tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,754
Hiyo hawezi mana yeye ndio mkabila kajaza watu wa kanda yke tuNa ccm sasa hivi itaanza ukabila maana ndio sera ya boss wao......
Hiyo hawezi mana yeye ndio mkabila kajaza watu wa kanda yke tuNa ccm sasa hivi itaanza ukabila maana ndio sera ya boss wao......
Ukitaka kujua uimara wa ccm uliza Mbowe atakwambia au Lowasa aliyesema hakuna wa kunikata ccm akakatwa
Wewe ni ccm usijiondoe kumbuka historian ya kujitawala ni miaka michache na historia ya vyama vingi ni miaka michache na vile vile mwamko watanzania kuwa na uelewa ni watanzania wachache hasahasa kundi la wanawake tunakoelekea ni kubaya vijana wanasoma wapate uelewa vyama vinazidi kukomaa na kinachisaidia ccm wananchi wanaoishabikia ccm ni wale wanaoitwa wanyonge ki uhalisia si wanyonge wengi ni wanakijiji wasio na elimu subiri shule za Kara zinaleta wasomi ccm baada ya ya 2020 kama utakuwa hai ndo utasema haiyumbishwi.Lakini chama hiki kina historian ya kupita katika vipindi vigumu na vya misukosuko mikubwa mwisho wa siku kina kaa sawa na wanaendelea. Tokea enzi wanafukuzwa uongozi kina Aboud Jumbe watu wakadhani Afro Shirazi inarudi CCM inameguka lakini wapi, ikaja walipofukuzwa kabisa uwanachama kina Seif Sharif Hamad, Juma Dunia Haji, Hamad Rashid na wenzao pamoja na nguvu waliokua nayo lakini CCM ikakaa sawa. Kina Jenerali Ulimwengu, Njelu Kasaka na wenzao katika movement ya G55 napo pia wakapita salama!
Nyakati za uchaguzi mkuu kupata mgombea wa CCM nafasi ya uraisi nadhani pia hua ni kipindi kigumu sana kwao lakini meli yao inapita katika dhoruba hizo na kuibuka ufukweni salama! Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini ukweli ki oganaizesheni CCM wapo vizuri kupita maelezo! Misukosuko inayokipata ingekua chama kingine chochote hapa nchini ingekua ni historia na tungesha kisahau
afadhali umetusaidia mkuu maana sisi tulishawaambia lakin hawatuelewiHuwezi kuiondoa CCM hata ikibaki vipande vipande sababu inashikilia dola.Muulize mzee Kingunge CCM waliapa kutawala miaka elfu kwa gharama zozote.
Inaweza kuondoka tu,kwa kuunda serikali ya mpito kwanza itakayoongozwa na mchanganyiko wa watu au vikundi mbali mbali,kuelekea uchaguzi mkuu, baada ya kupitishwa katiba mpya.
Kwa hali ya kawaida CCM hawawezi kukupa nafasi hiyo.
Hayo mabadiliko ya vyama vingi ni kiini macho tu.Ndio maana hawana wasiwasi wameshikilia mpini.
Tumewaona wangapi waliojipambanua kuwa ni wapinzani mahili lakini walinaswa katika tundu bovu UNFAIR PLAY.Wakaishia kukata tamaa na kujirudisha CCM sababu ya njaa za kupangwa.
Wakati mwingine ukweli unauma lakini utabakia ukweli.
Goli la mkono la Nape!!!!!Lakini chama hiki kina historian ya kupita katika vipindi vigumu na vya misukosuko mikubwa mwisho wa siku kina kaa sawa na wanaendelea. Tokea enzi wanafukuzwa uongozi kina Aboud Jumbe watu wakadhani Afro Shirazi inarudi CCM inameguka lakini wapi, ikaja walipofukuzwa kabisa uwanachama kina Seif Sharif Hamad, Juma Dunia Haji, Hamad Rashid na wenzao pamoja na nguvu waliokua nayo lakini CCM ikakaa sawa. Kina Jenerali Ulimwengu, Njelu Kasaka na wenzao katika movement ya G55 napo pia wakapita salama!
Nyakati za uchaguzi mkuu kupata mgombea wa CCM nafasi ya uraisi nadhani pia hua ni kipindi kigumu sana kwao lakini meli yao inapita katika dhoruba hizo na kuibuka ufukweni salama! Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini ukweli ki oganaizesheni CCM wapo vizuri kupita maelezo! Misukosuko inayokipata ingekua chama kingine chochote hapa nchini ingekua ni historia na tungesha kisahau
Usisahau kuwa mchawi hukata roho kwa muda mrefu sana.Lakini chama hiki kina historian ya kupita katika vipindi vigumu na vya misukosuko mikubwa mwisho wa siku kina kaa sawa na wanaendelea. Tokea enzi wanafukuzwa uongozi kina Aboud Jumbe watu wakadhani Afro Shirazi inarudi CCM inameguka lakini wapi, ikaja walipofukuzwa kabisa uwanachama kina Seif Sharif Hamad, Juma Dunia Haji, Hamad Rashid na wenzao pamoja na nguvu waliokua nayo lakini CCM ikakaa sawa. Kina Jenerali Ulimwengu, Njelu Kasaka na wenzao katika movement ya G55 napo pia wakapita salama!
