CCM itameguka mapande makubwa kabla ya uchaguzi

CCM itameguka mapande makubwa kabla ya uchaguzi

mtiifu mzuri na dab tu, wengine wasaka tonge.

nakwambia huenda hata naibu anatamani kuachia namba lkn anaogopa kuwa na uhakika Wa kumiliki kucha zake
 
lukolokwitanga, post: 23491097, member: 26536"]Kama kweli ni baba lao waacheni polisi wafanye kazi zao halafu wenzenu wa vyama vingine wapige siasa kama zenu. Kiukweli namna nchi inavyokwenda inakatisha tamaa sana[/QUOTE]

kwani mkuu ulitaka nchi iendeshwe vp?
 
lukolokwitanga, post: 23491097, member: 26536"]Kama kweli ni baba lao waacheni polisi wafanye kazi zao halafu wenzenu wa vyama vingine wapige siasa kama zenu. Kiukweli namna nchi inavyokwenda inakatisha tamaa sana[/QUOTE'

Kaondoka lowasa, sumaye,kingunge na wengineo wengi lakini chama bado kipo, kwa hiyo mm nadhani ww kwenye siasa hakuna unachokijua, ww endelea kukaa kijiwen tu
Wameondoka lakini kuna uhuru gani humu chamani au wa kivyama ndo tutawale kwa kuogopa wapinzani sio sasa utajifunza kutoka wapi ni sawa na kujufungia chumbani alafu unasema unajina uko nje.

Huko ni kujidanganya mwenye
 
ikimeguka si ndo itakuwa afadhali kwa vyama vingine kushika dola na kuleta mabadiliko! hvyo kuandika Uzi huu ni kama kuwakumbusha ili wamalize hzo tofauti zao na wasimeguke.
- ushauri: lengo ni ccm kutoka madarakani, hvyo usiwe unawakumbusha madhaifu yao kwa maana wanaweza jirekebisha na tukashndwa kuwaondoa madarakani, hvyo ungekaa tu KIMYA
TENA SI TU AFADHALI KWA VYAMA VINGINE BALI KWA WATANZANIA MAANA WA TZ HAWAELEWI WANAPELEKWA WAPI
 
Kwa mara ya kwanza natabiri kumegeka kwa chama tawala muda mfupi kabla ya uchaguzi.
Sababu kubwa ni chama kuacha misingi ya kuanzishwa kwake na kuanza kutumia mbinu zinazotumiwa na vyama vilivyoshika dola kutokana na mapambano ya kivita.
Tayari kila ishara mbaya inajionesha na mazungumzo ya watu wengi wa kawaida yana kila dalili ya kuonesha kuwa hawajui wafanye nini.Mimi si mtafiti kama REDET kwa hiyo unaruhusiwa kunipuuza tu hadi pale majibu ya kweli yatakapotolewa na watafiti waliobobea.
Natabiri baadhi ya wana ccm kukiacha chama.Mf. mh.January,Mwigulu,Lazaro,Nape,na wengine wengi.
Ningependa kusema zaidi lakini tumeambiwa tuwe waangalifu na tunayoandika mitandaoni na hivyo naomba nijizuie nisije nikawachefua wenye ka muhogo kao.
Mungu ibariki Tanzania
Asante kwa ramli
 
Shauri yako. Nissan nyeupe hiyo hapo.
 
hili genge la wahuni na wauaji likimeguka na kusambaratika ndo utakuwa mwanzo wa ustawi wa nchi yetu kiuchumi,kisiasa na kijamii.
 
Hahaaaaa mlisema kwa Kikwete na bango lilikuwepo hapo juu na sapoti kubwa ya JF leo kiko wapi? Hadithi ya fisi hiyo kufata mkono wa binaadamu kusema utadondoka. Mmeisha.

Albadiri ndiyo inawatafuna sasa
 
Kweli mmeishiwa na yakusema ccm imenguke ndoto zamchana ccm baba laooooooooooo
ipo kimaslahi zaidi, kufa ni kugumu na hizi mbinu wazo tumia kila anayetaka kuondoka lazima ataogopa kupoteza shamba na mali zingine.
 
Kuna mambo mengi yanaendelea ndani ya nchi, watu hawayajui. Kuna watu wanadhani wanafahamu mengi ambayo dola haijui. Tusubiri na tuone
 
Ccm itajifia yenyewe tena itasambaratika kwa namna ambayo hakuna mtanzania anaweza dhania.
 
Kwa mara ya kwanza natabiri kumegeka kwa chama tawala muda mfupi kabla ya uchaguzi.
Sababu kubwa ni chama kuacha misingi ya kuanzishwa kwake na kuanza kutumia mbinu zinazotumiwa na vyama vilivyoshika dola kutokana na mapambano ya kivita.
Tayari kila ishara mbaya inajionesha na mazungumzo ya watu wengi wa kawaida yana kila dalili ya kuonesha kuwa hawajui wafanye nini.Mimi si mtafiti kama REDET kwa hiyo unaruhusiwa kunipuuza tu hadi pale majibu ya kweli yatakapotolewa na watafiti waliobobea.
Natabiri baadhi ya wana ccm kukiacha chama.Mf. mh.January,Mwigulu,Lazaro,Nape,na wengine wengi.
Ningependa kusema zaidi lakini tumeambiwa tuwe waangalifu na tunayoandika mitandaoni na hivyo naomba nijizuie nisije nikawachefua wenye ka muhogo kao.
Mungu ibariki Tanzania
Si Lowassa na Sumaye walikuja kwenu wakati wa uchaguzi 2015, huko siyo kumeguka Kamanda?
 
Yaani wanaondokaje CCM wakati wanampango wa kugombea urais 2025???? unataka wenzio wafulie mfulio wa Masha na Kingunge???
 
Dunia nzima hakuna utawala unaokaa madarakani kwa matakwa ya wananchi......katika lugha nyepesi.....hakuna nchi hata moja yenye demokrasia hapa duniani.......

Mifumo mingi ya kiutawala imeundwa na mabeberu baada ya ukoloni ili waendelee kuitawala Africa........

Vyama vyote vitabaki madarakani mpaka pale mabwana wakubwa watapoona mtawala huyo anakwenda kinyume na maslahi yao.........

Katika kipindi ambacho mabwana wakubwa wana patana na watawala....wapinzani wanaitwa magaidi na wahaini

Katika kipindi ambacho mtawala anakwenda kinyume na mabwana wakubwa wapinzani wataitwa wapigania uhuru........

CCM haiwezi kutoka madarakani mpaka wale mabwana wakubwa waone kuwa inafaa kufanyika hilo na kwa utashi wao............

Ukitoa hisia za mahaba pembeni na kufumua mifumo ya kiutawala ya dunia iliyowekwa na mabwanyenye......utapata kujua kuwa Africa imeshachelewa na haitakaa tena iwe huru labda kwa kudra za Mungu......ni ngumu kuyaamini haya kwa kuwa wazungu wamebobea kwenye unafiki........

Kuna wakati naifikiria Africa na jinsi mambo yanavyokwenda nabaki kucheka tu........

Wakati mwingine naona haina hata maana ya kupiga kura........
 
Back
Top Bottom