Ili kuendana na kasi ya Rais Dr Magufuli ni vyema chama changu CCM kikawatumbua majipu wabunge wote wanaotuhumiwa kula rushwa katika uteuzi wa kamati kama walivyotumbuliwa vigogo mbalimbali wa serikali waliotuhumiwa kwa Rushwa kama Masamaki, Bade, Mzee TRL, Mama wa DART, Mama wa Vipimo et al.
Kama chama kinachosimamia serikali tunataka wabunge wala rushwa wote washughulikiwe sio tu na Kamati ya maadili ya Bunge pia na kamati ya maadili ya chama na hatua kali zichukuliwe ikiwa ni pamoja na kuwavua uwanachama na kuwafikisha mahakamani haraka iwezekanavyo ili kuondoa double standard kati ya watumishi wa umma na wanasiasa.