CCM kiboko yao

CCM kiboko yao

yaani mimi naichukia hii ccm na serikali yake kudadadeki zenu maccm...halafu mnanileta video ya kuchonga hapa...
 
yaani mimi naichukia hii ccm na serikali yake kudadadeki zenu maccm...halafu mnanileta video ya kuchonga hapa...[/QUOT

Mimi naichukia CCM na wanaoishabikia kuliko kitu chochote hapa duniani.
 
yaani mimi naichukia hii ccm na serikali yake kudadadeki zenu maccm...halafu mnanileta video ya kuchonga hapa...
Kweli mkuu yegella una mahasira hadi . .kudadadeki zenu ma ccm, kimsingi mtaji wa ccm ni ujinga na kamwe hawatafanya makosa kuumaliza, ndio maana baada ya kufelisha 90% ya taifa, baadhi ya wanaccm waliomba kufanya maandamano kumpongeza waziri( kupinga yale ya chadema).
 
Mabwege ndo wanaoi support hiili genge la wahuni.
 
Come on, look here, hilo mbons kama sanduku la sadaka? Isijekuwa ni kanisa la The New Tabernacle Church!!!!
 
Mabwege wengi ni wachumia tumbo! Hawajielewi! Wanakwamisha ukombozi wa nchi yetu.
 
Kweli mkuu yegella una mahasira hadi . .kudadadeki zenu ma ccm, kimsingi mtaji wa ccm ni ujinga na kamwe hawatafanya makosa kuumaliza, ndio maana baada ya kufelisha 90% ya taifa, baadhi ya wanaccm waliomba kufanya maandamano kumpongeza waziri( kupinga yale ya chadema).
Tukiendelea kuwachekea hawa wapuuzi watanzania watabaki wafanya kazi wa nyumbani na ulinzi na hata ulinzi huko tuendako itakuwa shida sana kuupata kama huna elimu...tuungane kuwakataa hawa wahuni.
 
Come on, look here, hilo mbons kama sanduku la sadaka? Isijekuwa ni kanisa la The New Tabernacle Church!!!!
shule3.jpg
Mkuu na hapa ni kanisa lipi..hahahah
 
Wameshatufanya matahira hawa wapuuzi, tuwakataa kwa vitendo, elimisha ndugu zako kuwa kuanzia sasa ni mwiko kuwapigia kura majagiri, mafisadi, wauwaji..ni piga kura linda kura....
Haya ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania!
 
Tusichoke kuwaelimisha ili ifikapo mwakani na 2015 waufahamu ukweli wabaki wale wanaonufaika na umasikini wa watanzania..
Mabwege ndo wanaoi support hiili genge la wahuni.
 
Tukiendelea kuwachekea hawa wapuuzi watanzania watabaki wafanya kazi wa nyumbani na ulinzi na hata ulinzi huko tuendako itakuwa shida sana kuupata kama huna elimu...tuungane kuwakataa hawa wahuni.
Pamoja sana mkuu, mimi binafsi nimejitolea kuwaelimisha wananchi wa huku kijijini kwetu Lyamidati.
 
Asante sana mkuu, mimi kwenye ukoo wetu wole wake mtu nikute ni ccm, hatakama ni jirani, rafiki akiwa ccm mimi na yeye ni Paka na Panya...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom