CCM: Joshua Nassari hajawahi chimba hata tundu la CHOO Meru

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,058
1,195
Katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa ice age hivi karibuni kati ya viongozi waandamizi wa ccm kikiongozwa na MNECK WA MKOA WA ARUSHA BWANA MWARUSAMBA na MTANDAO wa maendeleo wa vijana meru wapatao 2000, mwenyekiti wa ccm wilaya hiyo amewaeleza kuwa kauli anazotoa mbunge nasari kwamba yeye ndio amewezesha kurudisha mashamba yaliyokuwa yanamilikiwa na wazungu kama valesca ni uongo ulioopitiliza na kwamba hajawahi kuchimba hata tundu la choo sembuse mashamba na kwamba amedandia hoja ya merehemu sumari aliyeanza utaratibu wa kurejesha mashamba hayo na sio hoja ya chadema na nasari.kwenu wadau
 
Yericko Nyerere

Verified Member
Dec 22, 2010
16,783
2,000
Mashamba yaligawiwa kwa wazungu kwakutumia sera ya ccm, kisha ccm hiyohiyo ianzishe vita vya mapambano na serikali "yake" ili kuyarudisha mashamba hayo???

Huu ulaghai uishie hukohuko Lumumba,

Hongera kamanda Nasari kwakupigana kiume hadi kuyaresha mashamba hayo mikononi mwa umma.

Sera nzuri ya Chadema imekomboa watu wa Arumeru Mashariki.
 
duanzi

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
16,446
0
nassary anapiga picha kwenye visima vya maji na kuja kuziweka huku ili aonekane yeye ndio amechimba hivyo visima.huyu dogo akili zake hazimtoshi, ofisi za chadema zimefungwa kwa kukosa kodi ya pango nassary anashinda bar na majimama
 
mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,058
1,195
mashamba yaligawiwa kwa wazungu kwakutumia sera ya ccm, kisha ccm hiyohiyo ianzishe vita vya mapambano na serikali "yake" ili kuyarudisha mashamba hayo???

Huu ulaghai uishie hukohuko lumumba,

hongera kamanda nasari kwakupigana kiume hadi kuyaresha mashamba hayo mikononi mwa umma.

Sera nzuri ya chadema imekomboa watu wa arumeru mashariki.

unaambiwa haikuwa hoja ya cdm bali ni marehemu sumari aliyeanza huo utaratibu na nasari akapitia humo humo
 
Mount Kibo

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
1,922
1,250
Du Janga kweli Naomba nikuulize maswali matatu yafuatayo kutoka kwenye andiko lako kama nilivyobold:

1-mneack .
Huyu ni mdudu gani uliyemtaja kwenye bandiko lako?

2-amedandia hoja ya merehemu
Je kuna ubaya gani kama kuna jambo zuri na halali liloanzishwa na mtangulizi wako kuliendeleza au marehemu alikuwa na hatimiliki ya shuguli hiyo?

3-hajawahi kuchimba hata tundu la choo.
-Ni kazi ya mbunge kuchimba choo,Yaani jambo ambalo ni very basics kama kuwa na choo hadi leo utegemee mbunge aje achimbe?Unajua ni kosa kisheria kutokuwa na choo,ni nani anayemtegemea Nasari aje amchimbe choo!Naomba majina yao tafadhali.
 
DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,614
2,000
Na kuongezea tu barabara ya Mandela Nassari anaipigania sana na leo kamuuliza Makufuli inakuwaje itengwe bil 1.3 kwa km 18?

Kumbuka barabara hii inakwenda chuo cha NMIST huko Nambala na ikijengwa itasaidia kupunguza pia foleni na kuuchora jiji la Arusha.

