mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 459
mashamba yaligawiwa kwa wazungu kwakutumia sera ya ccm, kisha ccm hiyohiyo ianzishe vita vya mapambano na serikali "yake" ili kuyarudisha mashamba hayo???
Huu ulaghai uishie hukohuko lumumba,
hongera kamanda nasari kwakupigana kiume hadi kuyaresha mashamba hayo mikononi mwa umma.
Sera nzuri ya chadema imekomboa watu wa arumeru mashariki.
nassary anapiga picha kwenye visima vya maji na kuja kuziweka huku ili aonekane yeye ndio amechimba hivyo visima.huyu dogo akili zake hazimtoshi, ofisi za chadema zimefungwa kwa kukosa kodi ya pango nassary anashinda bar na majimama
Katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa ice age hivi karibuni kati ya viongozi waandamizi wa ccm kikiongozwa na MNECK WA MKOA WA ARUSHA BWANA MWARUSAMBA na MTANDAO wa maendeleo wa vijana meru wapatao 2000, mwenyekiti wa ccm wilaya hiyo amewaeleza kuwa kauli anazotoa mbunge nasari kwamba yeye ndio amewezesha kurudisha mashamba yaliyokuwa yanamilikiwa na wazungu kama valesca ni uongo ulioopitiliza na kwamba hajawahi kuchimba hata tundu la choo sembuse mashamba na kwamba amedandia hoja ya merehemu sumari aliyeanza utaratibu wa kurejesha mashamba hayo na sio hoja ya chadema na nasari.kwenu wadau
Na kuongezea tu barabara ya Mandela Nassari anaipigania sana na leo kamuuliza Makufuli inakuwaje itengwe bil 1.3 kwa km 18?
Kumbuka barabara hii inakwenda chuo cha NMIST huko Nambala na ikijengwa itasaidia kupunguza pia foleni na kuuchora jiji la Arusha.
Kuhusu Mashamba Nassari kafanya kazi kubwa sana.
Du Janga kweli Naomba nikuulize maswali matatu yafuatayo kutoka kwenye andiko lako kama nilivyobold:
1-mneack .
Huyu ni mdudu gani uliyemtaja kwenye bandiko lako?
2-amedandia hoja ya merehemu
Je kuna ubaya gani kama kuna jambo zuri na halali liloanzishwa na mtangulizi wako kuliendeleza au marehemu alikuwa na hatimiliki ya shuguli hiyo?
3-hajawahi kuchimba hata tundu la choo.
-Ni kazi ya mbunge kuchimba choo,Yaani jambo ambalo ni very basics kama kuwa na choo hadi leo utegemee mbunge aje achimbe?Unajua ni kosa kisheria kutokuwa na choo,ni nani anayemtegemea Nasari aje amchimbe choo!Naomba majina yao tafadhali.
Hakuna mbaya kuendeleza mazuri...hata kama yalikua ya adui...na huo ndo ukubwaunaambiwa haikuwa hoja ya cdm bali ni marehemu sumari aliyeanza huo utaratibu na nasari akapitia humo humo
Among proffessionals I have, soldier is among.Hebu jibu maswali ya msingi hata pale ulipo edit bado umechemka tena mwana wa kwetu rudia tena.we mchaga mwenzangu unataka majina utawaweza vita ya wameru au unaisikia tu
unaambiwa haikuwa hoja ya cdm bali ni marehemu sumari aliyeanza huo utaratibu na nasari akapitia humo humo