Mkuu mbona hata wewe mwenyewe mtata? Au ndiyo matokeo ya shule za kata? Nashindwa kuelewa kiswahili chako ni kibovu sana ipo haja kupata msasa
Chama
Gongo la mboto DSM
-ccm ni chama cha kigaidi,pamoja na ugaidi wa mataifa mengine kwa jina la ujamaa na ukombozi ,ccm wamekuwa rafiki wa mataifa yenye kufanya ugaidi ,km irani,korea kaskazini,libya,syria na pajjistani..hivi karibuni raia wa tanzania ndani ya ccm ,mawaziri ,waandishi na wengine wamekuwa terrorized.Muunganiko na cuf waliyoita ya kigaidi bila kuwahi tengua hiyo kauli.
-ccm ni chama cha kiislam.wamethibisha hilo kwa Muunganiko na cuf ktk serikali moja ya umoja wa kitaifa.ccm waliiua cuf kwa kukiita na kukilaani km chama cha kiislam.matukio ya sasa ya usirikiano mzuri wa ccm na masheikh kwa kiasi cha kuwa na matamko mamoja na kuwa na adui mmoja ukristu anayeonywa kuingilia ktk siasa huku akionywa na mashehkh,rais na mwae,vipindi km arisala,police waislam,taasis za umma na za kiislam kufanya kazi za chama zaidi kadiri idadi na vyeo vya waislam vikipanda.,suala ya kuchinja limekuwa too biased.
Ccm ni wakabila na wakanda.ccm wanaweza kuwa hawapendelei kwa kabila ila wana vikwazo kwa kabila na ukanda.Ni sera yao mtu wa kaskazini asahau kushika nchi hata km ni mwenzao.Lowassa anajua hillo.na hilli wamesema wazi na wanalitumia dhidi ya chadema.pengine kuna katiba ya kinyama inayoharamisha watu wa kaskazini.ccm pia wanataja wachaga na chama chochote kinachowapa uongozi kitaifa kuwa haramu.wamekuwa wakirhuumu chadema na kuwaonye kuwa wachaga ni haramu na chama chochote kinachowa nafasi kitaifa ni harammu.
-Ccm ni wezi wa mali ya umma hapa hakuna maelezo.
-cc ni wajinga na watu wa kuforge,kuanzia bungen hadi mawaziri km mulugo.
Mengine wataongezea wenine wakati nikiomba maelezo kutoka kwao km watachomoka.
Naomba mod asikate stim kwa ku move au kuifunga.
Nime note, usiku huu kati ya saa 8 usiku wa manane na saa 10 alfajiri, umeanzisha mfululizo wa 4 kuhusu CCM,
Nimeziona hizi threads zako 4 kwa mpigo!
- Mkuu Niko,
- ccm mtachomoka hapa? Started by Nicholas, Today 04:47 Replies:Nicholas
- new idea:ccm movie series bad guys anashinda. Started by Nicholas, Today 04:11 Replies:Nicholas
- ccm ina hakika kaburi walionalo ni lake. Started by Nicholas, Today 03:32 Replies: Nicholas
- CCM kiboko. Started by Nicholas, Today 02:19 Replies:Nicholas
na ikatokea by coincidence tuu, threads zote 4 ziko jukwaa moja zinafuatana na wakati nilipozikuta, zote nne mchangiaji wa mwisho alikuwa ni Nicholas!, what a coincidence?!.
Naomba kutoa tena ushauri wa bure kwako na kwa wafuasi wengine wengi wa mabadiliko ya kweli, adui mkubwa wa taifa hili sio CCM!, nisome hapa kuhusu adui ni nani haswa,Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM!
elekeza mashambulizi kwa kumlenga adui, mkikalia CCM hivi, CCM vile kila kukicha, you might miss the real target!, na by the time mnashtuka that you might not hit the bull, it might be too late!, you can just do too little too late!
Endeleeni, November, 2015, tutakutania humu humu jf na kukumbushana!.
Pasco.
NB. Pasco wa jf, sio mwanachama wa chama chochote cha siasa!.
Kwa wanaodhania mimi ni CCM, kanisomeni hapa, CCM Imechokwa!. na hapa, CCM imechokwa mpaka basi!
