Ccm kirumba

Ccm kirumba

shengena

New Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Jamani naomba kuuliza. Hivi uwanja wa ccm kirumba mwanza unakuwaje mali ya ccm? Nakumbuka uwanja huo ulijengwa wakati tanzania inaendesha siasa ya chama kimoja. Je baada ya vyama vingi kwa nini ccm kirumba iligeuka mali ya ccm?
 
Back
Top Bottom