CCM: Joshua Nassari hajawahi chimba hata tundu la CHOO Meru

Du eti mleta mda ndo kada mtegemewa wa CCM hebu niambie pamoja na kurekebisha hiki ni nini MNECK?
Kama nikihakikisha wewe ni mchaga kweli mi ntaikana hiyo kabila kwa tambiko kubwa kabisa.Kweli wewe mmaranguoriginal ni kiumbo kipusu!

kijana humjui kamanda mmaranguoriginal wewe sio mwepesi kama unavyodhania.kitu kingine tambua hili ni jukwaa huru na nimeleta posting wewe ulivyo wale wachaga wa huru kisimundu mmezubazubaa tu unafanya personal attack badala ya kujikita kwenye hoja na mapimbi kama ninyi mnafanya chadema ionekane chama cha wachaga.umeshikiwa akili na nani
 
nassary anapiga picha kwenye visima vya maji na kuja kuziweka huku ili aonekane yeye ndio amechimba hivyo visima.huyu dogo akili zake hazimtoshi, ofisi za chadema zimefungwa kwa kukosa kodi ya pango nassary anashinda bar na majimama

Wewe siasa za kike hizo,eleza sera zilizoshindwa za elimu division 5, sasa hivi chama chako kimeanzisha mafunzo ya ualimu miaka mitatu kinyume hata na sheria ya NACTE,
Aidha tueleze meli za bukoba zilizoahidiwa mwaka 2005 zitakuja lini
Pili,Nassary mbunge amerejesha hadhi ya jimbo,tabia yenu ya kike ya mtoto wa kambo ndoo inawasumbua eti kila kitu lazima ccm,akileta maji mnasema ccm,ndio maana mnaajenda ya kutopeleka fedha kwenye majimbo ya wapinzano ili 2015 mseme mbunge hakuleta maendeleo,
Ni lini mtajifunza siasa za kistaarabu na za sera na agenda zinazotekelezeka?, ari,kasi,nguvu zimeishia Mizigo,tunataka kujua mizigo itaisha lini ?
 
Katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa ice age hivi karibuni kati ya viongozi waandamizi wa ccm kikiongozwa na MNECK WA MKOA WA ARUSHA BWANA MWARUSAMBA na MTANDAO wa maendeleo wa vijana meru wapatao 2000, mwenyekiti wa ccm wilaya hiyo amewaeleza kuwa kauli anazotoa mbunge nasari kwamba yeye ndio amewezesha kurudisha mashamba yaliyokuwa yanamilikiwa na wazungu kama valesca ni uongo ulioopitiliza na kwamba hajawahi kuchimba hata tundu la choo sembuse mashamba na kwamba amedandia hoja ya merehemu sumari aliyeanza utaratibu wa kurejesha mashamba hayo na sio hoja ya chadema na nasari.kwenu wadau

kabla huja kurupuka pitia thread hizi mjinga wewe

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-arumeru-yawachanganya-ccm-6.html#post9596317

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-za-ushiriki-wa-nasari-kwenye-jimbo-lake.html
 
kijana humjui kamanda mmaranguoriginal wewe sio mwepesi kama unavyodhania.kitu kingine tambua hili ni jukwaa huru na nimeleta posting wewe ulivyo wale wachaga wa huru kisimundu mmezubazubaa tu unafanya personal attack badala ya kujikita kwenye hoja na mapimbi kama ninyi mnafanya chadema ionekane chama cha wachaga.umeshikiwa akili na nani

umeongea nini sasa? Peleka uharo wako lumumba!
 
Du Janga kweli Naomba nikuulize maswali matatu yafuatayo kutoka kwenye andiko lako kama nilivyobold:

1-mneack .
Huyu ni mdudu gani uliyemtaja kwenye bandiko lako?

2-amedandia hoja ya merehemu
Je kuna ubaya gani kama kuna jambo zuri na halali liloanzishwa na mtangulizi wako kuliendeleza au marehemu alikuwa na hatimiliki ya shuguli hiyo?

