kizazi cha 2000 ambacho hakina kitu cha kupoteza zaidi ya maisha yao.
Sioni ni kwa njia gani hili wimbi la mabadiliko yanayoshinikizwa na vijana wa Gen Z mtayazuia kwa mawazo ya kizamani ya kina Wassira, kina Nchimbi, kina Kabudi ya kutumia vitisho vya dola, udini yatafanikiwa.
Mlitumia vitisho vya polisi vijana wakaandamana, mmewaua kwa maelfu wamepanga kuandamana tena. Na kete mnayotumia ya Udini ndiyo itakayokuwa kaburi la CCM na mnamchimbia Mama kaburi lake kwa mikono yenu.
ITUNZENI HII LISTI IWE KAMA REFERENCE KWA SIKU CHACHE ZIJAZO.
CCM kwa miaka zaidi 30 sasa imeshakuwa chama kichafu cha waovu.CCM ni chama safi ila huyu mama na mwanae ndo miyeyusho
Unamjua mwenyekiti wa CCM? Yeye ndio Rais, yeye ndio anafanya teuzi zote nchi nzima, kuanzia jeshi, polisi, magereza, uhamiaji, mahakamani, taasisi za Serikali, mawaziri, DC, RC, hawa wateuliwa wote wanakula si kwasababu wanakidhi vigezo ni kwa ridhaa ya mteuzi.Ili kukinusuru chama kwa muongo mwingine ujao mshaurini Samia ajiuzulu, iandikwe katiba mpya uchaguzi urudiwe hiyo ndiyo itakuwa salama yenu.
Na hao ndio wanaompomza kwa yeye kuwaamini. Shoot to kill na yeye anakubali.CCM ilishakufa kitambo tu. Kwa sasa kuna genge tu la wahuni wachache. Na hawa ndiyo wanaomuendesha huyo mama kama gari bovu.
CCM kubalini uwezo wenu wa kuongoza taifa umefikia mwisho, umegota na kila lenye mwanzo halikosi mwisho.
Ili kukinusuru chama kwa muongo mwingine ujao mshaurini Samia ajiuzulu, iandikwe katiba mpya uchaguzi urudiwe hiyo ndiyo itakuwa salama yenu.
Kuendeleza jeuri kuwa sisi ndio chama tawala mtafutika kwenye uso wa dunia na kubaki jina kama vilivyo vyama vingine vya ukombozi ikiwemo KANU.
Kuendeleza jeuri ni kumtengenezea Mwenyekiti wenu njia ya kuelekea ICC na kumshushia heshima kimataifa, mnaona hizo roho elfu 10 hazitoshi mnataka kumwongezea zingine, muwe na huruma.
Mauaji yaliyotokea October 29 si tu yamelitia doa Taifa la Nyerere bali yamekitia doa chama cha Mapinduzi CCM, yameutia doa utawala wa Rais Samia, maana haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa Tanganyika.
CCM mtambue kuwa hamuongozi kizazi cha miaka ya 60 kina Butiku mnapambana na kizazi cha 2000 ambacho hakina kitu cha kupoteza zaidi ya maisha yao.
Sioni ni kwa njia gani hili wimbi la mabadiliko yanayoshinikizwa na vijana wa Gen Z mtayazuia kwa mawazo ya kizamani ya kina Wassira, kina Nchimbi, kina Kabudi ya kutumia vitisho vya dola, udini yatafanikiwa.
Mlitumia vitisho vya polisi vijana wakaandamana, mmewaua kwa maelfu wamepanga kuandamana tena. Na kete mnayotumia ya Udini ndiyo itakayokuwa kaburi la CCM na mnamchimbia Mama kaburi lake kwa mikono yenu.
ITUNZENI HII LISTI IWE KAMA REFERENCE KWA SIKU CHACHE ZIJAZO.
Huijui CCM.CCM ni chama safi ila huyu mama na mwanae ndo miyeyusho
Kati yako na Muliro nani mwenye uwezo zaidi wa kuwatisha waandamanaji,Acha kutisha watu wewe!
Mlisema mnapindua sasa huruma ya nini, si mpindue tu..
Tarehe 9d hamtaamini mkileta upuuzi wenu
Huwez kukitoa chama nje ya hizi blames. Wao ndio wana muwezesha huyu mamaCCM ni chama safi ila huyu mama na mwanae ndo miyeyusho
Unafikri ccm ikiandikwa katiba mpya watatoboa? Wanache wang'ang'anie hivyo hivyo waldau hii mitani ya mwisho wamalize kibishi ingawa sioni kama vi Gen-Z vitawaacha salama!CCM kubalini uwezo wenu wa kuongoza taifa umefikia mwisho, umegota na kila lenye mwanzo halikosi mwisho.
Ili kukinusuru chama kwa muongo mwingine ujao mshaurini Samia ajiuzulu, iandikwe katiba mpya uchaguzi urudiwe hiyo ndiyo itakuwa salama yenu.
Unaju Mao Zeodong aliitoa nchi kwenye hali gani????Mbona ccp yq china ipo mpaka leo