Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
Nimetoka mahala huwa napata mtori majira ya asubuhi
nikakuta kada mmojawa ccm; tena kijana basi.
saizi yenu hiyohiyo ya vijana wa chadema.
Inaelekea kuna mtego umewekwa.
CCM wanasuburi apatikane mtu muhimu wa chadema kasema uongo mkubwa
halafu nao wataibuka na kauli mbiu mpya:
CCM....kamata muongo meeen!
My take: Nyie vijana wa chadema wakati mkifurahia miteremko yenu ya kufungua matawi
kumbukeni kuwa makini katika kauli zenu. Siasa si miteremko tu. kuna milima pia.
Na kwa bahati mbaya hamjaishi long enough kujua hilo.
Ila hii ya kamata mwizi imetulia?!!!!!!!!!!
Sema ulikuwa unatoka chooni anayetoka kupata Mtori hawezi kutoa thread kama hii.Nimetoka mahala huwa napata mtori majira ya asubuhi
nikakuta kada mmojawa ccm; tena kijana basi.
saizi yenu hiyohiyo ya vijana wa chadema.
Inaelekea kuna mtego umewekwa.
CCM wanasuburi apatikane mtu muhimu wa chadema kasema uongo mkubwa
halafu nao wataibuka na kauli mbiu mpya:
CCM....kamata muongo meeen!
My take: Nyie vijana wa chadema wakati mkifurahia miteremko yenu ya kufungua matawi
kumbukeni kuwa makini katika kauli zenu. Siasa si miteremko tu. kuna milima pia.
Na kwa bahati mbaya hamjaishi long enough kujua hilo.
Ila hii ya kamata mwizi imetulia?!!!!!!!!!!
Nimetoka mahala huwa napata mtori majira ya asubuhi
nikakuta kada mmojawa ccm; tena kijana basi.
saizi yenu hiyohiyo ya vijana wa chadema.
Inaelekea kuna mtego umewekwa.
CCM wanasuburi apatikane mtu muhimu wa chadema kasema uongo mkubwa
halafu nao wataibuka na kauli mbiu mpya:
CCM....kamata muongo meeen!
My take: Nyie vijana wa chadema wakati mkifurahia miteremko yenu ya kufungua matawi
kumbukeni kuwa makini katika kauli zenu. Siasa si miteremko tu. kuna milima pia.
Na kwa bahati mbaya hamjaishi long enough kujua hilo.
Ila hii ya kamata mwizi imetulia?!!!!!!!!!!
Sema ulikuwa unatoka chooni anayetoka kupata Mtori hawezi kutoa thread kama hii.
You deserve a long time ban wewe huna maana hata kidogo
nimetoka mahala huwa napata mtori majira ya asubuhi
nikakuta kada mmojawa ccm; tena kijana basi.
Saizi yenu hiyohiyo ya vijana wa chadema.
Inaelekea kuna mtego umewekwa.
Ccm wanasuburi apatikane mtu muhimu wa chadema kasema uongo mkubwa
halafu nao wataibuka na kauli mbiu mpya:
Ccm....kamata muongo meeen!
My take: Nyie vijana wa chadema wakati mkifurahia miteremko yenu ya kufungua matawi
kumbukeni kuwa makini katika kauli zenu. Siasa si miteremko tu. Kuna milima pia.
Na kwa bahati mbaya hamjaishi long enough kujua hilo.
Ila hii ya kamata mwizi imetulia?!!!!!!!!!!
mimi tayari nimesha.......😛uke:kwa hili thread najisikia
jamani mjumbe tangu lini katakiwa kupigwa mawe? nimesikia kitu nikaona niwape. nalo hilo kosa? he...