CCM kiboko

CCM kiboko

...siku zote .....magamba wapo kazini kuinjinia ..Gape generation..

cc GT
Tena zaidi ya kufikiria maendeleleo ya nyanja nyingine za kijamii.

Ni bahati mbaya sana mapinduzi kwa kiswahli si rahisa kuonyesha sura mbaya ya overthrow.hayo ndio mapinduzi yao na si economical,technological au green revolution.mapinduzi ya ccm =overthrowing.Ndio wanachofanyia upinyani wakati wao ndio wapo madarakani.dawa ni upinzani kuwa attack na wao wabaki defend zaidi ya kushambulia.
.
 
Nicholas,

Njaa yako mbaya sana hujui unachokiandika wewe unaandika chochote ili kutetea mkate wako kutoka kwa Dr Slaa.

Cc. chama,

hivi Ritz 1 ulichangia ile thread ya Ripoti ya matokeo mabaya ya kidato cha nne? Au ukupewa nafasi na BWANA wako ?
 
Last edited by a moderator:
its vilaza turn,kuanzia top position hadi ktk mitaa.Amim nae anaweza fikiria chukua form ya urais na ccm wakafumba midomo ya kila mtu ili dhaifu mwingine aingie party iendelee.
 
Hata mi nimepata wasiwasi kuhusu uwezo wa Nichoraus na lugha yenyewe.
 
Hata mi nimepata wasiwasi kuhusu uwezo wa Nichoraus na lugha yenyewe.
Huna haja ya kuwa na wasiwasi na uwezo wa mwenzio lugha pekee pia angalia na kuelewa kwako.unasikia Amim.
Sasa km wewe hata kunakili id huwezi unabadili 'l' na 'r' lugha gani utaijua?

,
 
Baada ya kuona uwezo wa wanafunzi wanaosoma sekondari ni mdogo kuliko kawaida huku wengi wakishwa faulu ,jamaa wameamua punguza viwango ili wengi wavuke km shule zao za kata zilivyovuna.

Inaelekea akina Mulugo wapo wengi tayari ktk system na hivyo wanakwama.

Cha kufurahisha Mulugo ndo alitangaza kwa furaha.si coincidence,kwani Mulugo mwenyewe utata.soon wataomba mitihani itolewe kabisa.bila kujua mitahani ni zaita ya cheti.

Hotuba ya Mwalimu Nyerere, Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma - 1995 - YouTube
 
Wooooooooooooooooooooooooooooooteeeeee mliochangia mada hii naona hamjailewaa!!!!!!!! Hoja kuu katika mada hii ni kiwango cha ufaulu kushushwa ili kuwezesha wanafunzi wengi zaidi KUFAULU. Lakini mtoa mada hajanukuu chanzo chochote cha habari hiyo ama ushahidi. Na ninaposema ushahidi ni kama vile zamani kiwango cha ufaulu kilikuwa ni maksi kadhaa na kiwango cha sasa kiwango cha ufaulu kimekuwa ni maksi kadhaa.
Thread ingekuja na ushahid kama jedwali hili ama ushahidi unaofanana na hivi:

[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 283, bgcolor: transparent"]KIWANGO CHA UFAULU-ZAMANI
[/TD]
[TD="width: 300, bgcolor: transparent"]KIWANGO CHA UFAULU-CHA SASA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 283, bgcolor: transparent"]
GRADE​
[/TD]
[TD="width: 300, bgcolor: transparent"]
GRADE​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 283, bgcolor: transparent"]A= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[TD="width: 300, bgcolor: transparent"]A= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 283, bgcolor: transparent"]B= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[TD="width: 300, bgcolor: transparent"]B= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 283, bgcolor: transparent"]C= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[TD="width: 300, bgcolor: transparent"]C= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 283, bgcolor: transparent"]D= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[TD="width: 300, bgcolor: transparent"]D= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 283, bgcolor: transparent"]F= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[TD="width: 300, bgcolor: transparent"]F= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Huo ndio ugreat thinkers.....Vinginevyo tunavamia kesi tusiyoijua matokeo yake tukiulizwa tutoe ushahidi tunabaki kushangaa tu. Au mtoa mada angetupa hata tovuti iliyothibitisha hilo analotaka tulijadili. Yeye kapata wapi?
Tusikubali kupoteza muda kwa mambo ambayo hayana ushahidi maana kufanya hivyo inakuwa sawa na wale wanaomshambulia mulugo wakati wizarani kuna Waziri na katibu mkuu (ambao hawaguswi).
 
Back
Top Bottom