Wanaonidhania mimi ni Chadema, mimi ndiye wa kwanza humu kusema CHADEMA Haijajipanga! -
Wanaodhania mimi ni CUF, nisomeni humu, Kifo cha CUF hichoo..chaja! Upinzani kubaki CHADEMA pekee?
Pale CCM inapofanya mazuri, huwa naipongeza! Miongoni Mwa Mazuri ya CCM!.
Pale Chadema inapofanya mazuri pia huwa naipongeza! Pongezi Chadema, 2015, Ikulu Njia Nyeupe! ...
-ccm ni chama cha kigaidi,pamoja na ugaidi wa mataifa mengine kwa jina la ujamaa na ukombozi ,ccm wamekuwa rafiki wa mataifa yenye kufanya ugaidi ,km irani,korea kaskazini,libya,syria na pajjistani..hivi karibuni raia wa tanzania ndani ya ccm ,mawaziri ,waandishi na wengine wamekuwa terrorized.Muunganiko na cuf waliyoita ya kigaidi bila kuwahi tengua hiyo kauli.
-ccm ni chama cha kiislam.wamethibisha hilo kwa Muunganiko na cuf ktk serikali moja ya umoja wa kitaifa.ccm waliiua cuf kwa kukiita na kukilaani km chama cha kiislam.matukio ya sasa ya usirikiano mzuri wa ccm na masheikh kwa kiasi cha kuwa na matamko mamoja na kuwa na adui mmoja ukristu anayeonywa kuingilia ktk siasa huku akionywa na mashehkh,rais na mwae,vipindi km arisala,police waislam,taasis za umma na za kiislam kufanya kazi za chama zaidi kadiri idadi na vyeo vya waislam vikipanda.,suala ya kuchinja limekuwa too biased.
Ccm ni wakabila na wakanda.ccm wanaweza kuwa hawapendelei kwa kabila ila wana vikwazo kwa kabila na ukanda.Ni sera yao mtu wa kaskazini asahau kushika nchi hata km ni mwenzao.Lowassa anajua hillo.na hilli wamesema wazi na wanalitumia dhidi ya chadema.pengine kuna katiba ya kinyama inayoharamisha watu wa kaskazini.ccm pia wanataja wachaga na chama chochote kinachowapa uongozi kitaifa kuwa haramu.wamekuwa wakirhuumu chadema na kuwaonye kuwa wachaga ni haramu na chama chochote kinachowa nafasi kitaifa ni harammu.
-Ccm ni wezi wa mali ya umma hapa hakuna maelezo.
-cc ni wajinga na watu wa kuforge,kuanzia bungen hadi mawaziri km mulugo.
Mengine wataongezea wenine wakati nikiomba maelezo kutoka kwao km watachomoka.
Naomba mod asikate stim kwa ku move au kuifunga.
Pasco hembu nichomolee CCM
Mulugo mwizi wa vyeti leo waziri wa elimu unategemea tutavuna nini ktk elimu yetu?huyu alistahili kufungwa kama fisadi wa elimu kibaka
Haikuhusu sana kwani wewe si pasco . Tofauti yako na pasco na wewe ni kwamba pasco ana akili ila yupo ktk mision.wewe upo ktk mission ila una kichwa kidogo km cha mbuni halafu kikatafunwa na fisi halafu reflex ikawa inamtembeza mbuni.matendwa na fikra zako hazizidi capability ya automation ya uti mgongo.Hivi wewe Mtanzania kweli mbona kiswahili chako cha kuungaunga.
modes mmeua.Hizi ni hoja CCM walipaswa zijibu.Naona mnawasaidia.Kweli CCM ni soo.haiwezekani mod aliyefanya haya asione tofuati kiasi hiki.
mods thread ya CCM mtachomoka si sawa na nyingine..mmeua...ndio kuikomboa CCM au ?
Wewe ndio uliunganisha nini?basi utakuwa na tatizo la kutofautisha vitu au unatumika wewe ineffectively.acha ubabaishaji.Nikolas, unatumika kinyume kabisa na utaratibu. Yaani hadi unajijibu mwenyewe.inaonekana wazi kabisa passport Shaka Kuwa unatumia kichaa kufugia Nywele only.
Taratibu unajivua nguo.umeshakuwa km watangazaji wa clouds.Una akili ndogo sana wewe. Yaani thred uanzishe wewe halafu unawaona mods ni wajinga, Mburula kweli hajifichi