3-hajawahi kuchimba hata tundu la choo.
-Ni kazi ya mbunge kuchimba choo,Yaani jambo ambalo ni very basics kama kuwa na choo hadi leo utegemee mbunge aje achimbe?Unajua ni kosa kisheria kutokuwa na choo,ni nani anayemtegemea Nasari aje amchimbe choo!Naomba majina yao tafadhali.

ha ha ha thanx brother
 
Hivi ccm mbona mnatapa tapa kama watoto wadogo?nchi ipo mikononi kwenu na hamfany la maana kama kurudisha mabilioni na mnaishia kulalamika about majimbo,naomba akili kubwa itawale na hii akili kubwa sio ya prof au nan,ni mtu mwenye hekima na uwezo wa kufikiri.Sina usemi kuhusu hii hoja mana kama mtu umepewa nyumba mia usimamie na unazingua na unasema mimi nataka ile ya kushoto tu mana ndo naiweza,si mnatuzingua
 
Ngoja mashamba yaanze kugaiwa kwa wananchi ndio utajua ubora wa Nassari

Ha haaaa,!! Nayeye kama hana shamba tangazo likitoka ofisi ya mkurugenzi Arumeru akaandikishe jina ili apate,aachane na mambo ya vyoo na visima hayo anapanga mkurugenzi na madiwani nadhani hajui kazi za mbunge ni nini ,aende akasome kitabu cha darasa la tano juu ya serikali za mitaa na Bunge atajua vizuri,hatahoji hoja dhaifu kama hizi
 
Nassary aliwaahidi wameru kuwa ataleta Ambulance katika Hospitali ya wilaya ya Arumeru(WEST MERU) Ndani ya siku 60 toka achaguliwe. Lakini mpaka sasa ahadi hiyo imeota mbawa.
 
Nassary aliwaahidi wameru kuwa ataleta Ambulance katika Hospitali ya wilaya ya Arumeru(WEST MERU) Ndani ya siku 60 toka achaguliwe. Lakini mpaka sasa ahadi hiyo imeota mbawa.

Acha ukabila ndg! kama aliahidi ni kwa jumla wananchi na sio Wameru(kabila) kama unavyopotosha.. pia amefanya makubwa jimboni zaidi ya hyo ambulance unayoulizia wewe na muda upo zaidi ya mwaka hvo utajionea kwa macho yako mwenyewe.
 
Ha haaaa,!! Nayeye kama hana shamba tangazo likitoka ofisi ya mkurugenzi Arumeru akaandikishe jina ili apate,aachane na mambo ya vyoo na visima hayo anapanga mkurugenzi na madiwani nadhani hajui kazi za mbunge ni nini ,aende akasome kitabu cha darasa la tano juu ya serikali za mitaa na Bunge atajua vizuri,hatahoji hoja dhaifu kama hizi

Kweli kaka.
 
Katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa ice age hivi karibuni kati ya viongozi waandamizi wa ccm kikiongozwa na MNECK WA MKOA WA ARUSHA BWANA MWARUSAMBA na MTANDAO wa maendeleo wa vijana meru wapatao 2000, mwenyekiti wa ccm wilaya hiyo amewaeleza kuwa kauli anazotoa mbunge nasari kwamba yeye ndio amewezesha kurudisha mashamba yaliyokuwa yanamilikiwa na wazungu kama valesca ni uongo ulioopitiliza na kwamba hajawahi kuchimba hata tundu la choo sembuse mashamba na kwamba amedandia hoja ya merehemu sumari aliyeanza utaratibu wa kurejesha mashamba hayo na sio hoja ya chadema na nasari.kwenu wadau

Sio kazi ya mbunge kuja kuchimba tundu la choo, pia siku nyingine jitahidi kupitia bandiko lako kabla hujalibandika ili kupunguza mikangamyiko isiyo ya lazima, mf. #MNECK
 
Back
Top Bottom