WaBaadhi ya watu, nikiwemo mimi, tumekuwa tukiamini kuwa mtaji mkubwa wa CCM katika ushindani wa kisiasa nchini ni ujinga wa wananchi.
Kwamba, kuna sehemu kubwa ya wananchi ambao ni wajinga ama kwa kutokutaka au kupenda kufuatilia mambo vizuri au kwa kuwa na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo na hivyo kupelekea kurubuniwa na CCM pindi msimu wa uchaguzi unapokaribia ili wakipe kura chama hicho.
Tumekuwa tukiiamini sana nadharia hiyo kwa sababu tunaamini kuwa ni vigumu sana kwa mtu na akili zake timamu kuendelea kuiunga mkono CCM licha ya uborongaji wake.
Lakini, mimi binafsi nadhani mtaji wa kisiasa wa CCM si ujinga peke yake. Naamini pia uoga wa Watanzania nao ni bonge la mtaji kwao.
Sisi Watanzania ni waoga sana. Tunaogopa mno dola. Tukisikia tu polisi au jeshi, basi tunaanza kutetemeka.
Nyakati zingine huwa nikiangalia jinsi ambavyo watu wa mataifa mengine wanavyopambana na polisi huwa nabaki mdomo wazi.
Unakuta waandamanaji wanazipiga na polisi katikati ya barabara. Tena hawaogopi kabisa. Sasa mambo kama hayo hapa kwetu sidhani kama yanaweza kutokea. Na ndo maana huwa tukitishwa kidogo tu tunaogopa.
Hatuna kabisa ujasiri wa kuidindia serikali. Hatuna ujasiri wa kupigana na ma askari polisi kama wafanyavyo watu wa mataifa mengine.
Uoga wetu huu ndo unanifanya niamini kuwa CCM inaweza kutawala nchi hata kwa zaidi ya karne nzima.
Je, uoga tulionao nao ni sehemu ya ndivyo tulivyo ama?
Watanzania sio waoga km unavyojiaminisha. Tatizo lipo kwa upinzani hauleweki pia hauaminiki. Huwezi kupigania kitu ambacho hakieleweki. Labda km haupo timamu.Baadhi ya watu, nikiwemo mimi, tumekuwa tukiamini kuwa mtaji mkubwa wa CCM katika ushindani wa kisiasa nchini ni ujinga wa wananchi.
Kwamba, kuna sehemu kubwa ya wananchi ambao ni wajinga ama kwa kutokutaka au kupenda kufuatilia mambo vizuri au kwa kuwa na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo na hivyo kupelekea kurubuniwa na CCM pindi msimu wa uchaguzi unapokaribia ili wakipe kura chama hicho.
Tumekuwa tukiiamini sana nadharia hiyo kwa sababu tunaamini kuwa ni vigumu sana kwa mtu na akili zake timamu kuendelea kuiunga mkono CCM licha ya uborongaji wake.
Lakini, mimi binafsi nadhani mtaji wa kisiasa wa CCM si ujinga peke yake. Naamini pia uoga wa Watanzania nao ni bonge la mtaji kwao.
Sisi Watanzania ni waoga sana. Tunaogopa mno dola. Tukisikia tu polisi au jeshi, basi tunaanza kutetemeka.
Nyakati zingine huwa nikiangalia jinsi ambavyo watu wa mataifa mengine wanavyopambana na polisi huwa nabaki mdomo wazi.
Unakuta waandamanaji wanazipiga na polisi katikati ya barabara. Tena hawaogopi kabisa. Sasa mambo kama hayo hapa kwetu sidhani kama yanaweza kutokea. Na ndo maana huwa tukitishwa kidogo tu tunaogopa.
Hatuna kabisa ujasiri wa kuidindia serikali. Hatuna ujasiri wa kupigana na ma askari polisi kama wafanyavyo watu wa mataifa mengine.
Uoga wetu huu ndo unanifanya niamini kuwa CCM inaweza kutawala nchi hata kwa zaidi ya karne nzima.
Je, uoga tulionao nao ni sehemu ya ndivyo tulivyo ama?
Chadema ilipopata fursa ya kukamata dola ikatuletea fisadi na hivyo watu wakaamua kwa dhati na kiakili mno kuwa ni lazima waibakishe CCM.
Kwa mantiki hii CCM lazima itawale milele !
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
Umeingia choo cha kike , huyo jamaa ni mnafiki kupita wanafiki unaowajua .You said it well
Well saidKwanini unataka kupigana na Polisi?
Polisi wanapiga kura?
Tatizo lako lipo ktk box la kura
Wapo wanaoipigia kura CCM na ni wengi.
Huwezi kushinda uchaguzi kwa kupigana na Polisi.
Hata wenzetu koote walikua waoga hivihivi
Libya walimuogopa sana Gadafi na jeshi lake kali
Iraq walimuogopa sana Sadam na nguvu zake za kijeshi
Siku ikifika uoga unaisha
Siku moja tumbo ambalo lilizoea kula milo mitatu kwa siku litakapo ambulia kashata moja ya mia kwa siku
Hapo ndo uoga utaisha.
So iko siku matumbo yanayolala njaa yataongea wala si uoga
Muda haujafika.
