sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
ukiona mawingu yametanda..shule inafungwa bila kufanya mitihani!!!View attachment 88935
Mkuu na hapa ni kanisa lipi..hahahah
ukiona mawingu yametanda..shule inafungwa bila kufanya mitihani!!!View attachment 88935
Mkuu na hapa ni kanisa lipi..hahahah
View attachment 88935
Mkuu na hapa ni kanisa lipi..hahahah
inahairishwa maana mvua ikija si italoana...Sasa kama mko katikati ya mtihaniinakuwaje...
mwenyewe yuko busy na movi ya fake..Hii itakuwa Singida kwa Mwigulu Nchemba, ni kuonesha ni jinsi gani maisha bora kwa kila mtanzania hayawezekani as long as CCM kikiwa chama tawala! Let's go for plan B by trashing this Party!!!