N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 561
Ccm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa
Labda kuna CCM ITASHINDANA HUMUHUMU JF ns chadema. Lakini kwa kura uraiani kule. CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA. VITU AMBAVYO NINAUHAKIKA VITATOKEA 2015
1) CCM ITASHINDA
2) WANA JF wengine hata kura hamtapiga mtakuwa busy kutukana humu wakati wana CCM wakipiga kura
3) Wasio na kazi wataandamana
4) watakaopewa viroba watafanya vurugu na kutakuwa na watu wa kutosha tu kupambana nao walisomea kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo.
UNAYEOTA ENDELEA KUOTA , NJOO NA MIFANO HATA YA KUZIMU. ILA CCM ITASHINDA 2015. HILI SIO LA MJADALA

Kabla ya kusema au kuandika watu huwaza sana. Lakini utofauti wao ni kwamba wakiisha sema au kuandika hubainika mhusika katumia ubungo upi?. Mwigulu Nchemba naye hapa kawaza na kututhibitishia peupe kuwa Jeshi nalo ni mali ya ccm na lina wana ccm! Kawaza!.....labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm...
CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA. VITU AMBAVYO NINAUHAKIKA VITATOKEA 2015
4) watakaopewa viroba watafanya vurugu na kutakuwa na watu wa kutosha tu kupambana nao walisomea kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo.
Nchema unaudhi sana, unadiriki kusema chadema ni chama cha kufa na kuzikana? Kwa hoja zako inaonyesha elimu ya Tz imeshuka sana, kama wewe una first class una argue hivyo, sijui wenye pass wata argue vipi. Huna hoja una argue kama mtu wa mtaani, eti wewe ndie naibu katibu mkuu, kama viongozi ndio nyie sioni kwanini ccm isife
we bwana unanishangaza sana likiletwa swala la lameck mkumbo ​huchangii na wala utaki kulisikia sasa ni amri kabla ujachangia chochote kuhusu ccm hebu fafanua swala la lameck mkumbo nakwambia tena hii ni amriCcm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa
Kwa ridhaa ya Mzee Mwanakijiji....Kwa hoja zako inaonyesha elimu ya Tz imeshuka sana, kama wewe una first class una argue hivyo, sijui wenye pass wata argue vipi. Huna hoja una argue kama mtu wa mtaani, eti wewe ndie naibu katibu mkuu, kama viongozi ndio nyie sioni kwanini ccm isife
Kuna tatizo katika uwezo wa watu wetu kujenga hoja zenye mantiki. Nadhani ipo haja ya kutoa semina ya bure tu juu ya Effective Arguing or something similar kwa sababu wakati mwingine nikiangalia TV n.k nashangaa watu wanaweza kushawishi watu wengine kwa hoja dhaifu zinazotolewa. Natamani LOGIC liwe somo la lazima kwa vyuo vyetu vikuu vyote.
baada ya habari hiyo nzuri ya kuchonga kilitokea nini? wananchi wakasemaaa sio mzee kwa kuwa walishaachana na ile corus ya zamani ya ndio mzee ndivyo itakavyokuwa mkuuKashfa ya katibu wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema),Dk Willibrod Slaa imewekwa hadharani kwamba kiongozi huyo alifukuzwa upadri baada ya kutafuna mamilioni ya fedha zilizochangwa kwa ajili ya ujio wa hapa nchini wa Kiongozi wa Kanisa katoliki nchini duniani papa katika miaka ya tisini
Tuhuma hizo zimemwagwa na Waziri Steven Wassira katika mikutano ya kampeni za ccm kumnadi mgombea wa chama hicho sioi Solomon sumari katika Jimbo la Arumeru mashariuki
Tuhuma hizo zinakuja wakati vyama hivyo viwili vikubwa nchini vikirusiana vijembe na makombora mazito mazito
kashfa hiyo imetolewa katika vijiji vya kata Kikwe katika Jimbo hilo la Arumeru Mshariki Mkoani Arusha.
Wassira alisema kwamba Dk Slaa ambaye pia aliwahi kuwa katibu mkuu wa baraza la maaskofu nchini(TEC) kabla ya kukumbwa na kashfa hizo za kutafuna mamilioni hayo ya fedha zilizochangwa na waumini wa katoliki kutoka vigango na parokia mbalimbali nchini ili kufaniKisha ujio wa Papa miaka ya tisini kitendo kilichopelekea kufukuzwa kazi ya upadri.
amesisitiza kwamba kiongozi huyo hana kifua cha kupambana na ufisadi kwa kuwa hata yeye alitafuna fedha za kanisa.
