CCM kama kawaida yake, imekodi magari na pikipiki za kuwakusanyia wanachama leo Iringa

Umesahau kauli ya Wassira?hamfiki 2015,miongoni mwa wanachama wenu na viongozi wenu wamechoshwa na tabia ya chama kuongozwa kiukoo mtu yeye,dada yake na mtoto wake wanapeana ubunge wa viti maalum wapiganaji wengine walaji wengine,wewe ni young politician vuta subira utayaona!

Umetembelea lini Gombe?
 
Hatuwashangahi matusi,majungu,uchochezi,ubishi,ukorofi,udini,ukabila, maneno yasiyo na hekima na busara ndiyo sera zenu kama magwanda papa wanatukana na kubwabwaja iwe wewe gwanda dagaa,pole sana kijana mdogo kama wewe ukiwa muongo na mpika majungu mwisho wa siku utakuwa mchawi!

Freemason bana!
 
kaka udini na ukabila + ukanda mnaopandikiza hautawasaidia na ipo siku mtahukumiwa kwa hili, na ndio maana watu hawawasapoti kwasababu badala ya kujibu kwa hoja nyie huwa mnakimbilia kujibu kwa matusi na na kuujadili udini na ukabila, M4C ni kwa wote bwana na CDM inakubalika kwa wote, we huoni toka kusini mbaka kaskazini, mashariki mbaka magharibi wote ni peoples pawaaaaaaaaaaaa!

Kusini sahau kijana huku watu hawadanganyiki kwa siasa chafu ,hivi unaijua kusini vizuri kijana kule Kwa Mwandosya,kwa Nchimbi,kwa Pinda,kwa mwakyembe,kwa Membe,kwa Komba na wengine kibao nendeni mkadanganyane huko huko kaskazini kwa wenye kula ruzuku ya chama chenu chadema,chama chenye sera za udini,ukabila,matusi, ,udanganyifu na upotoshaji , sahau mkuu kule watu wameelimika kitambo na huwa hawashawishiki kwa sera za uchochezi na udanganyifu!
 
CCM inakodisha magari na pikipiki, nyie mmeuziwa mafuso mtumba mawili kwa million mia tatu hamsini (350,000,000).

Halafu kila mkutano mnachangishwa kila mkutano bila kuoneshwa matumizi ya fedha yenu. Hamuoneshwi fedha ya ruzuku inayotoka Serikalini inavyotumika, hamuoneshwi fedha za msaada wa kutoka chama cha kikristo cha siasa cha ujerumani zinavyotumika.

Wakati huohuo tunajionea Katibu Mkuu akijenga jumba la kifahari, Dar ambapo sio kwao, (jumba lake, sio la chama, lakini linajengwa na chama). Wakati huohuo tunaona mpaka hausi geli wa geli frendi wake akilipwa perdiem zaidi ya laki kwa siku (kuliko Mbunge), akilazwa hoteli ya nyota 5 kwa zaidi ya laki tatu kwa siku, wote hausi geli na gelifrendi, kwa fedha ya chama. Dahhh.

Badala ya nyinyi kuhoji yote hayo, mnakaa kutazama CCM wanakodisha nini. Ni watu wa ajabu sana.

Hatuna haja ya kuhoji matumizi ya fedha zetu wenyewe,wakati tunaona wazi jinsi zinavyotumika vizuri kuiua ccm na kusambaza elimu ya uraia kwa wengi walioikosa!kuliko nyie mnaotumia kodi zetu kukodi magari ya kukusanyia watu ili kuwadanganya,mauti na iwe juu yenu.
 
Shabashi,pesa zenu wenyewe! Acha uongo kijana chadema inafanya biasshara gani ya kupata pesa zote za kufanya mikutano hapa nchini? Mm navyojua mnapewa na mabepari wa kule ulaya ili mkishika madaraka muiuze Tanzania na wake watanzania wanajua hilo haitatokea wakawapa madaraka ya kuongoza taifa hili ! Sasa hivi watanzania wanahoji yale yaliyohaidiwa na wabunge wa chadema wakati wa uchaguzi 2010 yatatekelezwa lini muda unakwenda walitegemea kuzunguka kwenu nchini mtawaambia mliyotekeleza kwa majimbo mliyopewa ridhaa vinginevyo mnatwanga maji kwenye kinu hawawezi kuwapa madaraka ya kuongoza taifa hili! Chadema sahauni kupewa madaraka ya kuongoza taifa hili labda mfanye mabadiliko ya uongozi wa chama chenu ili kuondoa udini ,ukabila na kufuta uwongo na upotoshaji angalau mnaweza eleweka vinginevyo kufanya kwenu mikutano ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu,imekula kwenu na ndiyo maana mnaona Mh Nape anavuruga kiurahisi mlikopita!
 
