CCM: Joshua Nassari hajawahi chimba hata tundu la CHOO Meru

mmaranguoriginal muogope MUNGU kwa uongo wako wewe. Unataka kusema kurudisha mashamba ni kazi ya CCM? Hakika wewe ni mpotoshaji mkubwa sana! Nakushauri wewe na CCM iteni wanahabari mtembelee Meru. Mheshimiwa Joshua Nassari kafanya wakubwa sana pale
 
Last edited by a moderator:
Ukweli mtupu joshua anakazi moja tu ya kuruka na wadada lakini siyo kuleta maendeleo hana huruka hiyo.
 
Joshua tangu achaguliwe anapiga kelele bungeni na majukwaani hata hazungumzi mambo ya maana kabisa ni full ubavicha na utoto zaidi.
 
Katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa ice age hivi karibuni kati ya viongozi waandamizi wa ccm kikiongozwa na MNECK WA MKOA WA ARUSHA BWANA MWARUSAMBA na MTANDAO wa maendeleo wa vijana meru wapatao 2000, mwenyekiti wa ccm wilaya hiyo amewaeleza kuwa kauli anazotoa mbunge nasari kwamba yeye ndio amewezesha kurudisha mashamba yaliyokuwa yanamilikiwa na wazungu kama valesca ni uongo ulioopitiliza na kwamba hajawahi kuchimba hata tundu la choo sembuse mashamba na kwamba amedandia hoja ya merehemu sumari aliyeanza utaratibu wa kurejesha mashamba hayo na sio hoja ya chadema na nasari.kwenu wadau

WanaCCM nawafananisha na Ibilisi Muda wote kwa Ulaghai na uharibifu. Hoja hii hapa ni ya ajabu sana. Mimi sijafika Arusha karibuni ila naamini Kijana anafanya kazi yake vizuri na hii ni kuendana na desturi ya wabunge wawajibikaji wa Chadema na wengine waadilifu. CCM ni kupanda magugu ya fitina, uchonganishi, uzushi na hila tu ili kupata huruma za wapumbavu wachache. Niliona Nasari akiwa na Wanaarmeru wakisambaza kifusi kwenye barabara ya Akeri kuelekea Mlimani baada ya barabara hiyo kutelekezwa kwa mda mrefu na halimashauri ya Meru. Na ni Nassari huyu huyu aliyegharamia kifusi mpaka kusambaza akishirikiana na wapenda maendeleo wengi wa Arumeru. Sasa nasita kuelewa hawa watesi CCM wanataka kutuambi nini. Najua wanapiga jeramba la kuchukua Jimbo hilo ambapo mpaka mzee wa Mvi alimtembelea aliyekuwa kiongozi wa CCM zama hizo mzee kaaya 95 yrs kwa POLE kutafuta baraka kwa ajili ya 2015.
 
Nassary aliwaahidi wameru kuwa ataleta Ambulance katika Hospitali ya wilaya ya Arumeru(WEST MERU) Ndani ya siku 60 toka achaguliwe. Lakini mpaka sasa ahadi hiyo imeota mbawa.
Yeye kama mwakilishi ni kupeleka matatizo ya wananchi mbele kama liserekali lako lisikivu,mwingi wa rushwa na uwizi hawajapeleka ulitaka atoe mfukoni hela zake akanunue!
 
sawa hata kama ilikuwa ni hoja ya marehemu. je hayo mashamba yamechukuliwa leo ni miaka mingi na ccm wameshindwa kuyarejesha. dogo kafanya mPe sifa zake. mbna kuna wabunge wa ccm wamefanya vizuri kwenye majimbo yao ina maana WAMECHIMBA VYOO
 
nassary anapiga picha kwenye visima vya maji na kuja kuziweka huku ili aonekane yeye ndio amechimba hivyo visima.huyu dogo akili zake hazimtoshi, ofisi za chadema zimefungwa kwa kukosa kodi ya pango nassary anashinda bar na majimama