Aliwataka wakazi wa kata ya Kikwe kumuuliza Dk Slaa chanzo cha kufukuzwa upadri pindi atakapotia mguu ndani ya kata yao na kuwataka wakazi hao kutosikiliza sera za kiongozi huyo kwa kuwa si msafi wa kujipambanua kwamba anapambana na ufisadi nchini.
Alimtuhumu Dk Slaa Pia katika hatua nyingine anatuhumiwa kumfukuza kazi mhasibu wa chama hicho ngazi ya taifa kwa kosa la kukataa kutekeleza maagizo yake amlipe shilingi milioni 10 mchumba wake,Josephine Mushumbushi kitendo kinachotia mashaka ya uadilifu wa kiongozi huyo.
Hata hivyo,alishangaa kitendo cha Dk Slaa kuishi maisha ya uchumba wakati akiwa na umri wa miaka zaidi ya 60 na kudai kitendo hicho kinashangaza umma wa watanzania pamoja na wafuasi wa vyama vya siasa nchini.
Labda kuna CCM ITASHINDANA HUMUHUMU JF ns chadema. Lakini kwa kura uraiani kule. CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA. VITU AMBAVYO NINAUHAKIKA VITATOKEA 2015
1) CCM ITASHINDA
2) WANA JF wengine hata kura hamtapiga mtakuwa busy kutukana humu wakati wana CCM wakipiga kura
3) Wasio na kazi wataandamana
4) watakaopewa viroba watafanya vurugu na kutakuwa na watu wa kutosha tu kupambana nao walisomea kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo.
UNAYEOTA ENDELEA KUOTA , NJOO NA MIFANO HATA YA KUZIMU. ILA CCM ITASHINDA 2015. HILI SIO LA MJADALA
Du siamini kama we ndio naibu katibu mkuu wa ccm. Embu angalia mwenyewe hapo kwenye namba 3. Hilo si tusi kwa watanzania au sion vizuri? We kweli una laana sio bure.Labda kuna CCM ITASHINDANA HUMUHUMU JF ns chadema. Lakini kwa kura uraiani kule. CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA. VITU AMBAVYO NINAUHAKIKA VITATOKEA 2015
1) CCM ITASHINDA
2) WANA JF wengine hata kura hamtapiga mtakuwa busy kutukana humu wakati wana CCM wakipiga kura
3) Wasio na kazi wataandamana
4) watakaopewa viroba watafanya vurugu na kutakuwa na watu wa kutosha tu kupambana nao walisomea kazi hiyo na wanalipwa kwa kazi hiyo.
UNAYEOTA ENDELEA KUOTA , NJOO NA MIFANO HATA YA KUZIMU. ILA CCM ITASHINDA 2015. HILI SIO LA MJADALA
Mkuu unamaanisha nini kusema ccm watashinda nusu saa baada ya vituo kufunguliwa?
mkuu unajua hapa tz tuna phd. za kutosha za uchumi? lakini kwa nini sisi masikini? ni kwa sababu tumekariri au tumesomea mitihani ''Dr.kitila mkumbo" kwa hiyo wewe ututishi na hizo term zako za kiuchumi kwa kuwa huna msaada wowote zaidi ya kutufirisi kifisadi you know y kwa sababu ulikariri kwa ajili ya mtihani. nilitegemea uchumi wako daraja I kama unavyojinadi ungeliflect hali yetu ya uchumi hapa tanzania ambapo kila mtanzania mpaka mimba anadaiwa "Mch.peter msigwa" so as I told you in my previous post, you have no right to discuss any issue here unless you emphasize to us about the name so called lameck mkumbo full stopShomari hujui kwenye uchumi daraja la kwanza tunasoma nini ndio maana unapima kwenye thread za jf. Kuna thread tunayoijadili kwa kutumia Koutsoyiannis humu? La ngrangian?. Cob dougglus function?. Msikimbilie issues za kitaalamu kwenye vitu visivyo vya kitaalam. Kuna sehem gani ya kuweka uchumi hata wa form two wa demand and supply kwenye thread hii. Narudia, 2015 CCM ITASHINDA NUSU SAA TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA .