GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,646
- 109,031
HakikaWote mnaoshabokia CCM mnachangia haya kutokea.
Kupata uongozi ni rushwa, kupata kazi serikalini rushwa na upendeleo. Viongozi na watumishi waliojaa rushwa nchi itaendaje sasa.Chama kikikaa madarakani muda mrefu madarakani kwa shuruti, uongozi hugeuka kuwa fursa na sio utumishi kwa umma. Iwapo viongozi wanapatikana ndani ya chama chao kwa rushwa, tegemea wizi mkubwa wa kura kwenye uchaguzi wa nchi ili wakae madarakani.
Kwa bahati mbaya mfumo wa uchaguzi hapa nchini na deep state nao ni sehemu ya hiyo rushwa, hivyo ni lazima waulinde mfumo huo wa rushwa ili waendelee na ulaji.
Namna pekee ya kubadili huu mfumo mkongwe wa rushwa, ni kutokea machafuko, au nchi kupinduliwa ili mifumo ya utawala ianze upya.
Kwa bahati mbaya mfumo wa uchaguzi hapa nchini na deep state nao ni sehemu ya hiyo rushwa, hivyo ni lazima waulinde mfumo huo wa rushwa ili waendelee na ulaji.Chama kikikaa madarakani muda mrefu madarakani kwa shuruti, uongozi hugeuka kuwa fursa na sio utumishi kwa umma. Iwapo viongozi wanapatikana ndani ya chama chao kwa rushwa, tegemea wizi mkubwa wa kura kwenye uchaguzi wa nchi ili wakae madarakani.
Kwa bahati mbaya mfumo wa uchaguzi hapa nchini na deep state nao ni sehemu ya hiyo rushwa, hivyo ni lazima waulinde mfumo huo wa rushwa ili waendelee na ulaji.
Namna pekee ya kubadili huu mfumo mkongwe wa rushwa, ni kutokea machafuko, au nchi kupinduliwa ili mifumo ya utawala ianze upya.
Hii ndio ccm bhana99.9999% ya wote walioshinda, wameshindwa kwa nguvu kubwa ya rushwa(kuhonga) kwa wajumbe na siyo nguvu ya kura za wajumbe makini.
Rais Mstaafu Kikwete ameteuliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa kiongozi wa uangalizi wa uchaguzi mkuu nchini Kenya na huku nyumbani mimi GENTAMYCINE niliamua kujiteua mwenyewe kufuatilia hizi chaguzi za CCM (za matawi, shina na kata). Nilichokiona huko ni rushwa kutembezwa tena wazi wazi bila aibu kwa wajumbe(Wapiga kura) waliokuwepo.
CCM tafadhali kwa maslahi mapana ya chama chenu na mkiwa kama mfano wa kuigwa Tanzania, Afrika na kwa marafiki zenu wachina upesi sana tengueni matokeo na sitisheni kwa sasa chaguzi hizi mpaka huu ugonjwa sugu wa rushwa mlionao mtakapoupatia tiba ya kudumu na wote kupona.