Kuhusu Mashamba Nassari kafanya kazi kubwa sana.
 
mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,058
1,195
nassary anapiga picha kwenye visima vya maji na kuja kuziweka huku ili aonekane yeye ndio amechimba hivyo visima.huyu dogo akili zake hazimtoshi, ofisi za chadema zimefungwa kwa kukosa kodi ya pango nassary anashinda bar na majimama

hili nalo la kupiga picha lilijadiliwa pia na kwamba hizo picha anazitolea kalenda na kuwauzia wananchi shilingi 2000 badala ya kuwapa bure
 
palalisote

JF-Expert Member
Aug 4, 2010
8,340
0
Katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa ice age hivi karibuni kati ya viongozi waandamizi wa ccm kikiongozwa na MNECK WA MKOA WA ARUSHA BWANA MWARUSAMBA na MTANDAO wa maendeleo wa vijana meru wapatao 2000, mwenyekiti wa ccm wilaya hiyo amewaeleza kuwa kauli anazotoa mbunge nasari kwamba yeye ndio amewezesha kurudisha mashamba yaliyokuwa yanamilikiwa na wazungu kama valesca ni uongo ulioopitiliza na kwamba hajawahi kuchimba hata tundu la choo sembuse mashamba na kwamba amedandia hoja ya merehemu sumari aliyeanza utaratibu wa kurejesha mashamba hayo na sio hoja ya chadema na nasari.kwenu wadau

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,058
1,195
Na kuongezea tu barabara ya Mandela Nassari anaipigania sana na leo kamuuliza Makufuli inakuwaje itengwe bil 1.3 kwa km 18?

Kumbuka barabara hii inakwenda chuo cha NMIST huko Nambala na ikijengwa itasaidia kupunguza pia foleni na kuuchora jiji la Arusha.

Kuhusu Mashamba Nassari kafanya kazi kubwa sana.

hili la barabara nakubaliana nalo
 
mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,058
1,195
Du Janga kweli Naomba nikuulize maswali matatu yafuatayo kutoka kwenye andiko lako kama nilivyobold:

1-mneack .
Huyu ni mdudu gani uliyemtaja kwenye bandiko lako?

2-amedandia hoja ya merehemu
Je kuna ubaya gani kama kuna jambo zuri na halali liloanzishwa na mtangulizi wako kuliendeleza au marehemu alikuwa na hatimiliki ya shuguli hiyo?

3-hajawahi kuchimba hata tundu la choo.
-Ni kazi ya mbunge kuchimba choo,Yaani jambo ambalo ni very basics kama kuwa na choo hadi leo utegemee mbunge aje achimbe?Unajua ni kosa kisheria kutokuwa na choo,ni nani anayemtegemea Nasari aje amchimbe choo!Naomba majina yao tafadhali.

we mchaga mwenzangu unataka majina utawaweza vita ya wameru au unaisikia tu
 
Mount Kibo

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
1,922
1,250
Du eti mleta mda ndo kada mtegemewa wa CCM hebu niambie pamoja na kurekebisha hiki ni nini MNECK?
Kama nikihakikisha wewe ni mchaga kweli mi ntaikana hiyo kabila kwa tambiko kubwa kabisa.Kweli wewe mmaranguoriginal ni kiumbo kipusu!
 
LOMAYANN

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,165
1,250
Hatuwezi kumbeza Nassari maana issue ya mashamba Meru ni muda mrefu na hata kama ccm wamefanya kazi mashamba yakarudi ni kwa pressure ya CHADEMA na nassari.

Hongereni wanameru kwa kumchagua kamanda Nassari maana hata kwa kelele tu kazi inakwenda na ndicho wana Meru wanataka
 
ommy255

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
1,042
1,195
Nawauliza hao ccm swal rahic tu kama Joshua ndo hajarudisha mashamba kwann kipingi chao cha uongoz walishindwa kuyarudisha?
Na kwa nn wajarudishe wakati jimbo limechukuliwa na chadema?
Utagundua ni uongo huo ccm ni kama manyumbu hv wayaibe wao Joshua kayarudisha waseme wao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom