mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,960
- 2,464
- Thread starter
- #21
kaka udini na ukabila + ukanda mnaopandikiza hautawasaidia na ipo siku mtahukumiwa kwa hili, na ndio maana watu hawawasapoti kwasababu badala ya kujibu kwa hoja nyie huwa mnakimbilia kujibu kwa matusi na na kuujadili udini na ukabila, M4C ni kwa wote bwana na CDM inakubalika kwa wote, we huoni toka kusini mbaka kaskazini, mashariki mbaka magharibi wote ni peoples pawaaaaaaaaaaaa!Kunya anye kuku,akinya bata kaharisha , tumeshawazoea Chadema kwa maneno ya uongo,uzushi,matusi na uchonganishi ! Ndugu watanzania kuna watu wanalipwa posho kwa kazi hiyo pale makao makuu ya chadema wana IDs tofauti totafauti kwa ajili ya kudanganya na kupotosha umma wa watanzania juu ya ukweli wowote wa CCM na serikali yake lengo kuu kuijenga chadema kisiasa hapa nchini ,Watu makini fanyeni tafiti ndogo tu humu humu jamvini mtagundua watoa maada wa chadema na wachangiaji wao posts zao hazina ukweli ni za kisiasa,wachangiaji wao wengi wao huchangia kwa lugha chafu za matusi na kejeli ,hawa ndiyo tuwape nchi haiwezekani ata kidogo ndugu mtanzania mpenda Amani,Umoja na Mshikamano popote ulipo jitahidi kuwaelimisha watanzania wenzako juu ya chadema na wafusi wake kama hawafahi kupewa madaraka ni watu waongo sana,wafitina,ni watu wa kejeli na matusi,wana jazba sana,wadini,wakabila,waroho wa madaraka wako tayari taifa limwage damu wao waingie madarakani,wachochezi wa migomo na fujo zote uzisikiazo hapa nchini kwetu !ndugu mtanzania tusiwakubali hawa Chadema ata kidogo hawafahi kutuongoza,Ni chama cha kidini na kikabila wewe kama mtanzania mzalendo fanya tafiti ndogo mtaani ulipo utagundua asilimia 99.99% ya wachaga wote hapa nchini ni Chadema alafu pia pale makao makuu kuanzia uongozi wa juu wa chama yani Mwenyekiti wao mpaka viongozi wa ngazi ya chini na wafanyakazi wa kawaida yani masekretari,wafagiaji mpaka walinzi kwenye ofisini za chadema asilimia 99.99% ni wachaga na wakiristo! Amkeni watanzania wazalendo popote mlipo elimisheni na wengine kutokuichagua chadema ili kulinda Amani,Umoja Na Mshikamano tulionao watanzania ,Mungu ibariki Tanzania ,Mungu ibariki Afrika! Asanteni