Kamanda utakuwa bado upo njozini!Kikwete na kinana unawaweka wapi?
Kamanda utakuwa bado upo njozini!Kikwete na kinana unawaweka wapi?
nadhani utasubili sana tu.WanaCCM naomba mjiandae Kimwili na KIROHO kwani Chaguzi zinazoendelea hivi sasa hazitakiacha Chama salama.Tukumbuke ccm mpya inajengwa je wenye CCM yao wanasemaje? NATABIRI "CCM MAPANDE MAPANDE KABLA YA 2020.
CCM, iko imara wapo maprofesa wa siasa akina, Waryoba, Butiku, Mangula ( KGB),Mkapa, Msuya, Malecela,msekwa, Salumin Amour (komando) plus invisible advisor ambao ni hatari zaidi ya Kikwete na Kinana, Kumbuka hata Kikwete mwenyewe nchi ilitaka kumshinda alipomuuliza mkapa nitafanyaje akaambiwa mfate Mzee Mangula, huyu mzee huwa haongei sana lkn uliza hata upinzani wanamuogopa nani ccm watakwambia Mzee MangulaKikwete na kinana unawaweka wapi?
Wewe si wa kwanza na wala si Mara ya kwanza kusikia unabii huu.WanaCCM naomba mjiandae Kimwili na KIROHO kwani Chaguzi zinazoendelea hivi sasa hazitakiacha Chama salama.Tukumbuke ccm mpya inajengwa je wenye CCM yao wanasemaje? NATABIRI "CCM MAPANDE MAPANDE KABLA YA 2020.
Umenifanya nitabasamu nusura ya kucheka kwa nguvu ndani ya ofisi ya watu.CCM, iko imara wapo maprofesa wa siasa akina, Waryoba, Butiku, Mangula ( KGB),Mkapa, Msuya, Malecela,msekwa, Salumin Amour (komando) plus invisible advisor ambao ni hatari zaidi ya Kikwete na Kinana, Kumbuka hata Kikwete mwenyewe nchi ilitaka kumshinda alipomuuliza mkapa nitafanyaje akaambiwa mfate Mzee Mangula, huyu mzee huwa haongei sana lkn uliza hata upinzani wanamuogopa nani ccm watakwambia Mzee Mangula
Mkuu naomba historia fupi ya huyu mzee Philip Mangula huwa natamani sana kumfahamu zaidi[emoji120]CCM, iko imara wapo maprofesa wa siasa akina, Waryoba, Butiku, Mangula ( KGB),Mkapa, Msuya, Malecela,msekwa, Salumin Amour (komando) plus invisible advisor ambao ni hatari zaidi ya Kikwete na Kinana, Kumbuka hata Kikwete mwenyewe nchi ilitaka kumshinda alipomuuliza mkapa nitafanyaje akaambiwa mfate Mzee Mangula, huyu mzee huwa haongei sana lkn uliza hata upinzani wanamuogopa nani ccm watakwambia Mzee Mangula
Hawa uliowataja hakuna jipya nchi inaongozwa kwa kutiana hofu bado wamekaa kimya.CCM, iko imara wapo maprofesa wa siasa akina, Waryoba, Butiku, Mangula ( KGB),Mkapa, Msuya, Malecela,msekwa, Salumin Amour (komando) plus invisible advisor ambao ni hatari zaidi ya Kikwete na Kinana, Kumbuka hata Kikwete mwenyewe nchi ilitaka kumshinda alipomuuliza mkapa nitafanyaje akaambiwa mfate Mzee Mangula, huyu mzee huwa haongei sana lkn uliza hata upinzani wanamuogopa nani ccm watakwambia Mzee Mangula
TUMESHAWAZOEA UONGO KAZINIWanaCCM naomba mjiandae Kimwili na KIROHO kwani Chaguzi zinazoendelea hivi sasa hazitakiacha Chama salama.Tukumbuke ccm mpya inajengwa je wenye CCM yao wanasemaje? NATABIRI "CCM MAPANDE MAPANDE KABLA YA 2020.
