CCM Jordan hapatoshi.

Sango Ochwera

Member
Mar 20, 2013
98
26
Baada ya kushindwa vibaya na Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) katika uchaguzi wa serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu Cha Jordan uongozi wa CCM Mkoa wa Morogoro umeingia katika mtifuano mkali na baadhi ya viongozi wa CCM chuoni hapo.Baadhi ya viongozi wanadaiwa kuchota kiasi cha sh laki 9 kutoka uongozi wa CCM mkoa kwa ajili kampeni lakini hawakufanya kazi hiyo badala yake waliweka fedha hizo mifukoni mwao na kupelekea kushindwa vibaya ktk uchaguzi huo.Kwa sasa vijana hao wa ccm chuoni hapo wanaodaiwa kutafuna fedha hizo wanaishi kwa kujicha wakikwepa kurudisha fedha hizo ambazo tayari wamekwisha zitumia.
 
Back
Top Bottom