CCM Jordan hapatoshi.


S

Sango Ochwera

Member
Joined
Mar 20, 2013
Messages
98
Likes
3
Points
15
S

Sango Ochwera

Member
Joined Mar 20, 2013
98 3 15
Baada ya kushindwa vibaya na Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) katika uchaguzi wa serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu Cha Jordan uongozi wa CCM Mkoa wa Morogoro umeingia katika mtifuano mkali na baadhi ya viongozi wa CCM chuoni hapo.Baadhi ya viongozi wanadaiwa kuchota kiasi cha sh laki 9 kutoka uongozi wa CCM mkoa kwa ajili kampeni lakini hawakufanya kazi hiyo badala yake waliweka fedha hizo mifukoni mwao na kupelekea kushindwa vibaya ktk uchaguzi huo.Kwa sasa vijana hao wa ccm chuoni hapo wanaodaiwa kutafuna fedha hizo wanaishi kwa kujicha wakikwepa kurudisha fedha hizo ambazo tayari wamekwisha zitumia.
 
P

Prince Hope

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Messages
2,162
Likes
60
Points
145
P

Prince Hope

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2012
2,162 60 145
Wanaona kinachofanywa na viongozi wao wakuu!
Na mwakani wazitafune tena.................
 
EARPHONE

EARPHONE

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Messages
357
Likes
8
Points
35
EARPHONE

EARPHONE

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2012
357 8 35
Hahahah...magamba yamefulia
 
MPANDA Jr

MPANDA Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2011
Messages
1,298
Likes
3
Points
135
MPANDA Jr

MPANDA Jr

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2011
1,298 3 135
Kumbe ndo maana wale majamaa hawaonekan hapa. Like father, like son
 

Forum statistics

Threads 1,273,260
Members 490,343
Posts 30,475,692