CCM itameguka mapande makubwa kabla ya uchaguzi

WanaCCM naomba mjiandae Kimwili na KIROHO kwani Chaguzi zinazoendelea hivi sasa hazitakiacha Chama salama.Tukumbuke ccm mpya inajengwa je wenye CCM yao wanasemaje? NATABIRI "CCM MAPANDE MAPANDE KABLA YA 2020.
 
NGOJA WAKUJE
 
Lakini chama hiki kina historian ya kupita katika vipindi vigumu na vya misukosuko mikubwa mwisho wa siku kina kaa sawa na wanaendelea. Tokea enzi wanafukuzwa uongozi kina Aboud Jumbe watu wakadhani Afro Shirazi inarudi CCM inameguka lakini wapi, ikaja walipofukuzwa kabisa uwanachama kina Seif Sharif Hamad, Juma Dunia Haji, Hamad Rashid na wenzao pamoja na nguvu waliokua nayo lakini CCM ikakaa sawa. Kina Jenerali Ulimwengu, Njelu Kasaka na wenzao katika movement ya G55 napo pia wakapita salama!
Nyakati za uchaguzi mkuu kupata mgombea wa CCM nafasi ya uraisi nadhani pia hua ni kipindi kigumu sana kwao lakini meli yao inapita katika dhoruba hizo na kuibuka ufukweni salama! Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini ukweli ki oganaizesheni CCM wapo vizuri kupita maelezo! Misukosuko inayokipata ingekua chama kingine chochote hapa nchini ingekua ni historia na tungesha kisahau
 
Toka Lowasa ametoka Ccm haijawahi kuwa stable ila kilichopo ni kwamba wanachama wamejawa hofu kuu kutokana na ubabe wa mwenyekiti wao.
 
WanaCCM naomba mjiandae Kimwili na KIROHO kwani Chaguzi zinazoendelea hivi sasa hazitakiacha Chama salama.Tukumbuke ccm mpya inajengwa je wenye CCM yao wanasemaje? NATABIRI "CCM MAPANDE MAPANDE KABLA YA 2020.
Dua la kuku alimpati mwewe!
 
Lakini chama hiki kina historian ya kupita katika vipindi vigumu na vya misukosuko mikubwa mwisho wa siku kina kaa sawa na wanaendelea. Tokea enzi wanafukuzwa uongozi kina Aboud Jumbe watu wakadhani Afro Shirazi inarudi CCM inameguka lakini wapi, ikaja walipofukuzwa kabisa uwanachama kina Seif Sharif Hamad, Juma Dunia Haji, Hamad Rashid na wenzao pamoja na nguvu waliokua nayo lakini CCM ikakaa sawa. Kina Jenerali Ulimwengu, Njelu Kasaka na wenzao katika movement ya G55 napo pia wakapita salama!
Nyakati za uchaguzi mkuu kupata mgombea wa CCM nafasi ya uraisi nadhani pia hua ni kipindi kigumu sana kwao lakini meli yao inapita katika dhoruba hizo na kuibuka ufukweni salama! Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini ukweli ki oganaizesheni CCM wapo vizuri kupita maelezo! Misukosuko inayokipata ingekua chama kingine chochote hapa nchini ingekua ni historia na tungesha kisahau

Kinachowalinda ni ile kuwa bado inakamata dola. Huwa wanatabia ya kupoozana kwa kupeana vyeo kwa wake wenye makovu. Siku ikosee itoke madarakani haichukui wiki itakuwa ni historia. Sio ccm tu, angalia vyama vyote vya siasa Africa nguvu yao kubwa inapatikana wanapokuwa madarakani. Kwa maneno marahisi nguvu ya mamba (ccm) iko ndani ya maji (madarakani) full stop.
 
WanaCCM naomba mjiandae Kimwili na KIROHO kwani Chaguzi zinazoendelea hivi sasa hazitakiacha Chama salama.Tukumbuke ccm mpya inajengwa je wenye CCM yao wanasemaje? NATABIRI "CCM MAPANDE MAPANDE KABLA YA 2020.
Hata kipindi Lowasa anaondoka mlisema hivyo lkn ndo ccm inazidi kuwa imara
 
WanaCCM naomba mjiandae Kimwili na KIROHO kwani Chaguzi zinazoendelea hivi sasa hazitakiacha Chama salama.Tukumbuke ccm mpya inajengwa je wenye CCM yao wanasemaje? NATABIRI "CCM MAPANDE MAPANDE KABLA YA 2020.
Si rahisi hata kidogo!!
CCM ina dola na pesa,vitu viwili muhimu katika kupata madaraka katika Africa.Hata waliokuwa na mawzo tofauti ndani ya CCM ni lazima wachukue msimamo wa kati na kati kwani ukichukua msimamo mkali unapotea wewe.
Kumbuka vyombo vyote vya dola unavyovijua kwa kupenda au kutopenda wanawajibika kufikiasha taarifa zao CCM.
CCM inaijua leo na kesho ya Tanzania ndio maana inafanya mabadiliko kila mara.Inajua Watanzania wanataka nini leo (Tajiri waathiriwe mbele ya watu-CCM inafanya) na watanzania watataka nini kesho.
Yote yanayotokea leo kwenye vyombo vya habari namitandao ya kijamii vinagusa watu wachache mno na majority wana furaha kubwa tu (Manji,Seti,Rugemalila wamekaa rumande).
 
WanaCCM naomba mjiandae Kimwili na KIROHO kwani Chaguzi zinazoendelea hivi sasa hazitakiacha Chama salama.Tukumbuke ccm mpya inajengwa je wenye CCM yao wanasemaje? NATABIRI "CCM MAPANDE MAPANDE KABLA YA 2020.
Nape pande lake
Membe la kwake
Nyarandu kama kawa
Wengine.... Loading.......
 
Back
Top Bottom