Ukitazama uzi mzima utaona jinsi wana CCM walivyokereka na jinsi wanavyoandika kwa uchungu kwa kuwa hawana lili wala lile.

CCM siku zote mtabaki kuandaa mazishi yenu kabla haijafika 2015
 
Last edited by a moderator:
Sikio la kufa halisikii dawa, ccm ipo ICU inasubiriwa kuondoa mipira ya oksjeni 2
 
Kwa hiyo siku hizi kazi ya kuimarisha chama wameachiwa vijana siyo?? Nape, Mwigulu......................!!! CCM wananifurahisha kweli. Sasa akina Msekwa na team yao ya wazee wameshindwa kazi siyo?? Hahahahaaaaaaa........!!!!
 
Hatukushangahi kusema uwongo,matusi,kejeli,majigambo,udini,ukabila,fitina,siasa chafu,kudanganya na kupotosha umma wa watanzania ndiyo sera yenu chadema,wenyewe hapo ndiyo mnaijenga chadema kisiasa ata takwimu na kumbukumbu ya muyasemayo majukwaani mnakuwaga hamna ahadi zenu ni za kufikirika kama vile mtapima na kugawa viwanja bure kupitia wizara ya ardhi na makazi,mfuko wa cement utauzwa Tsh 5000 ,mtatoa matibabu ya afya bure kwa watanzania wote,Elimu kuanzia chekechea mpaka chuo itakuwa bure alafu wanafunzi wa chuo watapewa pesa za kutosha za kujikimu ! Tunaomba mtuambie yale yaliyohahidiwa na wabunge wenu wakati wa kampeni uchaguzi wa 2010 yametekelezwa kwa kiasi gani? Vinginevyo mnatwanga maji kwenye kinu watanzania hawadanganyiki kihivyo huwa wanakuja kwenye mikutano kuwashangaa jinsi mlivyokosa hekima na busara dhidi ya viongozi wa serikali,Enzi zile ulikuwa unanyongwa sasa wanawashangaa nyie mnafikiri mnapendwa!
Ngoja tutakurudisha mirembe ulikotoroka
 
Ngoja tutakurudisha mirembe ulikotoroka

Acha majibu ya dharau ,jazba na kejeli kama mfundishwavyo kwenye semina zenu za kuijenga chadema,Jibu hoja,wabunge wa chadema wametekeleza yale waliyoyahaidi wakati wa uchaguzi 2010? Andika jina la mbunge,jimbo atokalo na aliyohaidi na kutekeleza! Vinginevyo mnajidanganya mikutano mfanyayo kote hapa nchini watu wanataka majibu ya utekelezaji kwa yale waliyohaidiwa,mmezidi kufanya siasa za kelele pasipo vitendo! Wananchi watawaadhibu kwa ahadi zenu za uwongo!
 
Kwa hiyo siku hizi kazi ya kuimarisha chama wameachiwa vijana siyo?? Nape, Mwigulu......................!!! CCM wananifurahisha kweli. Sasa akina Msekwa na team yao ya wazee wameshindwa kazi siyo?? Hahahahaaaaaaa........!!!!

Jibuni hoja ya msingi,wabunge wa chadema wametekeleza yapi kati ya yale waliohaidi majimboni mwao wakati wa uchaguzi 2010? Andika jina la mbunge,Jimbo atokalo,aliyohaidi na aliyotekeleza ! Wananchi wanataka majibu ya swali hilo kwenye mikutano yenu chadema,vinginevyo mnatwanga maji kwenye kinu mnadanganya sana na kupotosha watu!
 
Acha majibu ya dharau ,jazba na kejeli kama mfundishwavyo kwenye semina zenu za kuijenga chadema,Jibu hoja,wabunge wa chadema wametekeleza yale waliyoyahaidi wakati wa uchaguzi 2010? Andika jina la mbunge,jimbo atokalo na aliyohaidi na kutekeleza! Vinginevyo mnajidanganya mikutano mfanyayo kote hapa nchini watu wanataka majibu ya utekelezaji kwa yale waliyohaidiwa,mmezidi kufanya siasa za kelele pasipo vitendo! Wananchi watawaadhibu kwa ahadi zenu za uwongo!