Kenny Rogers Lyrics
Play the Kenny Rogers Quiz
"Coward Of The County"
Everyone considered him
The coward of the county
He'd never stood one single time
To prove the county wrong
His mama called him Tommy
But folks just called him yellow
Something always told me
They were reading Tommy wrong
He was only ten years old
When his daddy died in prison
I took care of Tommy
'Cause he was my brother's son
I still recall the final words
My brother said to Tommy
"Son, my life is over,
But yours has just begun."
Promise me, son,
Not to do the things I've done
Walk away from trouble if you can.
Now it don't mean you're weak
If you turn the other cheek
And I hope you're old enough to understand
Son, you don't have to fight to be a man
There's someone for everyone
And Tommy's love was Becky
In her arms he didn't have to prove he was a man
One day while he was working
The Gatlin boys came calling
They took turns at Becky
And there was three of them
Tommy opened up the door
And saw his Becky crying
The torn dress, the shattered look
Was more than he could stand
He reached above the fireplace
Took down his daddy's picture
As his tears fell on his daddy's face
I heard these words again
Promise me, son,
Not to do the things I've done
Walk away from trouble if you can
Now it don't mean you're weak
If you turn the other cheek
And I hope you're old enough to understand
Son, you don't have to fight to be a man
The Gatlin boys just laughed at him
When he walked into the bar room
One of them got up
And met him half way 'cross the floor
Tommy turned around they said
"Hey, look, old yellow's leavin'."
You could've heard a pin drop
When Tommy stopped and locked the door
Twenty years of crawling
Was bottled up inside him
He wasn't holding nothing back
He let 'em have it all
Tommy left the bar room
Not a Gatlin boy was standing
He said, "This one's for Becky,"
As he watched the last one fall
N' I heard him say
I promised you, Dad
Not to do the things you've done
I walk away from trouble when I can
Now please don't think I'm weak
I didn't turn the other cheek
Papa, I should hope you understand
Sometimes you gotta fight when you're a man
Everyone considered him
The coward of the county
Mkuu, hayo uliyoandika ni moja ya sababu sikatai.Baadhi ya watu, nikiwemo mimi, tumekuwa tukiamini kuwa mtaji mkubwa wa CCM katika ushindani wa kisiasa nchini ni ujinga wa wananchi.
Kwamba, kuna sehemu kubwa ya wananchi ambao ni wajinga ama kwa kutokutaka au kupenda kufuatilia mambo vizuri au kwa kuwa na uwezo mdogo wa kuchanganua mambo na hivyo kupelekea kurubuniwa na CCM pindi msimu wa uchaguzi unapokaribia ili wakipe kura chama hicho.
Tumekuwa tukiiamini sana nadharia hiyo kwa sababu tunaamini kuwa ni vigumu sana kwa mtu na akili zake timamu kuendelea kuiunga mkono CCM licha ya uborongaji wake.
Lakini, mimi binafsi nadhani mtaji wa kisiasa wa CCM si ujinga peke yake. Naamini pia uoga wa Watanzania nao ni bonge la mtaji kwao.
Sisi Watanzania ni waoga sana. Tunaogopa mno dola. Tukisikia tu polisi au jeshi, basi tunaanza kutetemeka.
Nyakati zingine huwa nikiangalia jinsi ambavyo watu wa mataifa mengine wanavyopambana na polisi huwa nabaki mdomo wazi.
Unakuta waandamanaji wanazipiga na polisi katikati ya barabara. Tena hawaogopi kabisa. Sasa mambo kama hayo hapa kwetu sidhani kama yanaweza kutokea. Na ndo maana huwa tukitishwa kidogo tu tunaogopa.
Hatuna kabisa ujasiri wa kuidindia serikali. Hatuna ujasiri wa kupigana na ma askari polisi kama wafanyavyo watu wa mataifa mengine.
Uoga wetu huu ndo unanifanya niamini kuwa CCM inaweza kutawala nchi hata kwa zaidi ya karne nzima.
Je, uoga tulionao nao ni sehemu ya ndivyo tulivyo ama?
Naona wewe huna exposure lazima ni mkomunistN taifa gan lenye ustawi ambalo raia wake wanaidindia serikali???
N taifa gan lenye ustawi ambalo raia wake wanapambana na askar na wanajesh??
THIS IS TANZANIA BROTHER (In hajj manara's voice)
HII N TANZANIA KAKA!!!!
Hao Korea kusini sawa ila sisi huku wanapiga za moto. Wanaku aquiline..Cheki Korea huko uone jinsi raia wasivyo na uoga.
Kwanini unataka kupigana na Polisi?
Polisi wanapiga kura?
Tatizo lako lipo ktk box la kura
Wapo wanaoipigia kura CCM na ni wengi.
Huwezi kushinda uchaguzi kwa kupigana na Polisi.
Leo angalau umenena point ktk hili, watu wamejengewa hofu na wengi pia hawajui hata haki zao za msingi na hawawezi kuzipigania, na pia kuhusu hili la elimu ni kweli, Angalia shule za misingi na kata zinavyozalisha failures wengi. Hapo unategemea nini kama si mitaji ya watawala?!Baadhi ya watu, nikiwemo mimi, tumekuwa tukiamini kuwa mtaji mkubwa wa CCM katika ushindani wa kisiasa nchini ni ujinga wa wananchi.