WALE WATU WADOGO SANA HAWAWEZI KUTUNYIMA USINGIZINape pande lake
Membe la kwake
Nyarandu kama kawa
Wengine.... Loading.......
NDIYO UMEAMKA NA UONGO HUU?Ccm kwa sasa ipo madarakani kwa hisani ya vyombo vya usalama lkn sio kwa ridhaa ya wananchi kwani kinatangazwa mshindi kutokana na chaguzi za hovyo, "Bungled Elections", zenye viwango vya chini kabisa ktk viwango vya kimataifa.
HAKUNA KITU KAMA HICHO HAYO YAPO KWENU CHAGADEMANa ccm sasa hivi itaanza ukabila maana ndio sera ya boss wao......
Asante kwa ramli,kashindwa lowassa kuikata ccm itakua uchaguzi wa ndani uliojaa demokrasia?WanaCCM naomba mjiandae Kimwili na KIROHO kwani Chaguzi zinazoendelea hivi sasa hazitakiacha Chama salama.Tukumbuke ccm mpya inajengwa je wenye CCM yao wanasemaje? NATABIRI "CCM MAPANDE MAPANDE KABLA YA 2020.
Mkuu, membe mwenyewe anayemtaja hana mvuto kwa wananchiWALE WATU WADOGO SANA HAWAWEZI KUTUNYIMA USINGIZI
Hiki Chama kinaongozwa kinafiki Sana, Wenye madaraka wamekigeuza Kama mali yap wakitumia nguvu za DOLAN, ila wasio name nguvu wamebaki kupiga makofi tuLakini chama hiki kina historian ya kupita katika vipindi vigumu na vya misukosuko mikubwa mwisho wa siku kina kaa sawa na wanaendelea. Tokea enzi wanafukuzwa uongozi kina Aboud Jumbe watu wakadhani Afro Shirazi inarudi CCM inameguka lakini wapi, ikaja walipofukuzwa kabisa uwanachama kina Seif Sharif Hamad, Juma Dunia Haji, Hamad Rashid na wenzao pamoja na nguvu waliokua nayo lakini CCM ikakaa sawa. Kina Jenerali Ulimwengu, Njelu Kasaka na wenzao katika movement ya G55 napo pia wakapita salama!
Nyakati za uchaguzi mkuu kupata mgombea wa CCM nafasi ya uraisi nadhani pia hua ni kipindi kigumu sana kwao lakini meli yao inapita katika dhoruba hizo na kuibuka ufukweni salama! Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini ukweli ki oganaizesheni CCM wapo vizuri kupita maelezo! Misukosuko inayokipata ingekua chama kingine chochote hapa nchini ingekua ni historia na tungesha kisahau
Uimara wa ccm ni upi? Imekuwa dhaifu haiwezi hata kufanya siasa siku hizi inajificha kwenye kwapa la polisi na hafla za kiserikali mfano tukio la juzi Arusha.CCM inapumua kwa msaada wa dolaHata kipindi Lowasa anaondoka mlisema hivyo lkn ndo ccm inazidi kuwa imara
Ukitaka kujua uimara wa ccm uliza Mbowe atakwambia au Lowasa aliyesema hakuna wa kunikata ccm akakatwaUimara wa ccm ni upi? Imekuwa dhaifu haiwezi hata kufanya siasa siku hizi inajificha kwenye kwapa la polisi na hafla za kiserikali mfano tukio la juzi Arusha.CCM inapumua kwa msaada wa dola
Huwezi kuiondoa CCM hata ikibaki vipande vipande sababu inashikilia dola.Muulize mzee Kingunge CCM waliapa kutawala miaka elfu kwa gharama zozote.WanaCCM naomba mjiandae Kimwili na KIROHO kwani Chaguzi zinazoendelea hivi sasa hazitakiacha Chama salama.Tukumbuke ccm mpya inajengwa je wenye CCM yao wanasemaje? NATABIRI "CCM MAPANDE MAPANDE KABLA YA 2020.