fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
Ni ndoto CCM kutawala milele kama Nape anavyonadi, ni ndoto za mwendawazimu, sijui kama wendawazimu unaweza mshika mtu na kumwachia, je ukimshika mara kwa mara na kumwachia bado ni wendawazimu au ni wazimu halisi.
Nape ili CCM iendelee kutawala nakupa mbinu mojatu, umri wa mpiga kura uwe unaongezwa kwa miaka 5 zaidi kila uchaguzi unapofika. Ni wazi kama hilo haiwezekani basi CCM pia haiwezkani kubaki mdarakani, ni wazi mbinu ya kuiba au kucachua matokeo au kutangaza kwa nguvu ushindi kwa CCM imeshashindikana, Unakumbuka Mwanza jinsi ambavyo walijaribu bila mafanikio??? na sehemu nyingine nyingi.
Nawasilisha, Muda waCCM umekwisha kama matumaini ya maisha bora yalivyoisha.