Superbrand
JF-Expert Member
- Apr 6, 2013
- 509
- 158
Ndiyo kazi waliyobaki nayo. Kujiandaa kuteka na kuumiza watu. Gree guards wanaumiza watu sana utafikiri kampeni ikifika wao ndiyo wanakuwa juu ya sheria za nchi.
Mwaka huu wajiandae kuumia sana kwa sababu ujinga wowote hautavumiliwa.
Wakti wao wanajiandaa kuiba kura na kuua raia, wenzao tunajiandaa kulinda amani, raia na kura zetu.
Safari hii hakuna hakuna mpira wa kuchezea nusu uwanja!. Hili walielewe.
CHAMA CHA MAGAIDI CCM, sasa watuambie hizo bunduki ni kwa ajili ya nini?? Kwanini ziko mikononi mwa raia?
CHAMA CHA MAGAIDI CCM, sasa watuambie hizo bunduki ni kwa ajili ya nini?? Kwanini ziko mikononi mwa raia?
na magobore yao
na magobore yao
ww ujaangalia vzr...
na kama zile zlizoibiwa police znaonekana.
Neno gobore limenifurahisha sana, miss chagga, btw mbona wengi ni watoto! imekaaje kaaje hii?
Si watoto afya mgogoro wamewatoa kafara ..
Serious? OOooh lord of mercy! wanasoma hawa kweli? Ndio mana Komba alisema ataingia msituni, sa nkajiuliza, pekeake ataweza? Nimesha connect dots! wapo wengi kumbe
Kichaa hakabidhiwi Rungu. Rungu/Silaha hukabidhiwa mtu Timamu.
Cpatii picha wangekuwa Green Guard hapo.
![]()
Nitashangaa hatua zisipochukuliwa maana kwa picha hii bila shaka ushahidi umekamilika