Kazi ya kuchimba visima ni ya serikali yeye kama Mbunge ni ufuatiliaji tu,Nasari hana pesa za kuchimba visima.Kama ufuatiliaji wake umezaa matunda basi mpeni tano.Na kuhusu mashamba kwani kuna ubaya gani mtu akifuatilia alichoanza Mbunge mwenzake?Au ndiyo yale yale JIMBO la BABA YANGU?Tuache hizi watanzania hazipendezi.
 
mmaranguoriginal muogope MUNGU kwa uongo wako wewe. Unataka kusema kurudisha mashamba ni kazi ya CCM? Hakika wewe ni mpotoshaji mkubwa sana! Nakushauri wewe na CCM iteni wanahabari mtembelee Meru. Mheshimiwa Joshua Nassari kafanya wakubwa sana pale

kamanda arushaone thread yangu haijafanya personal attack bali nimeleta kilichozungumzwa na wanaccm au dhambi yangu ipo wapi
 
Last edited by a moderator:
Katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa ice age hivi karibuni kati ya viongozi waandamizi wa ccm kikiongozwa na MNECK WA MKOA WA ARUSHA BWANA MWARUSAMBA na MTANDAO wa maendeleo wa vijana meru wapatao 2000, mwenyekiti wa ccm wilaya hiyo amewaeleza kuwa kauli anazotoa mbunge nasari kwamba yeye ndio amewezesha kurudisha mashamba yaliyokuwa yanamilikiwa na wazungu kama valesca ni uongo ulioopitiliza na kwamba hajawahi kuchimba hata tundu la choo sembuse mashamba na kwamba amedandia hoja ya merehemu sumari aliyeanza utaratibu wa kurejesha mashamba hayo na sio hoja ya chadema na nasari.kwenu wadau

Mkuu mbona hulalamikii Mkapa, Yona, Idd Simba, Ngeleja, Mramba, Chenge kutuachia mashimo na uharibifu wa mazingira huku dhahabu na almasi zikitoroshewa nje ya nchi?....
 
nassary anapiga picha kwenye visima vya maji na kuja kuziweka huku ili aonekane yeye ndio amechimba hivyo visima.huyu dogo akili zake hazimtoshi, ofisi za chadema zimefungwa kwa kukosa kodi ya pango nassary anashinda bar na majimama

dah mkuu jitathimin kwanza
 
unaambiwa haikuwa hoja ya cdm bali ni marehemu sumari aliyeanza huo utaratibu na nasari akapitia humo humo

suala sio hoja ni ya nani, suala ni nani kafanya. wa-tz bwana! ndo maana nchi ina average IQ ndogo, jaribuni kufikiri.
 
nassary anapiga picha kwenye visima vya maji na kuja kuziweka huku ili aonekane yeye ndio amechimba hivyo visima.huyu dogo akili zake hazimtoshi, ofisi za chadema zimefungwa kwa kukosa kodi ya pango nassary anashinda bar na majimama

Wewe ni mmoja wa hayo niliyoyabold hapo juu so ni kama unaona wivu hivi
 
nassary anapiga picha kwenye visima vya maji na kuja kuziweka huku ili aonekane yeye ndio amechimba hivyo visima.huyu dogo akili zake hazimtoshi, ofisi za chadema zimefungwa kwa kukosa kodi ya pango nassary anashinda bar na majimama

unaweza kuthibitisha mtu mwingine aliyejenga visima alivyopiga navyo picha?

kunakosa kwa yeye kukaa baa? kunakosa kwa yeye kukaa na "majimama" (kwangu mimi ni wamama)
 
Hongera sana joshua nassari,hongereni pia makamanda wote wa chadema,hongera wana arumeru kwa kumchagua kamanda,hapo ni mwanzo tu,bado tunaendelea mbele,

Ccm achen kupotosha watu
Siku zote ukweli hujitenga na uongo,shatap
 
Back
Top Bottom