CCM kama kawaida yake, imekodi magari na pikipiki za kuwakusanyia wanachama leo Iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kama kawaida yake, imekodi magari na pikipiki za kuwakusanyia wanachama leo Iringa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mnyikungu, Jun 17, 2012.

 1. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  Habari wakuu, ile tabia ya ccm inaendelea, ili kuhakikisha kuwa watu wanajaa kwenye mkutano wao wa iringa leo, wameamua kukodi magari na pikipiki, ninayaandika haya nikiwa na ushahidi coz nina bodaboda yangu pia imekodiwa pamoja na dereva wake.

  Ninachoona ni kuwa ccm haina uhakika na mambo yake ndo maana inawalazimu wabembeleze watu yaani ccm inawahitaji watu wakati watu hawaihitaji ccm.

  Mkakati huu wa kutafuta watu wa kujaza mkutano umepamba moto hasa ukizingatia jana CHADEMA watu walifurika mno kwenye mkutano wao.

  Ushauri wangu:
  ccm jitafakarini kinachowafanya mpoteze mvuto kiasi hiki, najua mnajua ila mmeuchuna tu, hii tabia ya kuoneana haya na kulindana ndo inazidi kuwachimbia kaburi.

  Vijijini ndo ilikuwa ngome yenu kuu lakini hata huko siku hizi hawawataki kabisa hata kuwaona, viongozi wenu wa matawi na mashina hawakotayari kufanya kazi coz hamuwajali kwa chochote.

  Siku hizi ni fedheha kuvaa manguo yenu maana ukivaa unaonekana msaliti mbele ya jamii na mbele ya nchi yako.

  CCM MKAE MKIJUA KUWA WATU WAMECHOSHWA NA UTAWALA WENU WA KIDHALIMU USIOKIDHI HAJA NA MATAKWA YA WALIOWAPA LIDHAA YA KUONGOZA.
   
 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Waache wakodi, maana wanasaidia kutuongezea kipato na kutupa ulaji pia. maana naamini huko watu wanahudhuria kama vibarua tu, mkutano ukiisha na kazi ya ujira waliolipwa inakuwa imeisha wanarudi mtaani kuendeleza harakati za M4C.
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Watu wanapokosa hoja huanza viroja.
   
 4. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  Je kama ndiyo kawaida yao enzi na enzi utafanyaje, au hujui kuwa jasiri haachi asili. Lakini kama hii tabia wameianza leo, basi ni dhahiri kuwa kila jambo lina wakati wake na kama ndivyo, itafika wakati hata Chadema wataanza kukodi watu wa kujaza mikutano yao.
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 5. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  We shukuru tu kwa kuwa wanakurudishia sehemu ya kodi yako, kula ccm,kura chadema
   
 6. only83

  only83 JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Waacheni wajiridhishe wakati wanasubiria maziko yao 2015.
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ndiyo maana deni latifa lina zidi kuongezeka..hizo pesa ndiyo hizi zinazo tumika kulipa watu ili wahudhulie mikutano ya CCM....
   
 8. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  zoba usiwe mvivu fanya utafiti hapahapa jf wala usiende mitaani,katika post za ccm ama cdm anagalia ni wangapi wanasapoti cdm na ccm,katka majibu utakayopata kata shauri kabla mlango haujafungwa.
   
 9. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  mkuu kabla 2015 hii nchi iatakuwa imebaki mifupa mitupu,cdm wataingia ikulu hawatakuta hata kiti cha kukalia
   
 10. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  NI kweli kuwa jasiri haachi asili lakini jasili mzuri ni yula anayebadili mbinu za ujasili wake,je kwanini isiwe hivyo kwa cdm ila ni ccm 2?soon tutaikomboa nchi yetu
   
 11. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,725
  Trophy Points: 280
  Anachofanya Nape ni kuling'arisha jeneza la CCM tayari kwa mazishi rasmi hapo 2015. La kuvunda halina ubani.
   
 12. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Naomba waratibu wa sherehe za mazishi ya ccm wasinisahau kupanga Risala.I hate ccm just like devel.
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu operation jaza uwanja ni Kati operation zinazotumia hela kuliko hata kujenga barabara kwasababu kupata watu wa kujaza sq meter mbili si chini ya milioni moja hayo ndio mahesabu wanayotumia ccm
   
 14. s

  sangija Senior Member

  #14
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kweli jamani hawa nyinyiem,hawana mtu mwenye upeo wa kuwapa ushauri wa mwelekeo wa chama chao?? Kweli bila aibu unasomba na kuwalipa watu waje kwenye mkutano,bado unajigamba kuhutubia na kusema watu wanakusupport??? kweli inahitaji akili ya maiti kwa ujasiri huo!!!!!!!!!!!
   
 15. t

  testa JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  unafanyika sehemu gani hapo Iringa?
   
 16. p

  panadol JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kunya anye kuku,akinya bata kaharisha , tumeshawazoea Chadema kwa maneno ya uongo,uzushi,matusi na uchonganishi ! Ndugu watanzania kuna watu wanalipwa posho kwa kazi hiyo pale makao makuu ya chadema wana IDs tofauti totafauti kwa ajili ya kudanganya na kupotosha umma wa watanzania juu ya ukweli wowote wa CCM na serikali yake lengo kuu kuijenga chadema kisiasa hapa nchini ,Watu makini fanyeni tafiti ndogo tu humu humu jamvini mtagundua watoa maada wa chadema na wachangiaji wao posts zao hazina ukweli ni za kisiasa,wachangiaji wao wengi wao huchangia kwa lugha chafu za matusi na kejeli ,hawa ndiyo tuwape nchi haiwezekani ata kidogo ndugu mtanzania mpenda Amani,Umoja na Mshikamano popote ulipo jitahidi kuwaelimisha watanzania wenzako juu ya chadema na wafusi wake kama hawafahi kupewa madaraka ni watu waongo sana,wafitina,ni watu wa kejeli na matusi,wana jazba sana,wadini,wakabila,waroho wa madaraka wako tayari taifa limwage damu wao waingie madarakani,wachochezi wa migomo na fujo zote uzisikiazo hapa nchini kwetu !ndugu mtanzania tusiwakubali hawa Chadema ata kidogo hawafahi kutuongoza,Ni chama cha kidini na kikabila wewe kama mtanzania mzalendo fanya tafiti ndogo mtaani ulipo utagundua asilimia 99.99% ya wachaga wote hapa nchini ni Chadema alafu pia pale makao makuu kuanzia uongozi wa juu wa chama yani Mwenyekiti wao mpaka viongozi wa ngazi ya chini na wafanyakazi wa kawaida yani masekretari,wafagiaji mpaka walinzi kwenye ofisini za chadema asilimia 99.99% ni wachaga na wakiristo! Amkeni watanzania wazalendo popote mlipo elimisheni na wengine kutokuichagua chadema ili kulinda Amani,Umoja Na Mshikamano tulionao watanzania ,Mungu ibariki Tanzania ,Mungu ibariki Afrika! Asanteni
   
 17. g

  ggmedal Member

  #17
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aisee kaka inabidi umshukuru Mungu maana kipande cha siku kinaingia,kumbuka kula vya CCM kura kwa CHADEMA.PEOPLE'S POWER 4REVER....
   
 18. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #18
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  movement 4 somba watu @ work..!
   
 19. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mwongo wewe, i supporting cdm with no pay
   
 20. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  umefanyika maeneo ya soko kuu maana wameona wakienda kwingine hawatapata soko
   
Loading...