Mbona mpaka sasa Kigoma haijawa Dubai au kama maandalizi yameanza vipi yule kiongozi wenu anayekaa gombe mtamgawia kiwanja sehemu nyingine pamoja na hao jamaa wake wanoishi humo?
 
Afadhali CDM ni cha kidini kuliko nyie Freemason

Ni vizuri nawe umekili kwa kinywa chako kama chadema ni chama cha kidini ,Jina la bwana litukuzwe kwa kukiri hapa jamvini kama ni kweli chadema ni chama cha dini!
 
Mbona mpaka sasa Kigoma haijawa Dubai au kama maandalizi yameanza vipi yule kiongozi wenu anayekaa gombe mtamgawia kiwanja sehemu nyingine pamoja na hao jamaa wake wanoishi humo?

Acha ubishi,jibu hoja,wabunge wa chadema wametekeleza ahadi zao walizohaidi majimboni wakati wa uchaguzi 2010? Andika jina la mbunge,jimbo atokalo na ahadi alizohaidi na kutekeleza , watanzania wanataka majibu vinginevyo ata mfanye mikutano usiku na mchana ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu! TAFADHARI JIBUNI HOJA
 
Habari wakuu, ile tabia ya ccm inaendelea, ili kuhakikisha kuwa watu wanajaa kwenye mkutano wao wa iringa leo, wameamua kukodi magari na pikipiki, ninayaandika haya nikiwa na ushahidi coz nina bodaboda yangu pia imekodiwa pamoja na dereva wake.

Ninachoona ni kuwa ccm haina uhakika na mambo yake ndo maana inawalazimu wabembeleze watu yaani ccm inawahitaji watu wakati watu hawaihitaji ccm.

Mkakati huu wa kutafuta watu wa kujaza mkutano umepamba moto hasa ukizingatia jana CHADEMA watu walifurika mno kwenye mkutano wao.

Ushauri wangu:
ccm jitafakarini kinachowafanya mpoteze mvuto kiasi hiki, najua mnajua ila mmeuchuna tu, hii tabia ya kuoneana haya na kulindana ndo inazidi kuwachimbia kaburi.

Vijijini ndo ilikuwa ngome yenu kuu lakini hata huko siku hizi hawawataki kabisa hata kuwaona, viongozi wenu wa matawi na mashina hawakotayari kufanya kazi coz hamuwajali kwa chochote.

Siku hizi ni fedheha kuvaa manguo yenu maana ukivaa unaonekana msaliti mbele ya jamii na mbele ya nchi yako.

CCM MKAE MKIJUA KUWA WATU WAMECHOSHWA NA UTAWALA WENU WA KIDHALIMU USIOKIDHI HAJA NA MATAKWA YA WALIOWAPA LIDHAA YA KUONGOZA.

Kwa hiyo zile kelele za CCM kwamba CDM kila kukicha mikutano na maandamano yanawapotezea watu muda na kuhatarisha amani sasa wameona ilikuwa ni porojo au? mbona nao wameanza tena kubeba watu kwa magari kutoka mbali ndio unawapotezea muda zaid wa kufanya kazi. Mimi binafsi naona CCM imechoka haina jipya tena.
 
Acha ubishi,jibu hoja,wabunge wa chadema wametekeleza ahadi zao walizohaidi majimboni wakati wa uchaguzi 2010? Andika jina la mbunge,jimbo atokalo na ahadi alizohaidi na kutekeleza , watanzania wanataka majibu vinginevyo ata mfanye mikutano usiku na mchana ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu! TAFADHARI JIBUNI HOJA

Sasa kama Kigoma itabadilishwa iwe Dubai Zito hana cha kutekeleza vyote vinafanywa na huyo aliye ahidi ambaye ndiye mwenye serikali na anakusanya kodi zetu Chadema wanakusanya kodi? Jibu hoja mtakapo ibadilisha Kigoma kuwa Dubai yule kiongozi wenu anayekaa Gombe na Jamaa zake mtawafukuza Ili mjenge hayo maghorofa?
 
Ni vizuri nawe umekili kwa kinywa chako kama chadema ni chama cha kidini ,Jina la bwana litukuzwe kwa kukiri hapa jamvini kama ni kweli chadema ni chama cha dini!
Ona usivyoelewa kwani Freemason ni nini?
 
Back
Top Bottom