Nyakati za uchaguzi mkuu kupata mgombea wa CCM nafasi ya uraisi nadhani pia hua ni kipindi kigumu sana kwao lakini meli yao inapita katika dhoruba hizo na kuibuka ufukweni salama! Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini ukweli ki oganaizesheni CCM wapo vizuri kupita maelezo! Misukosuko inayokipata ingekua chama kingine chochote hapa nchini ingekua ni historia na tungesha kisahau
Ramli chonganishi.WanaCCM naomba mjiandae Kimwili na KIROHO kwani Chaguzi zinazoendelea hivi sasa hazitakiacha Chama salama.Tukumbuke ccm mpya inajengwa je wenye CCM yao wanasemaje? NATABIRI "CCM MAPANDE MAPANDE KABLA YA 2020.
Ukabila kama ilivyo kwa cdm.Na ccm sasa hivi itaanza ukabila maana ndio sera ya boss wao......
yuaja wakati wake wa kupasuka na kusambaratika kabisaLakini chama hiki kina historian ya kupita katika vipindi vigumu na vya misukosuko mikubwa mwisho wa siku kina kaa sawa na wanaendelea. Tokea enzi wanafukuzwa uongozi kina Aboud Jumbe watu wakadhani Afro Shirazi inarudi CCM inameguka lakini wapi, ikaja walipofukuzwa kabisa uwanachama kina Seif Sharif Hamad, Juma Dunia Haji, Hamad Rashid na wenzao pamoja na nguvu waliokua nayo lakini CCM ikakaa sawa. Kina Jenerali Ulimwengu, Njelu Kasaka na wenzao katika movement ya G55 napo pia wakapita salama!
Nyakati za uchaguzi mkuu kupata mgombea wa CCM nafasi ya uraisi nadhani pia hua ni kipindi kigumu sana kwao lakini meli yao inapita katika dhoruba hizo na kuibuka ufukweni salama! Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini ukweli ki oganaizesheni CCM wapo vizuri kupita maelezo! Misukosuko inayokipata ingekua chama kingine chochote hapa nchini ingekua ni historia na tungesha kisahau
hakuna marefu yasiyo na nchaNape pande lake
Membe la kwake
Nyarandu kama kawa
Wengine.... Loading.......
afu kapretend etiukawa mna matatizo sana.....
Uko makini,ipo kimaslahi zaidi, kufa ni kugumu na hizi mbinu wazo tumia kila anayetaka kuondoka lazima ataogopa kupoteza shamba na mali zingine.
Ndoto za mchanaKwa mara ya kwanza natabiri kumegeka kwa chama tawala muda mfupi kabla ya uchaguzi.
Sababu kubwa ni chama kuacha misingi ya kuanzishwa kwake na kuanza kutumia mbinu zinazotumiwa na vyama vilivyoshika dola kutokana na mapambano ya kivita.
Tayari kila ishara mbaya inajionesha na mazungumzo ya watu wengi wa kawaida yana kila dalili ya kuonesha kuwa hawajui wafanye nini.Mimi si mtafiti kama REDET kwa hiyo unaruhusiwa kunipuuza tu hadi pale majibu ya kweli yatakapotolewa na watafiti waliobobea.
Natabiri baadhi ya wana ccm kukiacha chama.Mf. mh.January,Mwigulu,Lazaro,Nape,na wengine wengi.
Ningependa kusema zaidi lakini tumeambiwa tuwe waangalifu na tunayoandika mitandaoni na hivyo naomba nijizuie nisije nikawachefua wenye ka muhogo kao.
Mungu ibariki Tanzania
Mliitabiria hivyo huko nyuma lakini matokeo yake mmeyaona. Kitu kama hicho hakitatokea kwa ccm zaidi wapinzani watapoteza mwelekeo ikifika uchaguzi. Tumeyaona hayo huko nyumaKwa mara ya kwanza natabiri kumegeka kwa chama tawala muda mfupi kabla ya uchaguzi.
Sababu kubwa ni chama kuacha misingi ya kuanzishwa kwake na kuanza kutumia mbinu zinazotumiwa na vyama vilivyoshika dola kutokana na mapambano ya kivita.
Tayari kila ishara mbaya inajionesha na mazungumzo ya watu wengi wa kawaida yana kila dalili ya kuonesha kuwa hawajui wafanye nini.Mimi si mtafiti kama REDET kwa hiyo unaruhusiwa kunipuuza tu hadi pale majibu ya kweli yatakapotolewa na watafiti waliobobea.
Natabiri baadhi ya wana ccm kukiacha chama.Mf. mh.January,Mwigulu,Lazaro,Nape,na wengine wengi.
Ningependa kusema zaidi lakini tumeambiwa tuwe waangalifu na tunayoandika mitandaoni na hivyo naomba nijizuie nisije nikawachefua wenye ka muhogo kao.
Mungu ibariki Tanzania
Kama hakikumeguka alivyoondoka Lowassa ndio basi tena mkuu hiyo ndoto yako imechacha amka tu!!